Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

Huyo MM ni mtanzania mwenzetu,binadamu kama sisi,lakini hapo alipo hana amani na hana raha.Anahisi kwa sasa kama vile nchi hii haimhusu tena kwa sababu tu jamaa yake dr Mihogo hayupo cdm kama mgombea urais.Nampa pole kwa hilo,kwani hajatambua kwamba katika mapambano na adui yetu ccm,kwa sasa silaha yetu ni EL hata kama hatumpendi,sijui mgonjwa,fisadi nk.ni mbinu mojawapo kumkamata jambazi kwa kuongozwa na anayewajua mbinu zao na wapi walipo, aliyejitenga nao,we huoni wanavyohaha?.Kuendelea kulalama na kumchafua EL kunatufanya tukudharau na kukuelewa kuwa we agent wa ccm tangia mwanzo au umelamba kitu.
 
Program Note: Tarehe 5/10/2015 .... Ngurumo inaanza... treni haliendi hili... Geresha kuu ya kihistoria dhidi ya Watanzania lazima ikomeshwe; mabadiliko hayabinafsiswi na hayabambikizwi... Ndugu zetu wanayo haki ya kumtaka Lowassa na uongozi wa aina yake; na tupo wenye haki ya kumkataa Lowassa na uongozi wa aina yake... katika hili hatuna wa kumwomba radhi au kibali. Kama nchi ni yetu sote basi "sote ni sote"!

Stay tuned: #OperesheniZinduka
Watafunguliwa tu!!

I cant wait to see this drama end

naona cash mnazohongwa zinawatia mihemuko kwelikweli
 
Akina Wema walipewa mtaji wakaja na mama ongea na mwanao,wakapewa mtaji akina jb wakaja na timu kibajaji haikutosha wakaitwa wasanii wote wakapewa hela wamekuja na stuka but wameishia kuaibika na kumtukana Nape..
Sasa wewe unaejulikana hapa Jf tu nakuhakikishia huna jipya na utaishia kupata aibu na lawama kwa wanaokutuma
 
Mwanakijiji ungewaomba TUME ujiandikishe Mara MILIONI ili kura zako zimweke umtakaye Tafadhali acha upuuzi wako kuwasemea watu wengine Lowassa hafai nyumbani kwenu kwetu anafaa pili kama njaa ni kali wambie wakuongezee mkwaja CCM yenu inatumia nguvu sana kuhangaika Na Lowassa yetu in MABADILIKOoooooo

Lowassa angekuwa anakubalika, asingeanza kuemploy mbinu za maigizo kwenye kampeni.
Lowassa hakubaliki na hata yeye analijua hilo, zaidi ya hapo ni mbwembwe tu.
 
Huyu M/ kijiji mshika mikoba ya Slaa ana maaanisha Slaa atarudi na mbinu mpya baada ya mkwewe kumdanganya.Fedha alizopewa na CCM kaenda zilia Marekani na almost zinaisha ndo anarudi ili aite press conference ya mwisho. Its too late sisi wapiga kura tunajua tunachotaka. Ni kwanza CCM itoke mambo mengine baadaye
 
Hahahahaaaa umenivunja mbavu sana mkuu.
 
Hivi walianzaje hawa ndugu zetu na kusaliti harakati za mabadiliko sahihi? Kiliwakuta nini nankwanini? Maswali haya yatajibiwa tu..

Ndugu; unaweza kunishawishi mabadiliko ya kweli ni yapi? Yale ya Dr slaa kupiga kelele nchi haitatawalika? Yale ya Dr slaa kupiga kelele akipewa ikulu atamfunga Magufuli? Yale ya Dr slaa Lowassa ni Fisadi? Yale ya Dr slaa tunazo data then quite? Njoo uniambie mabadiliko sahihi ni yapi?
 
Hawa "wakatoliki" feki wanataka kupoteza watu maboya... Ni hivi wananchi walishawapuuza wewe, Slaa na wenzenu wenye mitazamo feki kama yenu...

Who are you..... What ar you...??

Hasira na damu ya wataka mabadiliko na iwe juu yenu...!!
 
Mwanakijiji una hasira na uchungu kuliko Dr. Slaa. pole sana mkuu Mabadiliko tu kura yangu kwa UKAWA kuanzia Udiwani ubunge, ubunge viti maalum mpaka Uraisi.

