Prof. Tibaijuka adhalilishwa mkutano wa kampeni za maoni CCM, Mkutano wavunjika

Kosa la kwanza kabisa alilolifanya huyu mama yetu mpendwa ilikuwa ni kukubali kugombea ubunge na then uwaziri kupitia ccm, japo anaweza akawa amegain material benefits lakini naamini hazitakaa daima zilingane na heshima yake aliyokuwa kaitengeneza.
Kosa la pili ni pale aliposhauriwa vibaya (japo naamini kwa uelewa wake haitaji hata washauri mbuzi) baada ya kutuhumiwa kupokea pesa kinyume na maadili ya kazi akang'ang'ania uwaziri badala ya kujiuzuru. Cha kusikitisha hapa aliyemshauri ndiye aliyemuabisha!
Ingelikuwa busara baada ya kufukuzwa uwaziri bila hata heshima anayostahili angeamua ku quit siasa lakini hakuonekana kufanya hivyo.
Kosa la tatu analofanya sasa ni kwenda kugombea tena ubunge tena kwenye chama kile kile, bora hata angelikuja kama James Lembeli!
Kama wanavyosema kuwa kosa ni kurudia kosa sasa yeye sidhani kama atarudia kosa mara ya tatu alafu asamehewe!
 
mboga kama hizi hapa akimaliza ndio aje kugombea tena
11695961_472042402954965_2448605954241137989_n.jpg

wapige tu na bado tumechoka na maccm
 
Kosa la kwanza kabisa alilolifanya huyu mama yetu mpendwa ilikuwa ni kukubali kugombea ubunge na then uwaziri kupitia ccm, japo anaweza akawa amegain material benefits lakini naamini hazitakaa daima zilingane na heshima yake aliyokuwa kaitengeneza.
Kosa la pili ni pale aliposhauriwa vibaya (japo naamini kwa uelewa wake haitaji hata washauri mbuzi) baada ya kutuhumiwa kupokea pesa kinyume na maadili ya kazi akang'ang'ania uwaziri badala ya kujiuzuru. Cha kusikitisha hapa aliyemshauri ndiye aliyemuabisha!
Ingelikuwa busara baada ya kufukuzwa uwaziri bila hata heshima anayostahili angeamua ku quit siasa lakini hakuonekana kufanya hivyo.
Kosa la tatu analofanya sasa ni kwenda kugombea tena ubunge tena kwenye chama kile kile, bora hata angelikuja kama James Lembeli!
Kama wanavyosema kuwa kosa ni kurudia kosa sasa yeye sidhani kama atarudia kosa mara ya tatu alafu asamehewe!

MKUU unavyoongea kuna ukweli kabisa. Lakini kumbuka hakauna kibaya kama kuonewa! Nafikiri hiki kinamsumbua kabisa na ndiyo maana anataka kujitakasa mbele ya wapiga kura wake. Mimi ninaona mbali ya kufanya hayo makosa yakupokea hiyo hela, lkn inshangaza kuhukumiwa kikatiri kuliko wengine! Hapa kuna harufu ya chuki za kibnafsi pamoja na mikono ya watu.
Tumuache apambane na matokeo ndiyo yatampa USHAURI wa mwisho katika kuendelea na siasa au kuacha kabisa!
 
liyekuwa Mbunge wa Muleba Kusini, Prof Anna
Tibaijuka anayewania jimbo hilo kwa mara ya pili, jana
alishushwa jukwaani kwa kuzomewa na wananchi wake
katika kata ya Nshamba wilayani Muleba. Prof Tibaijuka
alishushwa jana wakati wa kampeni za kura za maoni
kupitia CCM. Hali ya kuzomewa ilidumu kwa dakika
kadhaa jambo lililofanya Wagombea hao kulazimika
kuondoka.
Kwa mara ya kwanza alizomewa juni 8, wakati wa ziara
ya katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana katika
kata hiyo hiyo. Akiwa na Kinana wananchi walimtuhumu
ufisadi wa fedha za Escrow na kushindwa kutekeleza
ahadi ya kuwajengea barabara ya lami.
Source: Mwananchi
Nini maoni yako kuhusu hilo?

