Prophet Bushiri kachukua nafasi ya TB Joshua siasa za Tanzania? Rose Kitilya, Lowassa

Wiki kadhaa zilizopita Mke wa aliyekuwa Kamishna wa TRA Harry Kitilya, Bi.Rose Kitilya alionekana katika viunga vya Afrika Kusini katika kanisa la Nabii Bushiri ili kumuomba Nabii huyo 'kumfanyia wepesi' Bw. Kitilya alieko gerezani kwa kosa la kutakatisha fedha haramu katika sakata la hati fungani. Ombi la mama ni kuomba nabii afanya maombi ili milango ya gereza ifunguke.

Wiki moja iliyopita kuna taarifa ya kuwa ndugu Lowassa anaye ameonekana katika viunga vya nabii huyo, katika kile kinachitwa kuangalia mustakabali kisiasa na kupata mbinu za kuongeza mvuto.

Je Nabii Bushiri ni 'mtoa maono' mpya baada ya TB Joshua?. Kwa wenye piacha za matukio mnaweza kuweka kwani mtambo wangu leo hauko sawa.

Nawasilisha.
Prophet Bushiri anatisha
 
Watu wengi wanaowapinga hao manabii hata kuwajua hawawajui, hawajawahi kufatilia mafundisho yao japo kwa one week wawasikie na kuona kwa macho yao hawa watu. Cha kushangaza ndio utawakuta wakiwatukana na kuwaita matapeli , wezi, mara waganga. Hebu muulize kama anamjua huyo bushiri au Tv chanel yake inaitwaje hajui ,ni story alizisikia tu kwa watu , nae akafata mkumbo wa chuki.

Take time kumjua mtu kabla hujaanza kumtukana na kumsema vibaya.Siku ambayo vyombo vya habati kule Marekani viliandika kuwa Bushiri kakamatwa na madawa, bushiri alikuwa kwenye ibada kanisani kwake south Africa, na alikuwa live Na yeye mwenyewe kwa kinywa chake alitangaza kuwa kuna habari inasaambaa USA kuwa kakamatwa wakati yeye yupo south Africa.

Uongo huo ulitungwa juu yake ili kumkatisha tamaa na kukatisha watu tamaa wasihudhurie kongamano ambalo alikuwa anaenda kulifanya Marekani siku chache kabla ya huo uongo wa kumchafua. Alifanikiwa kwenda na lilifanikiwa kwa asilimia 100. Satan you are a lier.!!
 
Tunasubiri picha, hatuhitaji porojo. Nafahamu Bushiri ni miongoni mwa manabii wa uongo wa zama hizi. Ana pepo la utambuzi, ana uwezo wa kukuambia wewe Wakudadavua una shilingi ngapi kwenye wallet yako, una shilingi ngapi kwenye akaunti yako benki, na una salio kiasi gani kwenye simu yako. Ni msanii wa kutupwa. Ni Mmalawi anayeendesha huduma ya kiroho kule Afrika Kusini!
Ipo siku tu wataumbuka kwani za mwizi arobaini,mwisho wa hawa watu huwa ni fedheha
 
Watu wengi wanaowapinga hao manabii hata kuwajua hawawajui, hawajawahi kufatilia mafundisho yao japo kwa one week wawasikie na kuona kwa macho yao hawa watu. Cha kushangaza ndio utawakuta wakiwatukana na kuwaita matapeli , wezi, mara waganga. Hebu muulize kama anamjua huyo bushiri au Tv chanel yake inaitwaje hajui ,ni story alizisikia tu kwa watu , nae akafata mkumbo wa chuki.

Take time kumjua mtu kabla hujaanza kumtukana na kumsema vibaya.Siku ambayo vyombo vya habati kule Marekani viliandika kuwa Bushiri kakamatwa na madawa, bushiri alikuwa kwenye ibada kanisani kwake south Africa, na alikuwa live Na yeye mwenyewe kwa kinywa chake alitangaza kuwa kuna habari inasaambaa USA kuwa kakamatwa wakati yeye yupo south Africa.

Uongo huo ulitungwa juu yake ili kumkatisha tamaa na kukatisha watu tamaa wasihudhurie kongamano ambalo alikuwa anaenda kulifanya Marekani siku chache kabla ya huo uongo wa kumchafua. Alifanikiwa kwenda na lilifanikiwa kwa asilimia 100. Satan you are a lier.!!
Hoja kuu hapa ni sasa Bushiri anachukua nafasi ya TB Joshua kisiasa?
 
Sipendi viongozi wa dini wanaoleta machafuko duniani. .
 
MOLA WETU RHABUKA ATUONGOZE NCHI YETU TANZANIA MILELE KWA AMANI NA UPENDO NA UTAJIRI TELE MILELE YOTE AMEN RA
 
Nabii Bushiri akiwa na walinzi wake
Bushiri-i-can-employ-the-police-officers-600x400.jpg

100% tapeli
 
Watu wengi wanaowapinga hao manabii hata kuwajua hawawajui, hawajawahi kufatilia mafundisho yao japo kwa one week wawasikie na kuona kwa macho yao hawa watu. Cha kushangaza ndio utawakuta wakiwatukana na kuwaita matapeli , wezi, mara waganga. Hebu muulize kama anamjua huyo bushiri au Tv chanel yake inaitwaje hajui ,ni story alizisikia tu kwa watu , nae akafata mkumbo wa chuki.

