johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,718
- 143,156
Waziri wa Uchumi na Mbunge wa Ubungo amewatangazia Wapigakura wake Kuwa kupitia Tanroads wamesaini mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Kimara- Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi na Kampuni ya Nyanza
Prof Kitila Mkumbo amewataka Wananchi wa Ubungo washirikiane kwa Maendeleo Makubwa yanayokuja jimboni
Sabato Njema 😄
Prof Kitila Mkumbo amewataka Wananchi wa Ubungo washirikiane kwa Maendeleo Makubwa yanayokuja jimboni
Sabato Njema 😄