BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..."
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde
=======
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka. Ajali hiyo haikuhusisha magari mengine.
Profesa Lipumba alikuwa anatokea Njinjo kuelekea Kivinje kwenye shughuli za chama laini alipofika Nangurukuru gari ilipinduka lakini waliokuwemo ndani ya gari ikiwemo profesa Lipumba walitoka salama.
Naibu Mkurugenzi wa haki CUF, Salvatory Madaha alitoka na majeraha madogo.