GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,894
- 109,620
Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari ipatikanayo katika Soda inayotangazwa mno Tanzania ya Pepsi.
Asanteni Pepsi kwa kuturahisishia Vifo na Misiba yetu kwa Sukari yenu nyingi/ kubwa iliyoko katika Soda yenu hii.
Kazi ipo hakyanani.
Asanteni Pepsi kwa kuturahisishia Vifo na Misiba yetu kwa Sukari yenu nyingi/ kubwa iliyoko katika Soda yenu hii.
Kazi ipo hakyanani.