Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

Jamani tusubili PAC si kila jambo lipatalo support ya wengi ni la ukweli "Inawezekana Prof. MUHONGO anazo facts" Ngoja tusubili ukweli utadhihiri.
 
Hapa watu mtaongea mpaka povu litawatoka. Hakuna asiyejua uwezo wa Prof Muhongo. Jamaa ni next level hata hayo majina mnayotajaga hakuna mtu alishawai kuonyesha Prof Kausika vip. Tuache jamaa aongee najua kunawatu watakimbia . Hana siasa yeye kazi tu . Mzee wa facts and figures. Dalali ananamuita DALALI hamumunyi maneno . Waliozoea easy ride not this time .
Wewe unamtetea mtu anayetudharau watanzania bila sababu. Bado unamuona ndo mtu wa maana. Yeye ni kiburi tu na jazba hata kwa vitu vidogo. Huu sio usomi
 
Hapa watu mtaongea mpaka povu litawatoka. Hakuna asiyejua uwezo wa Prof Muhongo. Jamaa ni next level hata hayo majina mnayotajaga hakuna mtu alishawai kuonyesha Prof Kausika vip. Tuache jamaa aongee najua kunawatu watakimbia . Hana siasa yeye kazi tu . Mzee wa facts and figures. Dalali ananamuita DALALI hamumunyi maneno . Waliozoea easy ride not this time .
Bro Mimi agree with you the problem yetu watanzania ni moja ukweli kwetu hatujazoea.hatuna utaifa umimi kwa sana:tonguez:
 
Nadhani Muhongo hajaelimika ila amejua KUSOMA NA KUANDIKA TU.

Pole le Prof.sana umeingizwa choo cha kike.Tatizo ulionjeshwa ASALI SASA UNATAKA KUCHONGA MZINGA.
 
Nadhani anaogopa akitoka siri ya mikataba mibovu itatoka.

Aende akafindishe tu.Kwanza siyo mbunge wa kuchaguliwa akafie mbali.Kila kitu anasingizia Mengi na Mkono, kama hana issue akajinyonge tu.
 
jamani tusubili pac si kila jambo lipatalo support ya wengi ni la ukweli "inawezekana prof. Muhongo anazo facts" ngoja tusubili ukweli utadhihiri.
kwa utetezi huo wa kusema niwivu waliokosa vitalu????? Ok!, sawa tunakubali kuwa ni wivu, na ndo kibali cha ukwapuaji wa pesa za escrow!!!!!!!!
 
Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa nishati Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wabaishwaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanapigania vitalu vya gesi na kama atalazimika kujiuzulu siyo tu bunge litayumba, bali ardhi ya Tanzania itatikisika, kwa sababu anazo data za uhakika kuonyesha hili swala la IPTL ni mpango uliosukwa na madalali walionyimwa vitalu vya gesi na wale walivuliwa uwakilishi wa tanesco kisheria

uyu muhongo anadhani nchii hii na ya mama yake, anafikir kwa kutumia tezi dume nn
 
Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa nishati Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wabaishwaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanapigania vitalu vya gesi na kama atalazimika kujiuzulu siyo tu bunge litayumba, bali ardhi ya Tanzania itatikisika, kwa sababu anazo data za uhakika kuonyesha hili swala la IPTL ni mpango uliosukwa na madalali walionyimwa vitalu vya gesi na wale walivuliwa uwakilishi wa tanesco kisheria

Kma ndivyo hivyo basi na huo ushahidi aulete wakati mjadala utapowekwa hewani pale mjengoni ili wazitumie kuwatetea hao majizi wao wa ESCROW .
Muhongo nae amezid kupoteza dira.
 
Prof Muhongo you are not the only person to lead the ministry, you are just hypocrite professor who have used your profession to ruin the country, we are really tired of your arrogance. Before you we had the ministry, we had Tanzania and on your leaving the same shall be there.

Kasahau kuwa aliwekwa pale. Kuondolewa hakuhitaji ridhaa yake. Hizo data zake atazitoa akiwa Ukonga mbele ya askari jela sio executives tena.
 
Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa nishati Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wabaishwaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanapigania vitalu vya gesi na kama atalazimika kujiuzulu siyo tu bunge litayumba, bali ardhi ya Tanzania itatikisika, kwa sababu anazo data za uhakika kuonyesha hili swala la IPTL ni mpango uliosukwa na madalali walionyimwa vitalu vya gesi na wale walivuliwa uwakilishi wa tanesco kisheria
Kova na Mangu, jama anawatingishia kiberiti na nyie mnachekelea?
 
Nadhani Muhongo hajaelimika ila amejua KUSOMA NA KUANDIKA TU.

Pole le Prof.sana umeingizwa choo cha kike.Tatizo ulionjeshwa ASALI SASA UNATAKA KUCHONGA MZINGA.
KAMA ALITIA MKONO KWENYE WIZI HUO, ATAKUWA HAJAINGIA CHOO CHA KIKE BALI CHA WATOTO YAHANI KAKALIA POTI
images
 
Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa nishati Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wabaishwaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanapigania vitalu vya gesi na kama atalazimika kujiuzulu siyo tu bunge litayumba, bali ardhi ya Tanzania itatikisika, kwa sababu anazo data za uhakika kuonyesha hili swala la IPTL ni mpango uliosukwa na madalali walionyimwa vitalu vya gesi na wale walivuliwa uwakilishi wa tanesco kisheria

Kwanza kwa haki kabisa hakuna wa kujiuzulu labda kamati ya PAC tu nayo baada ya hili kupita ianze kuchunguzwa na yenyewe hususa Zitto maana kuna kila dalili waliunda hili sakata ili wapige mihela kama inavyosemekana. Hawakuwa na chakupoteza walikuwa wamezungukwa na mirija zaidi ya minne, wamerambaramba za singa kidogo, wamekula za MKONO na MENGI. Na wajuzi wa mambo wanasema wapo katika payroll ya Lowasa pia ili amwangushe Mtoto wa Mkulima. Hawa jamaa kwa vyovyote vile huu ulikuwa wakati wao wa kutajirika.
 
naam mkuu pasco, na amasika kuungana na wewe...hili suala si jepesi kama tunavyotaka kujiaminisha watanzania.. We need to think big....yaani ukisikia moto wa kiangazi kwenye nyika hauachagi hata ukuti uliosimama ndio huu!

acha moto uwake hii ni dharau iliyo pitiliza kutoka wa tawala kufanya wanavyo taka
 
Back
Top Bottom