Wangejiunga na vyama vingine kuunda Ukawa?
ama kweli bongo imejaa wanafiki wa hali ya juu,mara hii busara za Mbowe mpaka tukafikia resolution zile zimesahaulikaMh ... Wew umendika nin sasa mbowe anahusikaje katika kumuokoa ZITTO . ZITTO Alikuwa na TUHUMA gan hadi aokolewe na mbowe
Swala la kuchangia positively /negatively ni Ustashi wa mtu mwenyewe.
Hata siku moja CCM haijawahi kuipa nafasi CHADEMA. Kamuulize wasira atakuambia. Ndoto yake ni chadema ife kabla ya 2014.
nilishasema, zzk nje ya chadema ni kama chui wa karatasi. Hapo alipo yuko kwenye dilemma kuhusu future yake kisiasa. Kama ni mwanaume kweli mbona bado anashindwa kujitokeza hadharani na act yake?
Ni ajabu hata hao cuf kumpa platform. Zito ni msaliti wa mageuzi cause. Haiwezekani wote tuko kwenye mashua baharini halafu mwenzetu anaanza kuutoboa. Kwa ujumla wetu tutapambana naye kumzuia na kama anaendelea uamuzi muafaka ni kumtosa baharini na kutuacha sisi tuendelee na safari yetu.
Amezidi kujianika.
Naomba niwaite zaidi Mchambuzi Waberoya Kimbunga Mbepo yamba GalaxyS3 THE BIG SHOWn (alwatan)c.c Nguruvi3,Mchambuzi,Kimbunga na Waberoya
bado naamini zzk ni mmoja kati ya viongozi
vijana mahili. Uwepo wa ACT uwanjani hapo bado hau-justify mahusiano ya zzk na chama hicho. Kwanza zzk ni mwanachama wa Chadema kwanini apigie debe ACT. Najua watu wenye akili ndogo mmetekwa akili na vigogo ndani ya chadema wanaomuhofia Zzk. Tumieni akili mnapojadili sio mnakuwa na akili za kushikiwa!!
Unawezaje kumshauri mshilikina labda pengine maombi ndiyo yanaweza kumfaa mtu wa aina hiyo.Nahisi Zitto anahitaji ushauri nasaha jinsi ya kuendesha siasa zake la sivyo kila atakapoenda ataharibu
Zana za kilimo alishakufa kisiasa
Tukiwambia kuwa zitto mbugila mnabisha unaona sasa aliyofanya?
sijaelewa wakuu