Watupe jibu mradi wa Kiwira. Mkapa ajibu.Kama alivyobanwa na Mh.Mkono, yeye alijibu kuwa unamaslahi binafsi na muuliza swali. Mkono alimwambia alishajibu kwa maandishi kutokana na kukosa nafasi ya kujibu kwa maneno Bungeni. Lakushangaza Spika alimlazimisha asijibu mpaka na yeye ahakikishe kuwa hilo jibu lipo kwenye taarifa za Bunge kimaandishi. Mh. Mnyika na Mh.Zitto waliomba mwongozo, ila Spika aling'ang'ania kuwa mpaka ajiridhishe yeye kwanza. Nafikiri amevutisha muda ili likatengenezwe jibu la kimagumashi. Sasa sijui hii ni kanuni ya Bunge ama uwajibikaji serikalini.
Kwanza ondoa hiyo h kwenye jina lake ili uhakikishe kuwa Muhongo kama wanasiasa wengi ni Muongo.Kwa maelezo yake amesema kuanzia Mei 2012 mtu yeyote atayeomba kuunganishwa na Tanesco kupata umeme, anatakiwa kupatiwa huduma hiyo ndani ya mwezi mmoja. Asante Mu h ongo
....kwanza atoe maelezo sahihi juu ishu ya Kiwila...vinginevyo bado hajatisha.
Nimetoka muda si mrefu kumsikiliza waziri wa nishati na madini na amefafanua kwa kifupi baadhi ya mambo ambayo ameamua kuyabadili kwenye utendaji kazi wa Tanesco. Kwa maelezo yake amesema kuanzia Mei 2012 mtu yeyote atayeomba kuunganishwa na Tanesco kupata umeme, anatakiwa kupatiwa huduma hiyo ndani ya mwezi mmoja.
Nadhani amefanya uamuzi wa busara, si tu kwetu wananchi bali atasaidia hata Takururu kwa upungufu wa rushwa kwenye kuunganisha umeme.
Kwa umeo wangu mdogo nafikiri huyu waziri atafanya mambo makubwa sana kama tu mipango yale ni kweli itatekerezeka kama inavoonekana.
Asante Muhongo
Mkuu mfumo sio ndio rules and regulations zinazoongoza tanesco sasa kama zikibalishwa mfumo nao si utabidilika?Tatizo sio Tanesco,Tatizo ni Mfumo (System)
Pambafuu..!!hyu mhongo mbona ana mawazo finyu kiasi hki,watu 2meshatapeliwa mpka bac hlo haliwezekan serikali DHAIFU haishiwi porojo kwa wananchi wake..huu ni upuuzi
Topical kwakuwa wewe ndiye mshauri mkuu na mpanga mikakati mkuu wa UAMSHO nakupa ushauri wa bure tu.Mmepatia mkuu.(uamsho nawasupport nawasaidia) .tumeshaweka ajenda zetu hadharani Muungano ujadiliwe..nyinyi watu fitna na sirini lini mtajiweka wazi??
Huoni kutoa rushwa ni adui wa haki au ndio sera ya chadema?? musaidi prof. Muongo..kuboresha wizara kwa kukataa ruishwa..
....kwanza atoe maelezo sahihi juu ishu ya Kiwila...vinginevyo bado hajatisha.
acha uongo mkuu huyu ni mwana geolojia si mwana siasa kamwe kama una yako ulotumwa kayajadili na mkeo sio kusingizia watu makini kama professor muhongo . ndo maana hajawahi kuomba ubunge mahala popote na amesema kuwa asiposikilizwa anrudi kufundisha.