PROFESSIONAL CHABOZ

Katika maisha yangu yakiuanafunzi sijawahi kuona chabo Kali kama za chuo.....aisee
Kipindi nipo chuo, chabo tuliziona ni za hatari,,,,,,,,,,,mambo tuliyokuwa tunafanya ni kuongea tu. Hii ndio ilikuwa na usalama kidogo hasa msimamizi akiwa mbali na ukumbi wa mtihani ukiwa mkubwa.
 
Hahaha nimekumbuka enzi za chuo Duu flan wakishua alidakwa na summary kaandika daftari zima akazimia hapo hapo chumba cha mtihani

Alivyozinduka akapelekwa offisi ya mwanasheria wa chuo kuchukua barua ya kufukuzwa akazimia tena karudishwa hosteli ni kuzimia kila saa kwenye ndege pia safari nzima alizimia hatujui nyumbani ilikuaje ila mitihani na chuo inaweza kuua mtu!
Hakufa huyo???
 
Nilishawahi kusiamamia pepa kipindi cha nyuma, mtoto mmoja wa kike kaandika kwenye mapaja nondo zake zote, nilipo mshtukia ilibidi nimruhusu tu maana na mimi nilikuwa nafaidi nilichokuwa nakiona.

Baada ya pepa uhusiano ulibadilika taratibu, siyo wa mwanafunzi na mwalimu. Thank God mkataba wangu uliisha mapema nikahama.

Aiseeeeeeee!!!!!!
:D:D:D:D:D:D:D
 
Teh teh..Bro embu jiheshimu bana..Unatuona sisi watt ehee..Laptop wapi?

Kaboom huwajuhi wanfunzi kabisa
Ni wana balaaa, wanaweza hata kuingia na Lori la gaka kwenye mtihani na usijue.
Huwa nasema wangekuwa wanatumia akili hizi kufanya mambo ya maana basi TZ tungekuwa mbali sana
 
Na mimi wajameni kakitokea katempo ka kusimamia mitihani hasa hasa madem wakiwa 80/20 men, tusaidiane! nna hamu na hambalulu! dogo dogo hadi natetemeka! cc Raimundo
 
Ha ha ha ndo maana mtu akiwa na GPA lake kubwaaa huwa sibabaiki nae sana, chuoni kuna njia nyingi sana za watu kufaulu nyie acheni tu. Me nakumbuka kuna pepa ilinibana sana, nikasema ngoja nimshitue mwana wa mbele yangu, bahati mbaya au nzuri tulikaa katikati ya Hall, na ikumbukwe pia Chabo ni kipaji kama hujazoe unaumbuka fasta. Basi nimejaribu jaribu maswali pale, ilikuwa accounts, dah nikaona kabisa leo mtu mzima napimwa tezi dume bila kupenda, nikageuka kushoto kulia, nyuma hamna mtu, kumbuka nipo katikati, baasi nikamshtua mwana, mwana akageuka vizuri mara ya kwanza, nikamuuliza swali, ile anaenda kuangalia ndo anipe jibu alipogeuka akasita kidogo, then akarudi kuendelea kupiga pepa, aaaah nikasema usinitanie nikaanza kumuita kwa fujo zote, oyaaaa oyaaa unazingua mixer kumshika shati, mwana kazinda tu, daah nikasema huyu mwana vipi mbona alitaka kunisaidia ila kazingua tena, baasi ile nataka kuanza kutafuta solution kwingine nashangaa naguswa mgongoni, nikajua labda kuna mdau kaamua kunisaidia baada ya kuona nateseka, waaaapi mkuu, kumbe ni msimamizi alishafika kitambo akawa ananichora tu, na kumbe yule jamaa wa mbele alimuona ndo maana alizingua kunipa majibu ha ha ha, nikasema leo sasa, japokuwa huwa wanalipwa wakimkamata mhalifu ila yule mama hakutaka kucomplicate, akatupa options mbili, tukakusanye hivyo hivyo mpaka hapo tulipofikia au atutolee marks 5 kila mmoja, jamaa wa mbele akasema bora tukusanye hivyo hivyo, eeeeeeh usisahau kwamba mkuu wako nilikuwa nimeandika namba za maswali tu
 
Haahaaaa,
Umenichekesha sana
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Chabo chaboz duh! Thanks daddy kunipeleka shule!

Hii ndio kiboko nikiwa nasoma1st degree tuko kwenye hall kubwa yani hata vip huwez ona next student's work, na mtihani wa maelezo kibaao. Dada mmoja tu ndio mpk leo hua siamini macho yangu, fuata a nami uone hii chabo yake.

Kama kawa aliingia na nondo imeshibaa (si unajua pepa za bongo kukariri 90% kuelewa 10% so gurantee ya kufauru ilikua mkononi mwake.

Kakaa mbele yangu kdg kama mtu wa 3, ila kwa ule umbali ni km mita 7-8 hivi. Mara katoka hilo dude lake kaweka chini ya booklet ya exam. Pepa kinaendelea kila mtu bize, ikafika km 1hr after msimamz huyoo kapata wsws na huyu dada...mara macho yakagongana. Mmmh mmh kahisi kuna kiboom kwa huyu mwanafunzi, kwa kukaza macho akaanza safari kumfuata (kulikua na malipo ukikamata chabo yenye ushahid).

Dada wa watu kang'amua na ana hilo li-evidence,watu kila mmoja ni kama ameshaona movie so tunaangalia niji kitafata.

Huwez amini yule dada alitumia ujasiri wa kukata one paper (empty usiyo na andish), akaikunja kiganjani kwa haraka sana kisha akairusha umbali kiasi.

Msimamiz akajua ile ndio yenyewe ba kurelax. Ile msimamz anaifuata pale chini, na kuikunjua ili aanze kuandaa ushahidi nakuambia Zawjia alimeza ile evidence na hakufukuzwa. Ikabaki kesi tu ooh kwa nn uchane booklet.
 
Desa ya wana vyuo sio mchezo. Ukifikiria ukikamatwa ni disco. Unafanya lolote lililopo kwenye uwezo wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom