Professor Jay

llcaples

New Member
Mar 11, 2010
2
0
Which label is Professor Jay signed to or is he an independent artist? Lebo ambao ni Professor Jay anasaini kwenye au ni yeye msanii huria?
 
Bisha hodi kwanza wewe siyo unaingia na swali ulipaswa kujitambulisha kwanza!
 
labda katumwa kuja kumchafua hapa... si unajua bongo bila kupakana vinyesi hainogi?
 
Which label is Professor Jay signed to or is he an independent artist? Lebo ambao ni Professor Jay anasaini kwenye au ni yeye msanii huria?

asante kwa kuuliza kwa kimombo na kututafsiria kabisa japo hueleweki nia yako hasa ni nini
 
Madogo bana kazi ni Bongo flava tu hadi humu. Ukijua lebo yake then what?
 
Hahahah daah yaani hapa nafurahi tu. Jaribu kufafanua swali lako na tupate haswa ni kitu gani unajaribu kusema hapa. Pili kama utajua hilo uan ajenda gani? kumuingiza katika label yako?

BTW wasanii wengi wa Bongo hawana label [Haswa wasanii wakubwa] na kitu wanachofanya ni kurekodi kazi zao kwa maproducer tofauti, kuzikusanya katika CDz as masters kisha kwenda zitupa kwa wahindi wakaibiwe!
 
Hicho kiswahili kimekaa kama vile ameweka hayo maneno ya kiingereza kwenye web translantor ikampa result hiyo isiyoeleweka
 
Back
Top Bottom