Take time kumjua mtu kabla hujaanza kumtukana na kumsema vibaya.Siku ambayo vyombo vya habati kule Marekani viliandika kuwa Bushiri kakamatwa na madawa, bushiri alikuwa kwenye ibada kanisani kwake south Africa, na alikuwa live Na yeye mwenyewe kwa kinywa chake alitangaza kuwa kuna habari inasaambaa USA kuwa kakamatwa wakati yeye yupo south Africa.

Uongo huo ulitungwa juu yake ili kumkatisha tamaa na kukatisha watu tamaa wasihudhurie kongamano ambalo alikuwa anaenda kulifanya Marekani siku chache kabla ya huo uongo wa kumchafua. Alifanikiwa kwenda na lilifanikiwa kwa asilimia 100. Satan you are a lier.!!

Hata shetani analijua neno la Mungu kuliko kawaida, lakini ni shetani.
 
Wiki kadhaa zilizopita Mke wa aliyekuwa Kamishna wa TRA Harry Kitilya, Bi.Rose Kitilya alionekana katika viunga vya Afrika Kusini katika kanisa la Nabii Bushiri ili kumuomba Nabii huyo 'kumfanyia wepesi' Bw. Kitilya alieko gerezani kwa kosa la kutakatisha fedha haramu katika sakata la hati fungani. Ombi la mama ni kuomba nabii afanya maombi ili milango ya gereza ifunguke.

Wiki moja iliyopita kuna taarifa ya kuwa ndugu Lowassa anaye ameonekana katika viunga vya nabii huyo, katika kile kinachitwa kuangalia mustakabali kisiasa na kupata mbinu za kuongeza mvuto.

Je Nabii Bushiri ni 'mtoa maono' mpya baada ya TB Joshua?. Kwa wenye piacha za matukio mnaweza kuweka kwani mtambo wangu leo hauko sawa.

Nawasilisha.
Nimejitahidi kuwasiliana na jamaa zangu walioko South Africa hakuna anayesema aliwaona watu hao tusubiri tu mitambo yako ikae sawa utuunganishie mkuu.
 
Hivi hawa wanaoitwa mitume siku hizi, wamekuja na VITABU gani kutoka kwa Mungu?
Kama ilivyokuwa Torati kwa Mussa, Injili kwa Yesu na Quran kwa Muhammad (s.a.w)
 
Watu wengi wanaowapinga hao manabii hata kuwajua hawawajui, hawajawahi kufatilia mafundisho yao japo kwa one week wawasikie na kuona kwa macho yao hawa watu. Cha kushangaza ndio utawakuta wakiwatukana na kuwaita matapeli , wezi, mara waganga. Hebu muulize kama anamjua huyo bushiri au Tv chanel yake inaitwaje hajui ,ni story alizisikia tu kwa watu , nae akafata mkumbo wa chuki.

Take time kumjua mtu kabla hujaanza kumtukana na kumsema vibaya.Siku ambayo vyombo vya habati kule Marekani viliandika kuwa Bushiri kakamatwa na madawa, bushiri alikuwa kwenye ibada kanisani kwake south Africa, na alikuwa live Na yeye mwenyewe kwa kinywa chake alitangaza kuwa kuna habari inasaambaa USA kuwa kakamatwa wakati yeye yupo south Africa.

Uongo huo ulitungwa juu yake ili kumkatisha tamaa na kukatisha watu tamaa wasihudhurie kongamano ambalo alikuwa anaenda kulifanya Marekani siku chache kabla ya huo uongo wa kumchafua. Alifanikiwa kwenda na lilifanikiwa kwa asilimia 100. Satan you are a lier.!!
Ninavyofahamu mimi, Bushiri anacheza na media kutengeneza matukio. Mfano ni hilo la kukamatwa na madawa USA. Anafanya hivyo ili kuonyesha audience kuwa "ananenewa mabaya" ilihali yeye ni "mtumishi mwaminifu wa Mungu"! Bushiri, kwa mtu anayeijua Biblia, na asiyevutwa na miujiza bali neno halisi la Mungu, haiwezi kumchukua muda mrefu kufahamu kuwa ni miongoni mwa "manabii wa siku za mwisho"!
 
Wanahangaika sana,wanafikiri watumishi Mungu ni kama waganga was kienyeji,tafuteni kwanza ufalme was Mungu na haki zake mengine mtapata automatic,yaani ukifanikiwa kupata ufalme was Mungu unakuwa kama magnet ndani ya maisha yako
Kinaitwa kibali cha Mungu utokapo na uingiapo. Watu tunasahau kumuomba mtoa kibali atupatie .(Mungu)

## umeongea vyema
 
Back
Top Bottom