Prof.Majimarefu avamia kambi ya CDM leganga Arumeru na kusababisha tafrani

Mbona mmeripoti kivingine maana magazeti yote leo yameandika kuwa alipokea kichapo na yuko hoi kalazwa sipitali
 
Huyu profesa Maji Marefu alikuja kuhembua kama alivyofanya jimboni kwake hivi karibuni.
 
Prof. Majimarefu ni mweupe kabisa katika tasnia ya uganga amebaki jina tu. Labda kama alitaka kuleta athari ya kisaikolojia tu kwa Nasari.

Pamoja na hayo nashauri panel nzima ya ulinzi ya mgombea kuwa na utaratibu maalumu wa kuhoji wageni wanaotakana kuonana na Nassari ili kuepuka maafa yanaweza kutokea siku za usoni.

unajuaje mkuu?
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mbunge wa korogwe vijijini prof Majimarefu siku ya leo trh 20March,alikuja mahali CDM walipoweka kambi panapo julikana kama Elephant logde maeneo ya leganga na kuzua tafrani kwa wakereketwa wa CDM.

Awali Mbunge huyo alifika hapo na kuingia hotel iliyo oposite na kuomba akaitiwe mgombea ubunge wa CDM Bw J.Nassari.

Kabla Nas hajaja alikuwa kesha onana na kusalimiana na wabunge wengine. Nas alipata ujumbe kuwa anamgeni wake. Alipofika hapo alihamaki kuona ni Prof Majimarefu na kwakuwa hakuwa na apointment nae yeyote alihamaki na kumuuliza anamtafutia nini. Ghafla pakazuka zogo patashika nguo kuchanika na Prof akaondoka na kuelekea kusikojulikana...

Nawasilisha...

Mawakala wa kuzimu hao.
Naona kila njia imezimwa.
 
ukweli kwa mujibu wa : bashir-nkoromo.blogspot.com

Na Charles Charles, Arumeru

Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani aka Profesa Majimarefu, leo, Machi 20, 2012, amedai kunusurika kuchomwa moto akiwa hai, kufuatia amri iliyotolewa na mgombea ubunge wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.

Majimarefu (pichani) aliyejiunga leo hii na timu ya kampeni za mgombea ubunge wa CCM, Sioi Sumari, anadai kukumbwa na mkasa huo mida ya saa 3.30 asubuhi.

Alisema akiwa nje ya hoteli ya Elephant iliyopo Usa River aliyofikia juzi alikutana na wabunge wenzake wawili: Vincent Nyerere wa Musoma Mjini, Mchunga Peter Msigwa wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana

la Chadema (BAVICHA), John Heche na kuanza kutaniana nao kwa vijembe vya kawaida vya kisiasa kama watu wanaofahamiana.

Wakati akiongea nao huku wakimuuliza katika hali hiyo ya utani kuwa nani amemleta Arumeru, mbunge huyo wa Korogwe Vijijini aliwaona waandishi wa habari wakiwa wamesimama karibu yao na kuamua kwenda kuwasalimia.

Ilikuwa wakati huo ndipo Nassari alipotokea na kuanza kumhoji akitaka kujua amefuata nini hapa Arumeru, lakini kabla hajajibiwa chochote akawaita vijana wa Chadema waliokuwa jirani na kuamuru mbunge huyo wamchome moto.

Wakati mgombea huyo wa ubunge wa Chadema akiagiza hivyo, ghafla akatojikea mzee mwingine na kumtuhumu Majimarefu kwamba juzi asubuhi alitaka kumuua lakini bila ya kusema wapi, madai yaliyomuacha Majimarefu akishangaa kwa vile alikuwa hajafika Arumeru.

Hata hivyo, agizo la kuchomwa kwake moto lilikwama kutekelezwa baada ya kukingiwa kifua na wabunge hao wawili pamoja na waandishi wa habari aliokuwa akisalimiana nao mahali hapo.

Kunusurika kwake huko kulitokana na wabunge hao pia, kuhofia kuwa tukio hilo lingeandikwa na kutangazwa kwa uhalisi wake wote na waandishi hao wa habari, hali ambayo ingemweka matatani Nassari mwenyewe na kuharibu sifa na uhalali mzima wa Chadema kama chama cha siasa.

Baada ya kuokolewa, Majimarefu aliondoka katika eneo hilo na kwenda moja kwa moja kuungana na viongozi wenzake waliopo katika timu ya kampeni za Sioi, Gateway Lodge na ndipo akawaambia waandishi wa habari aliowakuta wakiwa katika hoteli hiyo iliyopo eneo la Leganga.

