Professor Muhongo tueleze kuhusu hili.

Juniour K

Member
Mar 8, 2012
54
5
Since asubuhi maeneo ya kinondoni umeme unakatika na kurudi,hatuelewi nini kinaendelea,kama ni ufundi mnaousema,huu ufundi wa namna gani wa kutaka kuchoma vifaa vya wananchi,umeme unakatika hata usiku wa manane,huo ufundi unafanywa hadi usiku wa manane?wana jf mnisaidie kumweleza huyu prof badala ya muhongo ataitwa muongo.

Prof nakupa angalizo ahadi ulizokuwa unatoa,ulikuwa huzitoi kwa viziwi wala vipofu,take care prof.hadi naipeleka hii thread hewani niko kwenye kiza.
 
Hadi sasa umeme haujarudi, nawafikiria ssamaki wangu kwenye fridge sijui kama kesho watakua salama, Toeni ratiba ya mgao kieleweke
 
Kweli mzee unajua wasitufanye sisi majuha inakuwaje eneo lifanyiwe matengenezo kila Baada ya Siku kadhaa,umeme unapozima zaidi ya masaa sita na kuendelea,Huo ni mgao,anyway tusubiri hizo weeks za matengenezo zikiisha hali itakuwa Vp.
 
Huku kwetu, maeneo ya Mbezi Beach, kila siku iendayo kwa Mungu lazima umeme ukatike zaidi ya masaa 4. Ukiendela kukatika nitachukua hatua.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom