wasipendelee kunywa juice za viwandani 🐒Alhaji Proffessior Janabi alishawahi kwenda kuhiji na Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete japo watu hawawaiti hivyo wakati wanastahili kuitwa
Swali Alhaji Professor Janabi kashauri watu wale vyakula vipi wakati huu wa mfungo wa Ramadhani?
I agree with you.Nadhani huyu ni moja kati ya maprofesa wenye thamani zaidi katika jamii ya watanzania.
Alishawahi kusema kufunga ili kukusaidie kiafya ukae japo masaa 16..
Sio Kula daku Saa kumi usiku useme unafunga...
Kiukweli mtu akifunga anajengeka vzr kiafya...Alishawahi kusema kufunga ili kukusaidie kiafya ukae japo masaa 16..
Sio Kula daku Saa kumi usiku useme unafunga...
Jazia nyama maelezo. Anajengeka vipi kiafya?Kiukweli mtu akifunga anajengeka vzr kiafya...
Ova
Mafuta yanayojihifadhi mwilini yanayeyuka unapokuwa huli...yanafidia ombwe la mafuta unayokusanya unapokula mara Kwa mara ...yakizidi ndo unapata magonjwa...sasa ukifunga yanayeyuka...Jazia nyama maelezo. Anajengeka vipi kiafya?
Jumla ya chakula anachokula mtu wakati wa mfungo. Futari+daku si kinafidia pale pale.Mafuta yanayojihifadhi mwilini yanayeyuka unapokuwa huli...yanafidia ombwe la mafuta unayokusanya unapokula mara Kwa mara ...yakizidi ndo unapata magonjwa...sasa ukifunga yanayeyuka...
Msitupangie 😀😀Alishawahi kusema kufunga ili kukusaidie kiafya ukae japo masaa 16..
Sio Kula daku Saa kumi usiku useme unafunga...
Futari na daku haifidii chochote kama utaweza kaa masaa 16.....bila Kula chochote...hapo issue ni Kwa mda gani hauli chakula....kuna tofauti Sana Kwa anaemaliza Kula kitu Saa nne au tano usiku akalala..akaamka akafunga....na Yule anaeamka Saa tisa usiku Kula daku..Jumla ya chakula anachokula mtu wakati wa mfungo. Futari+daku si kinafidia pale pale.
Labda uniambie kuwa jumla ya chakula mwezi wa mfungo ni ndogo kuliko miezi mingine ndio mafuta yaliyohifadhiwa mwilini yatatumika kufidia
Nakubaliana na wewe mkuu.Jumla ya chakula anachokula mtu wakati wa mfungo. Futari+daku si kinafidia pale pale.
Labda uniambie kuwa jumla ya chakula mwezi wa mfungo ni ndogo kuliko miezi mingine ndio mafuta yaliyohifadhiwa mwilini yatatumika kufidia