Baki nai Zimwi Kuu.
 
Hawa watu bana.. Eti operesheni funguka, pambaff sana kwamba nyie ndio mnamjua lowassa kuliko watanzania wote? Tulishamsamehe yote na ndio maana tutampeleka ikulu ifikapo oct 25.. Hii tabia ya wajinga wajinga kupewa vihela vya escrow na kujidai mna uzalendo feki huku mkiishi UK na america mi inaniboa sana, mtuache tunaoteseka na huyu mdudu ccm tujiamulie bila vijimaneno vyenu vya kinafiki eti tu kwa sababu na nyie mmepitiwa na vichenchi vya escrow... Hivi hawa kina MMM wanajua jana nimekaa masaa 15 bila umeme? I hate stupidity ya hawa watu... Nyie kina MMM mnajua kina mama wanajifungulia chini?
 
Naungana nawe Mwanakijiji, bataelewa tu pale batakapoacha kuwa kama farasi ambaye mwendeshaji/mpandaji wake akipigwa akauwawa basi adui humpanda na kumuendesha, mimi nimegoma, mapenzi ya Lowassa binafsi ya kutaka hayawezi kutafsiriwa kuwa ni mabadiliko.
 
Haha haaa kama ni slaaaa amechelewa sana. Mtaita majina yote ya operesheni zote mnazozijua lakini kamwe hamuwezi kuzuia mpango wa Mungu. Lowassa babyyyyyyyyyyyyy
Ni mpango Wako Kwani Mungu anasema Nini kuhusu mtu mwizi? Huzijuwi Amri Kumi za Mungu? Ya kwanza Kabisa inamtoa EL nje hizo zingine Je? Acha kupotosha ukweli Mungu hana ubia Na mtu muovu hata siku Moja!
 
Watanzania hatuuihitaji tena ccm na mfumo wake wa rushwa na ufisadi. ccm ndio jiko linaloandaa na kulea..kukuza ufisadi na rushwa....
ni upumbavu kudhani ccm haijui ufisadi na rushwa unaofanywa na serikali yake...
ni upumbavu kudhani kufuli ndani ya ccm atapambana na waajiri wake ccm
Ni hatari pia kumpa nchi kinara wa Ufisadi na kiongozi mkuu wa ufisadi Huku ukiamini nyumba anayoenda kuishi kuna watu safi wataendelea kuwa wasafi huko ni kujidanganya kabisa tena wazi wazi!

EL nilimpinga akiwa CCM kwa kutokuwa msafi nitaendelea kufanya hivyo hata Mbele ya Mungu!
 
Naungana nawe Mwanakijiji, bataelewa tu pale batakapoacha kuwa kama farasi ambaye mwendeshaji/mpandaji wake akipigwa akauwawa basi adui humpanda na kumuendesha, mimi nimegoma, mapenzi ya Lowassa binafsi ya kutaka hayawezi kutafsiriwa kuwa ni mabadiliko.

EL ni mtu wa "deal" ataendelea kuwa mtu wa "deal" hata siku ya hukumu!
 
Hawa watu bana.. Eti operesheni funguka, pambaff sana kwamba nyie ndio mnamjua lowassa kuliko watanzania wote? Tulishamsamehe yote na ndio maana tutampeleka ikulu ifikapo oct 25.. Hii tabia ya wajinga wajinga kupewa vihela vya escrow na kujidai mna uzalendo feki huku mkiishi UK na america mi inaniboa sana, mtuache tunaoteseka na huyu mdudu ccm tujiamulie bila vijimaneno vyenu vya kinafiki eti tu kwa sababu na nyie mmepitiwa na vichenchi vya escrow... Hivi hawa kina MMM wanajua jana nimekaa masaa 15 bila umeme? I hate stupidity ya hawa watu... Nyie kina MMM mnajua kina mama wanajifungulia chini?
EL Kawa Waziri Mkuu kwa miaka miwili, Sumaye kawa Waziri Mkuu kwa miaka kumi kawaulize hayo maswali watakujibu fika mimi nimekuwa baba wa familia kwa miezi sita nimeleta mabadiliko katika familia yangu!

EL na Sumaye WANA Kitu Cha kujibu kwetu tuache unafiki
 
Back
Top Bottom