PRETA Will you be My Valantine Please?

valentyn ipo imejaa nafas.

kama vipi si inategemeana na sound zangu unaweza kumeliminate huyo aliejaza nafasi na kunisubstitute, ili uweze kufeel the beat fresh, unaweza kuja kunisikiliza nipo hapa pembeni ya hizi ATM na Verossa moja nataka nielekee Kibada. Fanya hivyo baby.
 
umeni melt kabsa baby na hio sig ya ngu ya feel the beat. Hizo atm uko karib nazo una undugu wa kufaana au ww wazlinda tu hapo?
 
Hapana mi sio mlinzi, silindi atm. Nipo nakusubiri karibu na hizi atm za Twiga hii ni njia sahihi ya kukuongoza ili uweze kunipata kwa urahisi lakini muda si mrefu naingia zangu Kibada. Nipo na Verossa moja ya silver. Nataka uwe valentine wangu. Njoo tuzungumze
 
Preta wapi wewe, kuja pande hii, iko mutu taka wewe kuwa my valentine yake, toa jibu haraka haraka pate zawadi kuba:photo:
Najua Preta tuko mji mmoja hapa Arusha! Kindly am asking you if will you be my Valantine wangu siku ya tarehe 14/02/2012 tafadhali? Nitakuandalia bonge la suprise! Nijibu tafadhali nijibu nikuambie ni zawadi gani.
 
Hapana mi sio mlinzi, silindi atm. Nipo nakusubiri karibu na hizi atm za Twiga hii ni njia sahihi ya kukuongoza ili uweze kunipata kwa urahisi lakini muda si mrefu naingia zangu Kibada. Nipo na Verossa moja ya silver. Nataka uwe valentine wangu. Njoo tuzungumze

maelekezo mazuri ni kuniambia tkutane kempsky. Hapo imekaa kimiyeyusho!
 
Naona kila mtu humu anatafuta mtu wakutoka nae Valentine ngoja na mimi ntafute sijui nani atakubali
 
maelekezo mazuri ni kuniambia tkutane kempsky. Hapo imekaa kimiyeyusho!

Sasa si imetokea kwa ghafla nilikuwa naingia zangu Kibada, nafikiri tunaweza kuelekea kwenye site yangu kibada halafu baada ya hapo tukaingia zetu Kilimanjaro hotel yaani haina shida lakini kama hutojali.
 
haya mambo inatakiwa kujpanga. Eleza hapa miad tufanye vip!
 
Back
Top Bottom