Prof. Ndalichako: Rais Samia Afanya Makubwa Kwa Wastaafu. Alipa Madeni ya Trilion 2.17 Zilizokwama Toka 1999

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,112
49,826
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Joyce Ndalichako amempongeza Rais wa JMT DK. Samia Kwa kuwafuta machozi wastaafu ambao pesa zao zilikuwa zimekwama Toka mwaka 1999 Kwa kulipa 2.17T out of 4.6 T.

Aidha Rais Samia amelipa deni la Mifuko ya Wastaafu bil. 500 kati ya bil. 734 ambazo Serikali zilizotangulia zilikopa na hivyo kuleta taharuki ya mifuko kufilisika na kuunganishwa.

Ikumbukwe Madeni haya ndio chanzo Cha kuleta sheria ya wizi ya kikokotoo na kuunganisha Mashirika.

========

RAIS SAMIA ALIVYOFANYA MAKUBWA KWA WASTAAFU,ALIPA SHILINGI TRILIONI 2.17

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amesema Rais Samia amefanyakazi kubwa kwa wastaafu baada ya kulipa madeni ya michango ya wastaafu shilingi trilioni 2.17 ambazo hazijawahi kulipwa tangu mwaka 1999.

Akizungumza na na wakuu wa Taasisi za serikali mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea,Profesa Ndalichako amesema kabla ya Rais Samia kulipa deni hilo la wastaafu lilifikia shilingi trilioni 4.6.

Ameongeza kuwa Rais Samia pia ameanza kulipa deni la shilingi bilioni 731 ambazo serikali ilikopa kwenye mfuko wa wastaafu ambapo hadi sasa Rais Samia ameshalipa shilingi bilioni 500.

My Take
Hongera sana Rais Samia.Wengine wanajua kutapanya ila hawajui kutafuta pesa.

Ni mara chache sana Marais dizaini ya Samia Huwa wanapatikana kwenye Nchi.

Tunaomba ufute sheria ya kikotoo na urejeshe Fao la Kujitoa, Mungu atakubariki na kukupa maisha marefu yenye Furaha zaidi.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Prof.Joyce Ndalichako amempongeza Rais wa JMT DK.Samia Kwa kuwafuta machozi wastaafu ambao pesa zao zilikuwa zimekwama Toka mwaka 1999 Kwa kulipa 2.17T out of 4.6 T.

Aidha Rais Samia amelipa deni la Mifuko ya Wastaafu bil.500 kati ya bil.734 ambazo Serikali zilizotangulia zilikopa na hivyo kuleta taharuki ya mifuko kufilisika na kuunganishwa.

Ikumbukwe Madeni haya ndio chanzo Cha kuleta sheria ya wizi ya kikokotoo na kuunganisha Mashirika.

View: https://www.instagram.com/reel/C0JSdwhsI_q/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Hongera sana Rais Samia.Wengine wanajua kutapanya ila hawajui kutafuta pesa.

Ni mara chache sana Marais dizaini ya Samia Huwa wanapatikana kwenye Nchi.

Tunaomba ufute sheria ya kikotoo na urejeshe Fao la Kujitoa,Mungu atakubariki na kukupa maisha marefu yenye Furaha zaidi.

Hivi ni Serikali gani na ya chama tawala kipi hapa Tz iliyosababisha deni hilo/malimbikizo kutokulipwa kwa Wastaafu tangu mwaka huo wa 1999?? Je, ni Serikali ya chama gani iliyosababisha deni hilo??
 
Hatimaye haki iliyocheleweshwa imepatikana. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kongole Rais Samia na Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu na moyo wa kumalizia kiwango kilichobaki.
 
Hivi ni Serikali gani na ya chama tawala kipi hapa Tz iliyosababisha deni hilo/malimbikizo kutokulipwa kwa Wastaafu tangu mwaka huo wa 1999?? Je, ni Serikali ya chama gani iliyosababisha deni hilo??
Ukikabidhiwa madaraka hutakiwi kuangalia nani alisababisha tatizo na Kwa sababu gani. Kazi yako ni kutumia nafasi yako kutatua tatizo ulilolikuta. Upngozi ni mzigo inahitaji busara kujitwisha
 
Wastaafu wenyewe si watakuwa wamekufa? Maana Toka 1999 - 2023 hapo katikati wengi wao wamekufa Kwa njaa bila kupata mafao yao
Kuna bi mkubwa m1 amaefariki mwaka huu,alipunguzwa ttcl toka kipindi cha jk hadi anakufa hajalipwa stahiki zake,walikua wanakutana mahakamani na wenzie siku yake yao kwa wingi kila muda ulivyokua unaenda wakawa wanapungua kwa ajili ya kukata tamaa,hadi leo nehi.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Joyce Ndalichako amempongeza Rais wa JMT DK. Samia Kwa kuwafuta machozi wastaafu ambao pesa zao zilikuwa zimekwama Toka mwaka 1999 Kwa kulipa 2.17T out of 4.6 T.

Aidha Rais Samia amelipa deni la Mifuko ya Wastaafu bil. 500 kati ya bil. 734 ambazo Serikali zilizotangulia zilikopa na hivyo kuleta taharuki ya mifuko kufilisika na kuunganishwa.

