Propaganda zinatupeleka pabaya; Waandishi waingizwa vyumba vya upasuaji MOI

hata mm nimeona kwny itv ila sina hakika km that was ethically correct!!nadhani mkurugenzi wa MOI anacheza mziki wa propaganda za serikali.
 
Mimi nina mgonjwa wangu hapa mawenzi hospital moshi, huduma zimezorota mgonjwa kalazwa toka alhamisi,madaktari wanapita tuu asubuhi kuzuga,wamechukua vipimo then wameingia chaka(no results).
 
Naona wanaozidi kuleta propaganda ni nyinyi. Tatizo hamuelewi kuwa taasisi ya mifupa MOI inajitegemea na mishahara yao ni mikubwa kiasi kuliko wale wa MNH. Specialists wa MOI wanalipwa Vizuri na hawana sababu ya kugoma goma. Kila operation anayodanya anapercent yake, achilia mbali mshahara wake. Kwa wanaojua, walimuonyesha Dr. Anthony na Madaktari wasaidizi wakijiandaa kufanya operation. Acheni majungu na kupenda migomo!
 
Kumbe wamewahonga vyombo vya habari. Hata kuna jamaa kasema hapa mbona hawa madaktari bingwa ni wapya hamfahamu hata mmoja naye ni mfanyakazi wa pale.

Shida yako hasa wewe n nn? Kutibiwa au kusapoti mgomo au kutaka kujua yupi wa zamani yupi mpya?
 
Wachonganishi maji yanapofika shingoni!

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Sasa si mgomo, kama haupo kazini ni "jobless".
 
Back
Top Bottom