PRETA Will you be My Valantine Please?

hi hi hi.....orayt orayt....ni kweli tuko mji mmoja na hii itaturahisishia sana kufanya Valentine......
sasa ili niweze kuwa Valentina wako....kabla sijakubali....sema kwanza hiyo sapraiz....maana zingine hazikawii kutoa mtu roho......nisije nikakosa siku muhimu bure.....

afadhali umekuja, hebu mwambie akulipie lile deni nnalokudai, anirushie kwa empesa kisha nitakujulisha nikiipata ndo mpange apwentimenti,, asijekuwa kachala majalala akakupotezea time yako...
 
afadhali umekuja, hebu mwambie akulipie lile deni nnalokudai, anirushie kwa empesa kisha nitakujulisha nikiipata ndo mpange apwentimenti,, asijekuwa kachala majalala akakupotezea time yako...

ina maana PJ hajakupa.....?

 
Haki ya nani hii thread lazima tuichakachue tu..."Preta Will You Be My Valantine Please!".
 
kwani ulimpa aniletee? Kumbe ndo maana siku hizi ananikwepa sana. Anyway, usiwe na hofu Ndallo atalimaliza. Halafu tutaongea vizuri.

a a....we malizana na PJ....halafu sifa ya PJ si nzuri....ni tapeli maarufu hapa mjini.....wee dili nae....Ndalo muache.....yuko bize kuandaa sapraiz......
 
kama vipi si inategemeana na sound zangu unaweza kumeliminate huyo aliejaza nafasi na kunisubstitute, ili uweze kufeel the beat fresh, unaweza kuja kunisikiliza nipo hapa pembeni ya hizi ATM na Verossa moja nataka nielekee Kibada. Fanya hivyo baby.

Kabla haujaenda huko kibada nipitie hapa Mji mwema Beach nitakupeleka kama mshenga.
 
Preta unaitajuika huku uvae ile pedo nyekundu sl atakuazima kibanio

Kibanio cha nini wakati akibana kibanio akikohoa kibanio kinapotea nywele za tangia std7 hazikui mpaka leo! Halafu sijui nanai kaniambia niingie humu maana nishapoteza step ya kitu ninachokifanya kwa ajili ya unazi wa wachangiaji G Mpoooooooooole!
 
VALENTINE EH?

People like to out on Valentine eh !!!

SO BE IT !!!! GO AND PAINT THE VALENTINE RED.........!!!!!!!!

We will be watching you......!!!!!!!!! and waiting paaatiently. If you make one false move .........!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom