Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,177
Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari ipatikanayo katika Soda inayotangazwa mno Tanzania ya Pepsi.

Asanteni Pepsi kwa kuturahisishia Vifo na Misiba yetu kwa Sukari yenu nyingi/ kubwa iliyoko katika Soda yenu hii.

Kazi ipo hakyanani.
 
12.5g*8= 100g

Kwahiyo mtaalam anataka kusema chupa moja ya pepsi inatumia gm 100 za sukari..?😎😎
Screenshot_20231013-222828.png
 
Tujiandaeni tu Kufa / Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii ( Mdogo ) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa ( leo ) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari ipatikanayo katika Soda inayotangazwa mno Tanzania ya Pepsi.

Asanteni Pepsi kwa kuturahisishia Vifo na Misiba yetu kwa Sukari yenu nyingi / kubwa iliyoko katika Soda yenu hii.

Kazi ipo hakyanani......!!
Mkuu usiogope! magonjwa yanategemea sana uimara wa genes zako.. kama genes zako ni dhaifu magonjwa hayakwepeki kwako hata uishi sehem nzuri aje..
 
Back
Top Bottom