Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568

Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa.

"Tuliwahoji mbona kumekuwa mabadiliko ya kuanza kwa treni ya kisasa?

"Mwaka huu kama kuna ahadi nyingine zaidi ya kuiona treni ikitoka Dar es Salaam hadi Dodoma, wakatupa tena ahadi, CCM itakula kichwa, muda wa ahadi umekwisha," alisema.

Makonda ameeeleza hayo leo Ijumaa Januari 19, 2024 akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Bunju akiwa njiani kuelekea Bagamoyo mkoani Pwani.

Katibu huyo wa uenezi leo ameanza ziara ya mikoa 20 iliyopewa jina la "back 2 back".

==========For English Audience Only===========
In response to the commencement of the modern Standard Gauge Railway (SGR) train service, Paul Makonda expressed his concerns during a recent meeting of the CCM Central Committee held in Unguja. Makonda highlighted that the committee summoned the Minister of Transport, Professor Makame Mbarawa, and the Director-General of the Tanzania Railways Corporation (TRC), Masanja Kadogosa, to provide explanations regarding the progress of the modern railway construction.

He questioned the changes in the start date of the SGR train and emphasized that any additional promises beyond this year for the train to run from Dar es Salaam to Dodoma would be unacceptable. Makonda warned that CCM would face consequences if such promises were not fulfilled within the specified timeframe.

These remarks were made as part of Makonda's address during a public meeting at Bunju Secondary School grounds on January 19, 2024, marking the beginning of his "back 2 back" tour covering 20 regions.

However, public sentiments express frustration with a perceived pattern where authorities, instead of proactively addressing issues, seem to instigate problems only to later present themselves as the solution. This strategy is likened to a constant cycle of manipulation, with critics pointing out that it resembles a "good Cop, bad Cop" approach, where all involved parties are deemed complicit in an ongoing charade.

The recent challenges with electricity supply are cited as a prime example, with some questioning the launching an electric train service amid a nationwide power crisis. The skepticism arises from the belief that tackling the fundamental issue of power shortages should be prioritized before venturing into ambitious projects like the Standard Gauge Railway (SGR).

PIA, SOMA:
 
Hizo ni mvua za rasha rasha tu .ngoja atue huyu hapa pia muone moto utakavyowashwa nchi hii.Maana kwa sasa siasa zimetekwa na majabali mawili tu Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na Dr Emmanuel Nchimbi
IMG-20240119-WA0014.jpg
 
Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa.

"Tuliwahoji mbona kumekuwa mabadiliko ya kuanza kwa treni ya kisasa?

"Mwaka huu kama kuna ahadi nyingine zaidi ya kuiona treni ikitoka Dar es Salaam hadi Dodoma, wakatupa tena ahadi, CCM itakula kichwa, muda wa ahadi umekwisha," alisema.

Makonda ameeeleza hayo leo Ijumaa Januari 19, 2024 akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Bunju akiwa njiani kuelekea Bagamoyo mkoani Pwani.

Katibu huyo wa uenezi leo ameanza ziara ya mikoa 20 iliyopewa jina la "back 2 back".
Awamu ya wasanii hakuna linalokamilika ni blah blah!
 
Sasa anamwambia nani?

Vichekesho hivi.
 
Hizo ni mvua za rasha rasha tu .ngoja atue huyu hapa pia muone moto utakavyowashwa nchi hii.Maana kwa sasa siasa zimetekwa na majabali mawili tu Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na Dr Emmanuel NchimbiView attachment 2876673
We are gown up pesornalities.....sisi wananchi hatutaki siasa sijui za majabali hawatusaidii kitu...tunataka umeme usikatike,kina mama wajifungulie sehemu nzuri na salama,maji safi yasiyo ya mgao,tunataka ajira kwa mamilion ya vijana waliomaliza vyuo wanashinda vijiweni hawana cha kufanya kwani hata biashara hawezi kufanya mana serikali hii haijaweka mazingira wezeshi ya biashara.Ivi umeuona huo ufisadi unaoendelea kila mahali nchini???it is just a matter of time but whistle blowers wataachia data za ufisadi unaotisha na kila panya atakimbilia kwenye shimo kujificha
 
Back
Top Bottom