Dakika chache baadaye, Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere alipiga simu yake ya mkononi akimuomba asiende kutoa taarifa polisi kwa vile suala hilo lingeweza kuharibu taswira nzima ya kampeni za Chadema kuonekana kuwa za ghasia, ubabe na dalili za vitendo vya kigaidi.

“Sijaenda popote, naendelea na shughuli zangu za kawaida”, alisikika akisema na baada ya kukata simu akaeleza kwamba aliyekuwa akiongea naye kwenye simu hiyo ni Vincent Nyerere. “Ananiomba nisiende kutoa taarifa polisi”, alisema.

Uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki unafanyika Aprili Mosi na tayari mwenendo wa kampeni zake unaonyesha dalili zote za kuelemewa kwa Nassari.

Kutokana na hali hiyo, wafuasi wa Chadema wameingiwa woga wa kushindwa kwa mgombea wao na kuanza fujo dhidi ya wana CCM.

Jumapili jioni, gari aina ya Landcruiser Hardtop lenye usajili namba T 655 BEW likiwa limewachukua waandishi wa habari, lilishambuliwa kwa chupa na vijana wa Chadema, saa 12.45 jioni, likidhaniwa kuwabeba wana CCM waliokuwa wakitoka kumnadi Sioi katika vijiji vya Shishton, Leguruki na Maji ya Chai.

Tukio hilo lilifanyika mbele ya Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na gari hilo lilikuwa limesimama, kupisha gari jingine lililokuwa likiingia barabarani.

Alipoulizwa kama tukio hilo angelitolea taarifa polisi, Majimarefu alisema alikuwa hajaamua, lakini ikibidi angefanya hivyo ili kuweka kumbukumbu sawa endapo hali hiyo itajitokeza tena.

Wiki chache kabla ya kuanza kwa kampeni, Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba alitishia chama hicho, kutumia vijana wa kikosi cha Red Brigade ili pamoja na mambo mengine, kuwapa mkong’oto wana CCM katika kampeni hizo.

Posted by: Bashir Nkoromo at Tuesday, March 20, 2012
 
ukweli kwa mujibu wa : bashir-nkoromo.blogspot.com

Na Charles Charles, Arumeru

Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani aka Profesa Majimarefu, leo, Machi 20, 2012, amedai kunusurika kuchomwa moto akiwa hai, kufuatia amri iliyotolewa na mgombea ubunge wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.

Majimarefu (pichani) aliyejiunga leo hii na timu ya kampeni za mgombea ubunge wa CCM, Sioi Sumari, anadai kukumbwa na mkasa huo mida ya saa 3.30 asubuhi.

Alisema akiwa nje ya hoteli ya Elephant iliyopo Usa River aliyofikia juzi alikutana na wabunge wenzake wawili: Vincent Nyerere wa Musoma Mjini, Mchunga Peter Msigwa wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana

la Chadema (BAVICHA), John Heche na kuanza kutaniana nao kwa vijembe vya kawaida vya kisiasa kama watu wanaofahamiana.

Wakati akiongea nao huku wakimuuliza katika hali hiyo ya utani kuwa nani amemleta Arumeru, mbunge huyo wa Korogwe Vijijini aliwaona waandishi wa habari wakiwa wamesimama karibu yao na kuamua kwenda kuwasalimia.

Ilikuwa wakati huo ndipo Nassari alipotokea na kuanza kumhoji akitaka kujua amefuata nini hapa Arumeru, lakini kabla hajajibiwa chochote akawaita vijana wa Chadema waliokuwa jirani na kuamuru mbunge huyo wamchome moto.

Wakati mgombea huyo wa ubunge wa Chadema akiagiza hivyo, ghafla akatojikea mzee mwingine na kumtuhumu Majimarefu kwamba juzi asubuhi alitaka kumuua lakini bila ya kusema wapi, madai yaliyomuacha Majimarefu akishangaa kwa vile alikuwa hajafika Arumeru.

Hata hivyo, agizo la kuchomwa kwake moto lilikwama kutekelezwa baada ya kukingiwa kifua na wabunge hao wawili pamoja na waandishi wa habari aliokuwa akisalimiana nao mahali hapo.

Kunusurika kwake huko kulitokana na wabunge hao pia, kuhofia kuwa tukio hilo lingeandikwa na kutangazwa kwa uhalisi wake wote na waandishi hao wa habari, hali ambayo ingemweka matatani Nassari mwenyewe na kuharibu sifa na uhalali mzima wa Chadema kama chama cha siasa.

Baada ya kuokolewa, Majimarefu aliondoka katika eneo hilo na kwenda moja kwa moja kuungana na viongozi wenzake waliopo katika timu ya kampeni za Sioi, Gateway Lodge na ndipo akawaambia waandishi wa habari aliowakuta wakiwa katika hoteli hiyo iliyopo eneo la Leganga.

Dakika chache baadaye, Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere alipiga simu yake ya mkononi akimuomba asiende kutoa taarifa polisi kwa vile suala hilo lingeweza kuharibu taswira nzima ya kampeni za Chadema kuonekana kuwa za ghasia, ubabe na dalili za vitendo vya kigaidi.

"Sijaenda popote, naendelea na shughuli zangu za kawaida", alisikika akisema na baada ya kukata simu akaeleza kwamba aliyekuwa akiongea naye kwenye simu hiyo ni Vincent Nyerere. "Ananiomba nisiende kutoa taarifa polisi", alisema.

Uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki unafanyika Aprili Mosi na tayari mwenendo wa kampeni zake unaonyesha dalili zote za kuelemewa kwa Nassari.

Kutokana na hali hiyo, wafuasi wa Chadema wameingiwa woga wa kushindwa kwa mgombea wao na kuanza fujo dhidi ya wana CCM.

Jumapili jioni, gari aina ya Landcruiser Hardtop lenye usajili namba T 655 BEW likiwa limewachukua waandishi wa habari, lilishambuliwa kwa chupa na vijana wa Chadema, saa 12.45 jioni, likidhaniwa kuwabeba wana CCM waliokuwa wakitoka kumnadi Sioi katika vijiji vya Shishton, Leguruki na Maji ya Chai.

Tukio hilo lilifanyika mbele ya Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na gari hilo lilikuwa limesimama, kupisha gari jingine lililokuwa likiingia barabarani.

Alipoulizwa kama tukio hilo angelitolea taarifa polisi, Majimarefu alisema alikuwa hajaamua, lakini ikibidi angefanya hivyo ili kuweka kumbukumbu sawa endapo hali hiyo itajitokeza tena.

Wiki chache kabla ya kuanza kwa kampeni, Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba alitishia chama hicho, kutumia vijana wa kikosi cha Red Brigade ili pamoja na mambo mengine, kuwapa mkong'oto wana CCM katika kampeni hizo.

Nenda zako huko gamba wewe na hizo propaganda zako za ki ************nge
 
Huyo mshirikina alienda kikazi maana ccm wamezoea ndumba.Hata hivyo kama mzee wa Rula alivyoshauri ni vema Nassari kwa sasa akawa na utaratibu wa kuonana na wageni isiwe ovyo ovyo kama alivyoenda!He also need hard prayer,wakiwa na uchawi yeye awe na Yesu

Huyu profesa amekuwa mrithi wa mikoba ya Sheikh Yahya Hussein?
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mbunge wa korogwe vijijini prof Majimarefu siku ya leo trh 20March,alikuja mahali CDM walipoweka kambi panapo julikana kama Elephant logde maeneo ya leganga na kuzua tafrani kwa wakereketwa wa CDM.

Awali Mbunge huyo alifika hapo na kuingia hotel iliyo oposite na kuomba akaitiwe mgombea ubunge wa CDM Bw J.Nassari.

Kabla Nas hajaja alikuwa kesha onana na kusalimiana na wabunge wengine. Nas alipata ujumbe kuwa anamgeni wake. Alipofika hapo alihamaki kuona ni Prof Majimarefu na kwakuwa hakuwa na apointment nae yeyote alihamaki na kumuuliza anamtafutia nini. Ghafla pakazuka zogo patashika nguo kuchanika na Prof akaondoka na kuelekea kusikojulikana...

Nawasilisha...
........MAGA.MBA maji shingoni, alikuja kuwanga sio? wamekwisha
 
Wasije wabunge toka Mikoa wa Kilimanjaro na Manyara, yeye wa Mkoa wa Tanga ana nini la zaidi kama siyo
uprofesa (ushirikina)?
 
ukweli kwa mujibu wa : bashir-nkoromo.blogspot.com

Na Charles Charles, Arumeru

Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani aka Profesa Majimarefu, leo, Machi 20, 2012, amedai kunusurika kuchomwa moto akiwa hai, kufuatia amri iliyotolewa na mgombea ubunge wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.

Majimarefu (pichani) aliyejiunga leo hii na timu ya kampeni za mgombea ubunge wa CCM, Sioi Sumari, anadai kukumbwa na mkasa huo mida ya saa 3.30 asubuhi.

Alisema akiwa nje ya hoteli ya Elephant iliyopo Usa River aliyofikia juzi alikutana na wabunge wenzake wawili: Vincent Nyerere wa Musoma Mjini, Mchunga Peter Msigwa wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana

la Chadema (BAVICHA), John Heche na kuanza kutaniana nao kwa vijembe vya kawaida vya kisiasa kama watu wanaofahamiana.

Wakati akiongea nao huku wakimuuliza katika hali hiyo ya utani kuwa nani amemleta Arumeru, mbunge huyo wa Korogwe Vijijini aliwaona waandishi wa habari wakiwa wamesimama karibu yao na kuamua kwenda kuwasalimia.

Ilikuwa wakati huo ndipo Nassari alipotokea na kuanza kumhoji akitaka kujua amefuata nini hapa Arumeru, lakini kabla hajajibiwa chochote akawaita vijana wa Chadema waliokuwa jirani na kuamuru mbunge huyo wamchome moto.

Wakati mgombea huyo wa ubunge wa Chadema akiagiza hivyo, ghafla akatojikea mzee mwingine na kumtuhumu Majimarefu kwamba juzi asubuhi alitaka kumuua lakini bila ya kusema wapi, madai yaliyomuacha Majimarefu akishangaa kwa vile alikuwa hajafika Arumeru.

Hata hivyo, agizo la kuchomwa kwake moto lilikwama kutekelezwa baada ya kukingiwa kifua na wabunge hao wawili pamoja na waandishi wa habari aliokuwa akisalimiana nao mahali hapo.

Kunusurika kwake huko kulitokana na wabunge hao pia, kuhofia kuwa tukio hilo lingeandikwa na kutangazwa kwa uhalisi wake wote na waandishi hao wa habari, hali ambayo ingemweka matatani Nassari mwenyewe na kuharibu sifa na uhalali mzima wa Chadema kama chama cha siasa.

Baada ya kuokolewa, Majimarefu aliondoka katika eneo hilo na kwenda moja kwa moja kuungana na viongozi wenzake waliopo katika timu ya kampeni za Sioi, Gateway Lodge na ndipo akawaambia waandishi wa habari aliowakuta wakiwa katika hoteli hiyo iliyopo eneo la Leganga.

Dakika chache baadaye, Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere alipiga simu yake ya mkononi akimuomba asiende kutoa taarifa polisi kwa vile suala hilo lingeweza kuharibu taswira nzima ya kampeni za Chadema kuonekana kuwa za ghasia, ubabe na dalili za vitendo vya kigaidi.

"Sijaenda popote, naendelea na shughuli zangu za kawaida", alisikika akisema na baada ya kukata simu akaeleza kwamba aliyekuwa akiongea naye kwenye simu hiyo ni Vincent Nyerere. "Ananiomba nisiende kutoa taarifa polisi", alisema.

Uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki unafanyika Aprili Mosi na tayari mwenendo wa kampeni zake unaonyesha dalili zote za kuelemewa kwa Nassari.

Kutokana na hali hiyo, wafuasi wa Chadema wameingiwa woga wa kushindwa kwa mgombea wao na kuanza fujo dhidi ya wana CCM.

Jumapili jioni, gari aina ya Landcruiser Hardtop lenye usajili namba T 655 BEW likiwa limewachukua waandishi wa habari, lilishambuliwa kwa chupa na vijana wa Chadema, saa 12.45 jioni, likidhaniwa kuwabeba wana CCM waliokuwa wakitoka kumnadi Sioi katika vijiji vya Shishton, Leguruki na Maji ya Chai.

Tukio hilo lilifanyika mbele ya Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na gari hilo lilikuwa limesimama, kupisha gari jingine lililokuwa likiingia barabarani.

Alipoulizwa kama tukio hilo angelitolea taarifa polisi, Majimarefu alisema alikuwa hajaamua, lakini ikibidi angefanya hivyo ili kuweka kumbukumbu sawa endapo hali hiyo itajitokeza tena.

Wiki chache kabla ya kuanza kwa kampeni, Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba alitishia chama hicho, kutumia vijana wa kikosi cha Red Brigade ili pamoja na mambo mengine, kuwapa mkong'oto wana CCM katika kampeni hizo.