Hapa ni akiwa The Hague ya ESCROW....
tibaijukazz.jpg

Hapa akicheza kiduku baada ya kusiba zile mboga zake
1121.jpg

Hapa akimpandishia kifua mtu mmoja mbavu nene aliyemletea kwere.
CCM-MAKAO-MAKUU-DODOMA-WAKATI-WA-MKUTANO-WA-KAMATI-KUU-NA-HALMASHAURI-KUU-YA-CCM-PICHA-ZOTE-NA-DEUSDEDIT-MOSHI-16-OCT-2014-191.jpg

Hapa akienda kumpa pole mzee mamvi baada ya KUKATWA
lowasa-tibaijuka.jpg

Hapa akiwacha live
wale wana kijiji waliometea Jahu...
12.jpg
 
[Jamani huyo mama anafuta nini, alidai aa pesa za mboga sasa anataka nini tena, sisi hatutampa kura ngo, arudi Dar akauze sura mpuuuzi sana huyu, hajui anafanya nini koote alikopita ka prove failure za hatari, nafikiri sisi ndo tutaonekana wajinga sio yeye kama tutamba kura, ndugu zanguni hakuna kumpa kura huyu mamaQUOTE=kimbegu njia;13377666]liyekuwa Mbunge wa Muleba Kusini, Prof Anna
Tibaijuka anayewania jimbo hilo kwa mara ya pili, jana
alishushwa jukwaani kwa kuzomewa na wananchi wake
katika kata ya Nshamba wilayani Muleba. Prof Tibaijuka
alishushwa jana wakati wa kampeni za kura za maoni
kupitia CCM. Hali ya kuzomewa ilidumu kwa dakika
kadhaa jambo lililofanya Wagombea hao kulazimika
kuondoka.
Kwa mara ya kwanza alizomewa juni 8, wakati wa ziara
ya katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana katika
kata hiyo hiyo. Akiwa na Kinana wananchi walimtuhumu
ufisadi wa fedha za Escrow na kushindwa kutekeleza
ahadi ya kuwajengea barabara ya lami.
Source: Mwananchi
Nini maoni yako kuhusu hilo?[/QUOTE]
 
Aliyemloga nani?? hana washauri hta kidogo?? huyu mama ni mtu na heshima zake, kwanini anaendelea kujidhalilisha hvyo?? hivi kweli anahc watanzania bado ni wajinga na wepesi kusahau kiac hiki hata kutokuwa na uwezo wakuona uchafu na dharau alizoonesha?? dah, amakweli sikio la kufa halisikii dawa. kwahyo anataka aendelee kutafuta milion moja ya kununua mboga kwa manufaa yake?? dah, mwambie aachie ngaz awaachie vijana na c kukaa na kulalamika2. tunahtaji ushauri wake katka policy making kama kweli bado anahc kuwa na mchango ktka taifa lakn c uwakilishi.
 
Duh tunakoelekea Anna atavua deal na kubaki na bukta arushe ngumi hewani...
 
Aliyekuwa Mbunge wa Muleba Kusini, Prof Anna Tibaijuka anayewania jimbo hilo kwa mara ya pili, jana alishushwa jukwaani kwa kuzomewa na wananchi wake katika kata ya Nshamba wilayani Muleba.

Prof Tibaijuka alishushwa jana wakati wa kampeni za kura za maoni kupitia CCM.

Hali ya kuzomewa ilidumu kwa dakika kadhaa jambo lililofanya Wagombea hao kulazimika kuondoka.Kwa mara ya kwanza alizomewa juni 8, wakati wa ziara ya katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana katika kata hiyo hiyo.

Akiwa na Kinana wananchi walimtuhumu ufisadi wa fedha za Escrow na kushindwa kutekeleza ahadi ya kuwajengea barabara ya lami.

Source: Mwananchi
 
Mbona mimi naisikia vyema? Angalia sehemu ya sauti ya device unayotumia.Kilichomponza mama Tiba ni maneno yake ya kejeli.

Huko hao mafisadi watazidi kuwapotezea muda na mkimchagua anawarudia anawaambia hela yangu ndio imenishindisha ubunge wangu. Na safari hii haitakuwa kejeli na kutukanwa tu bali anakuja na genge lake mabaunsa na viboko vya kutosha anaamrisha mpigwe tu. Hamkumsikia kibajaji alivyoamrisha kundi alilokuja nalo kuwatandika bakora wanakijiji waliotofautiana nae kisiasa? Kura zenu zote wana Muleba toeni kwa mgombea wa ukawa muuone moto wake.
 
Back
Top Bottom