Property for sale-arusha tanzania

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
A super large plot measuring about 2.24 Ha is ready for sale. This plot is allocated along the Arusha- Dodoma road, about 10km from the city center and about 2 km from the Arusha Airport. Arusha is the home to the East Africa Community transit centre, Academic Institutions , not forgetting President Mandela's foundation and Tanzanite Mining Center. Ideal for building school, Tourist Hotel, tourist camps. The plot is ideal for commercial and residential purposes. The Plot is selling at USD 1mil/-. Negotiable. For more information call +255784225000 visit: kitomai.blogspot.com
 
Dah... kweli mtoto mtembezi atakula miguu yake... 1M USD? :wacko:
 
Hiyo ni exageration of price. Kwani ww ulinunua bei gani na umefanya development gani? Tz plot ya Billion imetoka wapi? Haya kila la heri na biashara yako broda
 
Hiyo ni exageration of price. Kwani ww ulinunua bei gani na umefanya development gani? Tz plot ya Billion imetoka wapi? Haya kila la heri na biashara yako broda
dawa ni serikali kuchukua hilo eneo na kulifanya josho la wanyama pale maeneo ya kisongo... kuna uhaba sana wa majosho
 
ndio maana tukaomba LAND,PROPERTIES,RENT REGULATORY AUTHORITY ianzishwe kudhibiti bei na kodi za nyumba na ardhi!
 
mnh ukiwa na hio usd milion moja,si bora uinvest huko huko marekani(JOKE msinitoe macho:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
 
Hayo si maeneo ambayo yapo kwenye mgogoro maana Sehemu hizo kama za wanajeshi vile
 
m1 dollar? label yangu ishasimama tayari
hivi rostam huwa anakatiza humu?
 
Kama hiyo land yako ni ya thamani uliotaja, lazima uko na hati miliki ya hicho kiwanja chako. Ukiona hakuna mnunuzi peleka hati yako kwenye insurance company, then get an insurance bond, go to the bank get the money then build the hotels you are talking of. Benki watakupa pesa unazoitaji if you get the insurance bond. kwani wewe hutaki kumiliki hoteli au shule?? Man you are rich but you don't know.
 
Linakuhusu na wewe. unaweza kuleta mnunuzi ukapata kamisheni. Usijibeze!
 
Eneo lenyewe halijawahi pata mvua toka 1998
halina sorce za maji, miti hamna ukipanda inakauka, eneo lenyewe litakuwa la jeshi JWTZ kama sijakosea au hifadhi maana wanalima lima
 
watanzania wataweza kweli kununua tena sehemu ya kujenga nyumba yao.... kama vijana wanasoma kitu kama hiki wanakata tamaa, au vipi... kama kweli bei hii ni ya kihalali na ukweli, mimi naona nafuu kwenda Ulaya/Marekani na kununua sehemu kule kule, kwa 1mil/.USD (760.000 Euro) unapata eneo kubwa zaidi pamoja na nyumba nzuri bila wasi wasi... tutashangaa kama watanzania wanataka kuhama mahali pingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom