Majuzi tulipata uzi uliondaliwa na Mchungaji Christopher Mtikila kuhusu nchi yetu kukaliwa na watu kutoka nchi za Rwanda na Burundi mpaka kushika nyadhifa kubwa hapa kwetu. kuna profesor alikuwa SUA Morogoro anajulikana kwa jina la PROFESOR MARTIN SHEM, hakuna aliyejua asili yake vizuri. baada ya kagame kuchukua nchi alimwita na sasa ni moja kati watu muhimu sana huko. Morogoro anakuja na kuondoka na aliwanayang'anya ardhi wazawa kesi ipo mahakamani na amefuga ng'ombe wa kisasa na kulima zao muhogo kisasa na kuuza nje ya nchi hasa south africa na ndani kwenye viwanda vya biskuti. wakati akiwa Tanzania hakuna aliyejua kama ni mtu kutoka Rwanda, wapo wengi wamesomeshwa na taifa hili na sasa wanatumikia nchi zao. ukitaka kujua huyu mtu google profesor martin shem au fuata link hii ya Rwanda. http://goo.gl/fb/ne50w then angalia walioteuliwa na Rais Kagame hivi karibuni kuwa wakuu wa wizara na tasisi za serikali ya Rwanda.
Wapo kibao hapa kwetu na usalama wa taifa na uhamiaji hawajui lolote.
You may be right. But are genuine Tanzanian citizens given the chances and the right work environments to make them deliver? This one could go to Rwanda because he may be a citizen, but what about the rest of Tanzanian professionals?
Na ulisoma na kuelewa hiki alichoandika?:
"Morogoro anakuja na kuondoka na aliwanayang'anya ardhi wazawa kesi ipo mahakamani na amefuga ng'ombe wa kisasa na kulima zao muhogo kisasa na kuuza nje ya nchi hasa south africa na ndani kwenye viwanda vya biskuti. wakati akiwa Tanzania hakuna aliyejua kama ni mtu kutoka Rwanda, wapo wengi wamesomeshwa na taifa hili na sasa wanatumikia nchi zao."
Hapa anaelezea jinsi serikali ilivyoshindwa kulinda haki za raia wake. (.)
Nimeiona hii hapa:
Martin Ndabikunze Shem is a Tanzanian citizen who graduated from the University of Dar-es-
Salaam with BSc. (Agric.) (Hons.), and obtained his MSc and PhD from the University of Guelph
in Canada and the University of Aberdeen in the UK respectively.
He started his career as a Field Officer for the Livestock Development Authority (LIDA) in
1975, then the largest livestock parastatal holding company in Tanzania dealing with milk
and beef production, and processing. From LIDA he joined Sokoine University of
Agriculture in 1982 as a Tutorial Assistant and is currently Professor of Animal Science. He
also carries out research in basic and applied nutrition, pastoralism and conflict resolution,
beef and dairy management under tropical conditions and pasture and forage conservation
techniques. Prof. Shem has ample experience in tropical livestock farming systems
research and production under tropical conditions, for which he is nationally and internationally
recognised.
Prof. Shem has conducted consultancy work for organizations including USAID, FAO, UNDP,
IIED/RECONCILE, the World Food Programme and the African Development Bank (ADB).
Prof Shem is well known in the farming community in Tanzania as a medium scale dairy and
beef cattle keeper. He is a founder member and Executive Secretary of the Morogoro Dairy
and General Livestock Farmers Association (MODALIFA). He is also the current Chairman of
the Tanzania Milk Producers Association (TAMPRODA) and a member of the Tanzania Dairy
Board (TDB) and an active member of the Tanzania Society of Animal Production for the
past 20 years.
Department of Animal Science and Production, P.O. Box 3004, Chuo Kikuu, Morogoro,
Tanzania; Telephone: 255-23-2-603511-15 ext.4471 (Office) 255-23-2604676 (Home), +255-
744-293-535 (Mobile) Fax: 255-23-2-604621, 4562 and 4088; E-mail: martinshem@yahoo.com,
Dingswayo
I am knw I am right on wht I said 100% refer to the BoT Rwandans "the tall one" and Liyumba.
Hapo kwenye red sio kweli kuwa hakuna mtu asiejua kama huyo Prof ni Mnyarwanda yeye amejuaje? na hivi inakuingia akilini mtu anaitwa DR. NDABIKUNZE MARTIN SHEM awe mluguru kweli! khaaaaaaaaaa
ni wengi tu ...Mkuu wa itifaki wa serikali ya Kagame ni mtutsi..alikuwa lecturer wa Mzumbe (IDM -Mzumbe)
U knw why this happening? simply....... they deliver we make stories on jf during working hours!
Majuzi tulipata uzi uliondaliwa na Mchungaji Christopher Mtikila kuhusu nchi yetu kukaliwa na watu kutoka nchi za Rwanda na Burundi mpaka kushika nyadhifa kubwa hapa kwetu. kuna profesor alikuwa SUA Morogoro anajulikana kwa jina la PROFESOR MARTIN SHEM, hakuna aliyejua asili yake vizuri. baada ya kagame kuchukua nchi alimwita na sasa ni moja kati watu muhimu sana huko. Morogoro anakuja na kuondoka na aliwanayang'anya ardhi wazawa kesi ipo mahakamani na amefuga ng'ombe wa kisasa na kulima zao muhogo kisasa na kuuza nje ya nchi hasa south africa na ndani kwenye viwanda vya biskuti. wakati akiwa Tanzania hakuna aliyejua kama ni mtu kutoka Rwanda, wapo wengi wamesomeshwa na taifa hili na sasa wanatumikia nchi zao. ukitaka kujua huyu mtu google profesor martin shem au fuata link hii ya Rwanda. http://goo.gl/fb/ne50w then angalia walioteuliwa na Rais Kagame hivi karibuni kuwa wakuu wa wizara na tasisi za serikali ya Rwanda.
Wapo kibao hapa kwetu na usalama wa taifa na uhamiaji hawajui lolote.
You may be right. But are genuine Tanzanian citizens given the chances and the right work environments to make them deliver? This one could go to Rwanda because he may be a citizen, but what about the rest of Tanzanian professionals?
Na ulisoma na kuelewa hiki alichoandika?:
"Morogoro anakuja na kuondoka na aliwanayang'anya ardhi wazawa kesi ipo mahakamani na amefuga ng'ombe wa kisasa na kulima zao muhogo kisasa na kuuza nje ya nchi hasa south africa na ndani kwenye viwanda vya biskuti. wakati akiwa Tanzania hakuna aliyejua kama ni mtu kutoka Rwanda, wapo wengi wamesomeshwa na taifa hili na sasa wanatumikia nchi zao."
Hapa anaelezea jinsi serikali ilivyoshindwa kulinda haki za raia wake. (.)
Mleta hoja unapokuja na hoja hii unaileta kama kusema huyu jamaa ni illegal immigrant au anaishi Tanzania kwa misingi gani au unaona miradi aliyo nayo hapo Morogoro ni dalili kwamba amelowea hapo au unamaanisha nini kuhusu hoja yako?
Kwa maana serikali yetu inafahamu kila kitu kuhusu huyu mtaalam.
Non- Issue, nchi nyingine nazo pia zinakaliwa na watu kutoka Tanzania (& vice versa). Lipumba aliteuliwa kuwa mshauri wa Museveni (kabla ya hapo alikuwa UDSM na serikalini), Daniel Yona aliwahi kuwa balozi wa Ghana nchini Tanzania (baadaye akawa waziri wetu), Govenor mpya wa benki kuu ya England ni Mcanada, Kim Poulsen (Mdenmark) ni coach wa Taifa Stars, etc. Hizi ni movements za kawaida kwa watu wenye rare credentials.