Semilong
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 1,712
- 219
nilipokuwa bongo kuna ghorofa moja zilikuwa zinajengwa pale mindu street nikaenda kwenye office zao mjini nikakutana na kijana mmjoa wa kiindi akaniambia 2 bed flat gorofa ya kwanza ni $85,000 na kila ukienda juu inaongezeka $5,000.
nikamuuliza rent return zikoje akaniambia $2,000 kwa mwezi
bahati nzuri nilikuwa na rafiki yangu mtaa huo nyumba yake ilikuwa vacant na ni mpya kwa $1500pm na kama nyumba nyingine 4 zilikuwa tupu..
tuka mpa hiyo habari akaanza kugwaya na kubadilisha maneno
kwa kifupi hizo nyumba nyingi haziuziki na ukienda kwenye estate mbalimbali utazikuta ni hizo hizo