God is on throne.... We shall see whose words count, hakuna fisadi atakanyaga ikulu ya Tanzania, its a decree!
Mafisadi mpaka wakae chini..... Hii move mtacheza mpaka mwisho kwa style ya changing roles bila kujua anayewachezesha ni nani yupo wapi na ana capability na capacity gani!
sisi tunatafuta mtaji wa kura ili tuitoe ccm madarakani eti yeye Lipumba anasema tunakosea kuwakaribisha waliounga mkono katiba pendekezwa.
Sasa bila kuunganisha nguvu na kuifuta ccm madarakani tutaweza vipi kuipiga chini hiyo katiba pendekezwa??
kwakweli Lipumba ametoa sababu shallow mno.
sisi tunatafuta mtaji wa kura ili tuitoe ccm madarakani eti yeye Lipumba anasema tunakosea kuwakaribisha waliounga mkono katiba pendekezwa.
Sasa bila kuunganisha nguvu na kuifuta ccm madarakani tutaweza vipi kuipiga chini hiyo katiba pendekezwa??
kwakweli Lipumba ametoa sababu shallow mno.
Mkuu sikuwahi kumfikira Lipumba kwamba ipo siku angeweza kufanya alichokifanya aiseee! Amenisononesha sana, maana nia ni kuiangusha CCM! Sina uhakika kama Lipumba ameamua kwa hiari yake mwenyewe! Lazima kuna "sabotage" na yeye amekuwa mrahisi sana kuiangamiza CUF! Ninachokiona ni kwamba CUF itaangamia maana UKAWA wataendelea kupambana!!
Anyway, tunamtakia maisha mema, ila hana nia kabisa ya kuiondoa CCM madarakan!!
Lowasa naye ni mpinzani amekwenda kuusaka uraisi tu. Tatizo la kutojiamini tu kwa Mbowe na baadhi ya viongozi wa Upinzani. Wanasema tatizo mfumo lakini mpaka sasa EL kashabadilisha mfumo wa CHADEMA badala ya kubadilishwa na mfumo wa CHADEMA:
1.Kashabadilisha ilani ya uchaguzi
2. Kabadilisha ratiba ya uchaguzi
3.Kabadilisha gharama za uchaguzi
4.Kasababisha viongozi malegendary kuondoka mf: Prof.Lipumba na Dr.Slaa
5. Kabadilisha kauli mbiu
Akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako... usiropoke
Tatizo lenu mmekaribisha fisadi namba moja ambalo linakimbiwa na kila mtu mpaka wanyama wanajua kuwa Lowasa fisadi.sisi tunatafuta mtaji wa kura ili tuitoe ccm madarakani eti yeye Lipumba anasema tunakosea kuwakaribisha waliounga mkono katiba pendekezwa.
Sasa bila kuunganisha nguvu na kuifuta ccm madarakani tutaweza vipi kuipiga chini hiyo katiba pendekezwa??
kwakweli Lipumba ametoa sababu shallow mno.
Mroho ni fisadi Lowasa aliyekatwa ccm akaenda kukatikia chadema.Huo ni ulaku wa madaraka 2.
Kama kuna kaukweli f'lan hivi hapa!Naomba n declee interest kuwa mm sio mwanachama wa chama chochote na n mwanaharakati. Kwa utaft nilio ufanya nimegundua kua lipumba anafkr kuwa chama knacho nufaika na ukawa ni chama cha makamanda chadema manake kila anae hamia anaenda chadema cuf hawapat hvyo kaona cuf itamfia mikonon mwake mbil ameona inaelekea chama kmekosa mvuto manake mpaka kwenye ngome za cuf watu wanahamia chadema hvyo kapata hofu kuwa wanachama watapungua tatu amewaza kuwa chadema inaingia zanzbar kwa nguv kwa kuwatumia maalm na babu duni nne kanymwa fursa ya kuwania uraic kuptia ukawa na tano maalm ana nguv kumzd mwenyekt kwan hata ruzuku kwa kiwango kikubwa inatoka zenji hvyo maal ana nguv prof hana nguv hii inathbtka baada ya mtatro juliuc kupgwa chn kwenye nafas ya naib katb mkuu na kupewa sakaya ambae n chaguo la maalm wakat pro almtaka julius mtatro huu n uchunguz bnafs wa sabab zlzo mfanya pro ajiuzuru