wewe ndio hauchambui mada vizuri, lazima ujue lipumba alisema nini mara ya kwanza juu ya mengi
RA, manji na wenzake wanamatatizo siku nyingi mbona huyo Lipumba hajawahi kumuhimiza JK awachukulie hatua, DR Slaa amekuwa akilia peke yake utasema yeye ndio yuko kwenye chama cha upinzani peke yake
Lipumba amesema huo ugomvi hauna tija kwa taifa, halafu baadae akasema RA amesema mambo ya maana juu ya NBC kuhusu mengi. Mengi alivoongea juu RA, manji et al LIPUMBA AKAMWAMBIA MENGI ANASABABISHA UBAGUZI NA ANAJIPENDEKEZA KWA RAIS WALA HAKUMWOMBA RAIS AYASHUHULIKIE YALE ALIYOSEMA MENGI, LAKINI RA ALIVYOONGEA YA MIKOPO YEYE AMEYAONA YA MAANA, JE KWA NINI?????????
LIPUMBA NI KAMA VILE SOFIA SIMBA ALIVYOMUAMBIA MENGI KACHEMSHA NA RA ALIVYOONGEA AMEKUA BUBU, "BUBU AMBAYE ATAKI KUSEMA" ANGALAU WA JF ANASEMA
Samahani wakuu, nimeona walau niyaongezee fonti ili wale wasio ona tatizo la Lipumba, labda wana matatizo ya macho kama mimi!
Mkuu Semilong ubarikiwe sana