Prof Costa Mahalu

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
559
Wakuu "heshima mbele" mwenye updates za hukumu ya Prof huyu iliyokuwa itolewe leo tafadhali atujuze
 
Prof. Costarica Mahalu, Bingwa wa Sheria, rafiki kipenzi wa marehemu Jaji Francis Nyarali na Waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba LAZIMA ASHINDE!
 
Kwanini Mkuu? anyway,,hata mie nikiangalia mazingira hata kama alipiga deal hilo hakula pekee yake,,JK foreign minister wa wakati huo lazima nae alikuwa na mgao wake. Hofu yangu wasije amua kumtoa mbuzi wa kafara kujijengea jina at this time serikali ya ccm imeporomoka umaarufu na kuaminika
 
mahalu jembe la ukweli
 
Hukumu ya Prof Mahalu ya ahirishwa mpaka tar 17 mwezi huu, kwa madai ya hakimu Ilvine Mgeta aliyetakiwa kusoma hukumu hiyo kuwa na dharura!
 
Prof.Mahalu is gonna win big time,Jakaya na mambo yake ya visasi kwa kukosa mgao he will remain losser and laughing stock .
 
Back
Top Bottom