Proposal kwa Mwali

Nakusalimia ndugu yangu....
Hope mzima...
Tusalimiane kwanza then tuanze mchakato wa Mwali ingawa nahofia sana Saint Ivuga atatumaliza akiona hili
 
Last edited by a moderator:
Sema aina ya mboga kwanza ..
matembele , mchicha, kisamvu, mlenda
Au "SUKUMA WIKI"?
 
Nakutakia kila la kheri bt
Note : huu ukoo haukawii kutoa talaka!
Na talaka inatoka kukeni !
Niulize mie , au labda Mwali akija hapa afafanue.
Kuna ukweli katika hili au vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
Nakutakia kila la kheri bt
Note : huu ukoo haukawii kutoa talaka!
Na talaka inatoka kukeni !
Niulize mie , au labda Mwali akija hapa afafanue.
Kuna ukweli katika hili au vinginevyo.
Sawa tu, kwani dunia ya sasa usawa, ila sema sitaki kusikia mambo ya mdundiko!
 
Sema aina ya mboga kwanza ..
matembele , mchicha, kisamvu, mlenda
Au "SUKUMA WIKI"?
Kuna option ya mimboga kibao! Kwanza kabisa hii hapa chini
141827
 
Nakutakia kila la kheri bt
Note : huu ukoo haukawii kutoa talaka!
Na talaka inatoka kukeni !
Niulize mie , au labda Mwali akija hapa afafanue.
Kuna ukweli katika hili au vinginevyo.

JG tuwasiliane baadae tujue namna utakavyoanza maisha mapya
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom