Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,498
40,045
Program Note: Tarehe 5/10/2015 .... Ngurumo inaanza... treni haliendi hili... Geresha kuu ya kihistoria dhidi ya Watanzania lazima ikomeshwe; mabadiliko hayabinafsiswi na hayabambikizwi... Ndugu zetu wanayo haki ya kumtaka Lowassa na uongozi wa aina yake; na tupo wenye haki ya kumkataa Lowassa na uongozi wa aina yake... katika hili hatuna wa kumwomba radhi au kibali. Kama nchi ni yetu sote basi "sote ni sote"!

Stay tuned: #OperesheniZinduka
Watafunguliwa tu!!
 
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninamkataa akiwa nje ya CCM.

Nitawapigia kura wabunge wa upinzani ili bunge liwe balanced na liweze kufanya kazi zake za kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.

Siwezi kumpa Lowassa na genge lake hatma ya nchi yetu wakati ninafahamu ni simba anayejaribu kuvaa ngozi ya kondoo.

Ninaifahamu vizuri thamani ya kura yangu.
 
Program Note: Tarehe 5/10/2015 .... Ngurumo inaanza... treni haliendi hili... Geresha kuu ya kihistoria dhidi ya Watanzania lazima ikomeshwe; mabadiliko hayabinafsiswi na hayabambikizwi... Ndugu zetu wanayo haki ya kumtaka Lowassa na uongozi wa aina yake; na tupo wenye haki ya kumkataa Lowassa na uongozi wa aina yake... katika hili hatuna wa kumwomba radhi au kibali. Kama nchi ni yetu sote basi "sote ni sote"!

Stay tuned: #OperesheniZinduka
Watafunguliwa tu!!

Hili gamba linamatatizo ya akiri mlipuuzieni tu lipite.

swissme
 
Mwanakijiji ungewaomba TUME ujiandikishe Mara MILIONI ili kura zako zimweke umtakaye Tafadhali acha upuuzi wako kuwasemea watu wengine Lowassa hafai nyumbani kwenu kwetu anafaa pili kama njaa ni kali wambie wakuongezee mkwaja CCM yenu inatumia nguvu sana kuhangaika Na Lowassa yetu in MABADILIKOoooooo
 
Anha..now your true colors are starting to reveal. If you're not with us,You're with them and against us!
Sasa unadhani wewe/ninyi ndo wenye macho,na wengine ni vipofu? Kama Nchi ni yetu sote,kwanini unataka mapenzi yako yatimizwe tena kwa kushawishi na mishipa inakutoka? Kama vipi acha iwe #SoteNiSote.. Usitake sote ni sote iwe "sote ni sote katika wewe" sawa na ile Dogma ya ya Wakatoliki ""Kwa njia yake, pamoja naye na ndani yake"..
Waache watanzania waamue. Wewe ni wewe na mimi ni mimi na yeye ni yeye. Kila mtu anajua serikali inawajibu gani kwake.
 
Program Note: Tarehe 5/10/2015 .... Ngurumo inaanza... treni haliendi hili... Geresha kuu ya kihistoria dhidi ya Watanzania lazima ikomeshwe; mabadiliko hayabinafsiswi na hayabambikizwi... Ndugu zetu wanayo haki ya kumtaka Lowassa na uongozi wa aina yake; na tupo wenye haki ya kumkataa Lowassa na uongozi wa aina yake... katika hili hatuna wa kumwomba radhi au kibali. Kama nchi ni yetu sote basi "sote ni sote"!

Stay tuned: #OperesheniZinduka
Watafunguliwa tu!!

Toka uahidiwe ubunge wa viti maalum,naona umeamua kupambana kweli sasa mzee wangu.
 
Program Note: Tarehe 5/10/2015 .... Ngurumo inaanza... treni haliendi hili... Geresha kuu ya kihistoria dhidi ya Watanzania lazima ikomeshwe; mabadiliko hayabinafsiswi na hayabambikizwi... Ndugu zetu wanayo haki ya kumtaka Lowassa na uongozi wa aina yake; na tupo wenye haki ya kumkataa Lowassa na uongozi wa aina yake... katika hili hatuna wa kumwomba radhi au kibali. Kama nchi ni yetu sote basi "sote ni sote"!

Stay tuned: #OperesheniZinduka
Watafunguliwa tu!!
Mtaishia kulia nakusaga meno tu, Treni hii haizuiliki kwa tungo za kishirikina.Mngekuwa na ujasiri msingeingia kwa kificho.
 
I Think Hii Ni Forum Ambayo Kila Mtu Anaruhusiwa Kutoa Mada,maoni Yake Na Kila Mtu Kuchangia.Mawazo Ya MM Ni Yake Hatutakiwi Kutoa Comments Za Kukejeli,dharau Hazitakuja Kubadili Mawazo Ya MM,kama Kweli Maoni Yake Ni Tofauti Na Yetu Tumpinge Kwa Hoja,na Sio Lazima Kila Alisemalo Lazima Tulichukue Kama Halitusaidii Toa Hoja Why Then Leave It Their....
 
Back
Top Bottom