Ikumbukwe Madeni haya ndio chanzo Cha kuleta sheria ya wizi ya kikokotoo na kuunganisha Mashirika.

========

RAIS SAMIA ALIVYOFANYA MAKUBWA KWA WASTAAFU,ALIPA SHILINGI TRILIONI 2.17
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amesema Rais Samia amefanyakazi kubwa kwa wastaafu baada ya kulipa madeni ya michango ya wastaafu shilingi trilioni 2.17 ambazo hazijawahi kulipwa tangu mwaka 1999.

Akizungumza na na wakuu wa Taasisi za serikali mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea,Profesa Ndalichako amesema kabla ya Rais Samia kulipa deni hilo la wastaafu lilifikia shilingi trilioni 4.6.

Ameongeza kuwa Rais Samia pia ameanza kulipa deni la shilingi bilioni 731 ambazo serikali ilikopa kwenye mfuko wa wastaafu ambapo hadi sasa Rais Samia ameshalipa shilingi bilioni 500.

My Take
Hongera sana Rais Samia.Wengine wanajua kutapanya ila hawajui kutafuta pesa.

Ni mara chache sana Marais dizaini ya Samia Huwa wanapatikana kwenye Nchi.

Tunaomba ufute sheria ya kikotoo na urejeshe Fao la Kujitoa,Mungu atakubariki na kukupa maisha marefu yenye Furaha zaidi.
Kumbe raisi SSH wa Tanzania ni tajiri sana.
 
Kuna bi mkubwa m1 amaefariki mwaka huu,alipunguzwa ttcl toka kipindi cha jk hadi anakufa hajalipwa stahiki zake,walikua wanakutana mahakamani na wenzie siku yake yao kwa wingi kila muda ulivyokua unaenda wakawa wanapungua kwa ajili ya kukata tamaa,hadi leo nehi
Mama atawafuta machozi walau ndugu zake
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Joyce Ndalichako amempongeza Rais wa JMT DK. Samia Kwa kuwafuta machozi wastaafu ambao pesa zao zilikuwa zimekwama Toka mwaka 1999 Kwa kulipa 2.17T out of 4.6 T.

Aidha Rais Samia amelipa deni la Mifuko ya Wastaafu bil. 500 kati ya bil. 734 ambazo Serikali zilizotangulia zilikopa na hivyo kuleta taharuki ya mifuko kufilisika na kuunganishwa.

Ikumbukwe Madeni haya ndio chanzo Cha kuleta sheria ya wizi ya kikokotoo na kuunganisha Mashirika.

========

RAIS SAMIA ALIVYOFANYA MAKUBWA KWA WASTAAFU,ALIPA SHILINGI TRILIONI 2.17

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amesema Rais Samia amefanyakazi kubwa kwa wastaafu baada ya kulipa madeni ya michango ya wastaafu shilingi trilioni 2.17 ambazo hazijawahi kulipwa tangu mwaka 1999.

Akizungumza na na wakuu wa Taasisi za serikali mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea,Profesa Ndalichako amesema kabla ya Rais Samia kulipa deni hilo la wastaafu lilifikia shilingi trilioni 4.6.

Ameongeza kuwa Rais Samia pia ameanza kulipa deni la shilingi bilioni 731 ambazo serikali ilikopa kwenye mfuko wa wastaafu ambapo hadi sasa Rais Samia ameshalipa shilingi bilioni 500.

My Take
Hongera sana Rais Samia.Wengine wanajua kutapanya ila hawajui kutafuta pesa.

Ni mara chache sana Marais dizaini ya Samia Huwa wanapatikana kwenye Nchi.

Tunaomba ufute sheria ya kikotoo na urejeshe Fao la Kujitoa, Mungu atakubariki na kukupa maisha marefu yenye Furaha zaidi.
Ila serikali bana hata juzi niliona uzi watumishi wanasema hata uhamisho hawajalipwa lakn majukwaani 😂😂😂 sasa tangu 1999 leo unampa 2023 na unajisifu!!!!
 
Samia hahusiki na uharibifu amekuja kujenga na Kutengeneza dira na matumaini mapya
 
Kwa hakika Rais samia ni mpango wa Mungu mwenyewe.anafanya yake yaliyoonekana hayawezekani.anafanya yale yaliyowanyima raha na amani watu wengi.anafanya yale yanayoinua matumaini na Tabasamu katika mioyo ya watu.anafanya yale yaliyowabubujisha machozi watu wengi.anafanya yale yanayoleta nuru kwa wengi waliokuwa wamekata tamaa.

Kwa hakika maisha ya Rais samia hapa Duniani ni zawadi kwa watanzania tunayopaswa kuitunza na kujivunia sana. Zawadi hii ni Mungu ndiye katupatia watanzania.ni zawadi ambayo hawapewi na haitolewi hovyo hovyo tu. Ni zawadi ambayo hutolewa kwa makusudi maalumu.

Rais samia ni zawadi kwa watanzania katika kuwainua,kuwafuta machozi,kugusa maisha yao,kuwashika mikono na kuwainua walipoanguka na kuwapa faraja walipokata tamaa.
 
Rais samia anafanya kazi ya kitume hapa Tanzania.kazi ya kueneza upendo kwa watu wote na kuwawezesha watu kutimiza ndoto zao.
 
Back
Top Bottom