Posted by: Bashir Nkoromo at Tuesday, March 20, 2012
I........unamdanganya nani sasa? kwendw zako
 
ukweli kwa mujibu wa : bashir-nkoromo.blogspot.com Na Charles Charles, Arumeru Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani aka Profesa Majimarefu, leo, Machi 20, 2012, amedai kunusurika kuchomwa moto akiwa hai, kufuatia amri iliyotolewa na mgombea ubunge wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari. Majimarefu (pichani) aliyejiunga leo hii na timu ya kampeni za mgombea ubunge wa CCM, Sioi Sumari, anadai kukumbwa na mkasa huo mida ya saa 3.30 asubuhi. Alisema akiwa nje ya hoteli ya Elephant iliyopo Usa River aliyofikia juzi alikutana na wabunge wenzake wawili: Vincent Nyerere wa Musoma Mjini, Mchunga Peter Msigwa wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), John Heche na kuanza kutaniana nao kwa vijembe vya kawaida vya kisiasa kama watu wanaofahamiana. Wakati akiongea nao huku wakimuuliza katika hali hiyo ya utani kuwa nani amemleta Arumeru, mbunge huyo wa Korogwe Vijijini aliwaona waandishi wa habari wakiwa wamesimama karibu yao na kuamua kwenda kuwasalimia. Ilikuwa wakati huo ndipo Nassari alipotokea na kuanza kumhoji akitaka kujua amefuata nini hapa Arumeru, lakini kabla hajajibiwa chochote akawaita vijana wa Chadema waliokuwa jirani na kuamuru mbunge huyo wamchome moto. Wakati mgombea huyo wa ubunge wa Chadema akiagiza hivyo, ghafla akatojikea mzee mwingine na kumtuhumu Majimarefu kwamba juzi asubuhi alitaka kumuua lakini bila ya kusema wapi, madai yaliyomuacha Majimarefu akishangaa kwa vile alikuwa hajafika Arumeru. Hata hivyo, agizo la kuchomwa kwake moto lilikwama kutekelezwa baada ya kukingiwa kifua na wabunge hao wawili pamoja na waandishi wa habari aliokuwa akisalimiana nao mahali hapo. Kunusurika kwake huko kulitokana na wabunge hao pia, kuhofia kuwa tukio hilo lingeandikwa na kutangazwa kwa uhalisi wake wote na waandishi hao wa habari, hali ambayo ingemweka matatani Nassari mwenyewe na kuharibu sifa na uhalali mzima wa Chadema kama chama cha siasa. Baada ya kuokolewa, Majimarefu aliondoka katika eneo hilo na kwenda moja kwa moja kuungana na viongozi wenzake waliopo katika timu ya kampeni za Sioi, Gateway Lodge na ndipo akawaambia waandishi wa habari aliowakuta wakiwa katika hoteli hiyo iliyopo eneo la Leganga. Dakika chache baadaye, Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere alipiga simu yake ya mkononi akimuomba asiende kutoa taarifa polisi kwa vile suala hilo lingeweza kuharibu taswira nzima ya kampeni za Chadema kuonekana kuwa za ghasia, ubabe na dalili za vitendo vya kigaidi. "Sijaenda popote, naendelea na shughuli zangu za kawaida", alisikika akisema na baada ya kukata simu akaeleza kwamba aliyekuwa akiongea naye kwenye simu hiyo ni Vincent Nyerere. "Ananiomba nisiende kutoa taarifa polisi", alisema. Uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki unafanyika Aprili Mosi na tayari mwenendo wa kampeni zake unaonyesha dalili zote za kuelemewa kwa Nassari. Kutokana na hali hiyo, wafuasi wa Chadema wameingiwa woga wa kushindwa kwa mgombea wao na kuanza fujo dhidi ya wana CCM. Jumapili jioni, gari aina ya Landcruiser Hardtop lenye usajili namba T 655 BEW likiwa limewachukua waandishi wa habari, lilishambuliwa kwa chupa na vijana wa Chadema, saa 12.45 jioni, likidhaniwa kuwabeba wana CCM waliokuwa wakitoka kumnadi Sioi katika vijiji vya Shishton, Leguruki na Maji ya Chai. Tukio hilo lilifanyika mbele ya Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na gari hilo lilikuwa limesimama, kupisha gari jingine lililokuwa likiingia barabarani. Alipoulizwa kama tukio hilo angelitolea taarifa polisi, Majimarefu alisema alikuwa hajaamua, lakini ikibidi angefanya hivyo ili kuweka kumbukumbu sawa endapo hali hiyo itajitokeza tena. Wiki chache kabla ya kuanza kwa kampeni, Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba alitishia chama hicho, kutumia vijana wa kikosi cha Red Brigade ili pamoja na mambo mengine, kuwapa mkong'oto wana CCM katika kampeni hizo. Posted by: Bashir Nkoromo at Tuesday, March 20, 2012
........unamdanganya nani sasa? kwendwa zako
 
Back
Top Bottom