Private Investigator anahitajika

komredi ngosha

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
382
71
Mpelelezi wa kujitegemea anahitajika
sifa
*awe mkazi wa dsm
*awe na uwezo mkubwa wa kufikiria(creative) na kufanya maamuzi ya haraka
*kufahamu kompyuta, kiingereza, police au sheria ni sifa za ziada

#malipo ni mazuri, ni pm fasta
 
Si unge m-PM Jason Borne moja kwa moja!

Nina hakika kazi yako ikiwa ni kwa maslahi ya Taifa au ya wengi ataifanya bure kwa ustadi, uaminifu na weledi wa hali ya juu.
 
wizi. ndani ya wiki 1 katika sehemu moja(hostel) laptop 5 na simu 8 vimeibwa. Response ya police ni ya kusua sua, we need someone who can get it done fast.

we wa wapi? yaan kazi ya upelelez unaair hovyo hovyo..hii huwa ni cofidential..assume ndo km me ndo nmekwiba hzo machines alaf ndo nkasoma hii thread?..tumia akili!
 
we wa wapi? yaan kazi ya upelelez unaair hovyo hovyo..hii huwa ni cofidential..assume ndo km me ndo nmekwiba hzo machines alaf ndo nkasoma hii thread?..tumia akili!

yap huyu jamaa hata hicho chuo anachosoma sidhani kama kina usajili....au hata kama kina usajili nna wasi wasi na uwezo wake wa kufikiri....
 
wizi. ndani ya wiki 1 katika sehemu moja(hostel) laptop 5 na simu 8 vimeibwa. Response ya police ni ya kusua sua, we need someone who can get it done fast.
hii itakuwa udom ,hili tatizo nimelisikia sana hivi karibuni.
sasa mnahela ya kumlipa huyo mzee wa kazi?
 
Mkuu nakushauri uende nje ya nchi ukapate exposure kidogo, private investigators ndio kazi zao kupeleleza mambo hayo. Serikali yenu inawadanganya kwamba upelelezi ni kazi ambayo haitakiwi kutajwa tajwa......angalia usalama wa taifa wanasaidia nini badala ya ku facilitate wizi?
yap huyu jamaa hata hicho chuo anachosoma sidhani kama kina usajili....au hata kama kina usajili nna wasi wasi na uwezo wake wa kufikiri....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom