Dingi mchafu
Member
- Oct 17, 2012
- 85
- 13
Kwa hili nk na raisi wangu mbna ata marekan inataka kunegotiate na taliban?
Bado huja gusa kitu baba!!
Kama Kagame anasema nikae na WAHUTU!!
JK kipenzi chako ni mara ngapi anaambiwa aunde chombo huru cha kuchunguza matukio ya kishetani yanayitokea nchini...HATAKI!!
JK hana sifa za kuwaweka watu meza moja eti waelewane, kwakuwa nayeye anayalea mambo ya ovyo yanayoashiria tatizo kubwa tu mbele lisipodhibitiwa kama la Rwanda tu..( Kiongozi wako akiendelea kuchekea mambo muhimu)
wel said, rwanda is under military peace ndio ukwel, othewise Kagame's regime is temporary gaining popularity which can vanish any time kama umeme.
In fact, hata wasipolipa kisasi, bado FDLR ni threat kubwa kwa Kagame na ndio maana hataki kufanya nao mazungumzo!! Kwamba hawezi kufanya nao mazungumzo kwa kigezo kwamba FDLR wamekuwa named as Terrorist Group ni bla blah zake tu kwani hata hao anaowafuata (U.S) tayari wameshagundua kwamba GUN can never bring peace na sasa wameamua kukaa meza moja na TALBAN, wale wale magaidi wakubwa ambao US ilisema isingeweza kukaa nao meza meja ku-negotiate na terrorists!!
Mkuu Kubwajinga,NasDaz,
Sio kweli kuwa FDLR bado wana nguvu kwani hawajaweza kufanya shambulizi lolote kwa Rwanda tokea miaka ya 1996. UN wenyewe wamekadiria kuwa FDLR ina jeshi lisilzidi watu 1500 ambapo chini ya 100 tu ndio wanaosadikiwa kuwa walishiriki kwenye Genocide.
Ukweli ni kuwa, hivi sasa Kagame angependa sana FDLR wasimalizwe lakini pia wasijumuishwe kwenye siasa za Rwanda kwani huo uta kuwa ndio mwisho wa utawala wake uliojaa Watutsi waliotokea Uganda.
Kagame anaiongoza Rwanda kwa kuwafanya watu wamuogope na sio kwa vile wanampenda. Kwenye nchi yenye zaidi ya 85% Wahutu ambao wamenyimwa madaraka kwenye nafasi zote nyeti Serikalini na Jeshini, ni kitu cha ajabu kuwa hao hao Wahutu watamchagua kwa 93%. Kwa hiyo ili Kagame aendelee kubaki madarakani na pia kuweza kukwepa mashitaka ya mauaji mbali mbali aliyofanya, ni muhimu kwake atawale nchi kiubavu na kiudanganyifu. Kukiwa tu na amani ya kweli, uchaguzi wowote wa halali utawaondoa Watutsi madarakani na yeye kuishia ICC anakopapiga vita hivi sasa.
wel said, rwanda is under military peace ndio ukwel, othewise Kagame's regime is temporary gaining popularity which can vanish any time kama umeme.
Mkuu Kubwajinga,
Mbona umei-miss point yangu kwa makusudi?! Hebu soma paragraph ya pili ya hoja yangu utagundua kwamba nilichokisema ndicho ambacho wewe umekisema kwenye paragraph yako ya pili!! Sijasema kwamba FDLR wana Military power bali nimsema kwamba Kagame anawaogopa FDLR kutokana na uwingi wa Wahutu (over 80%) ndani ya Rwanda! So, kuwakaribisha FDLR kwenye meza ya mazungumzo ni kama au ni sawa na kuwakaribisha FDLR kwenye siasa za Rwanda! Na nikisema kwamba, ingawaje Rwanda ukabila umepungua, lakini uliopungua ni ule ukabila wa wazi wazi lakini ukabila wa kisirisir ambao unaweza kutumika kwenye sanduku la kura, bado upo! Hiki ndicho kinachomtisha Kagame kwani anafahamu wazi kwamba ingawaje amejitahidi kupunguza ukabila lakini litakapokuja suala la uchaguzi huru; katu Wahutu hawawezi kumchagua Mtutsi! Pitia upya maelezo yangu ya awali!
Hapa ndipo Kagame alipofanikiwa ku-deceive international eyes! Amejitahidi kwa kila hali kupanfanya Kigali kuwa best place! Kila anayetaka kum-support Kagame, atakuambia nenda Kigali japo kwa saa moja uone huku wakisahau kwamba Rwanda is not Kigali alone! Hii ni sawa na kusema ukitaka kuamini Tanzania wapo mbali, nenda Mikocheni, Oysterbay, Masaki et al jijini Dar es salaam ukaone!!! Kwa takwimu za 2011, nearly 45% ya Wanyarwanda wanaishi below poverty line! Sio hivyo tu, 90% ya Wanyarwanda wanategemea kilimo na bandari yao kuu ni Dar es salaam! Kinachoonekana bandari ya dar ni imports to Rwanda na sio exports, sasa hao 90% wanaolima sijui mazao yao wanauzia wapi cjui!!!ndgu yangu kama umetia mguu ata kwa saa 1 kigali utatambua umbali tuliopo tanzania kufananisha na Rwanda.
Mimi nimependa Kagame alivyojibu: I kept quiet for the contempt I have for it (FDLR talks) because I thought it was utter nonsense spoken out of ignorance . We must be left to live our lives the way Rwandans want to live them, observed a visibly incensed Kagame. Kagame described Kikwetes counsel as, dancing on the mass graves of our people.
umejaa chuki kiasi umeshindwa kujitambua,huna tofauti na hawa jamaa zetu wanaochoma makanisa!
ndgu yangu kama umetia mguu ata kwa saa 1 kigali utatambua umbali tuliopo tanzania kufananisha na rwanda.
nasdaz,
nakubaliana na maelezo yako. Ni vema watu tukaeleweshana hali halisi ya siasa za kagame na udikitekta wake.
i totally concur with kagame's words on president kikwete. What kikwete said it is really,''utter nonsense spoken out of ignorance''. Kikwete is pretending to be a good samaritan to the fdlr and therefore advising kagame to come on the table for reconciliation. What kind of reconciliation?
I believe kagame knows what is currenty happening in tanzania. He surely knows the weakness of president kikwete who have failed to resolve a lot of crisis in his own country. We're the witness that kikwete has failed to even seat together with the strong opposition party chadema to resolve some issues which are unnecessary being created by his party ccm! Kikwete as well failed to address the mtwara saga which claimed some innocent lives!
Kikwete is still dumbfouned on the handgranade explosions recenly in the church at olasiti and the one at soweto during chadema campaign meeting on 15/06/2013! Kikwete has proved to be the weakest president of our time in tanzania who can't resolve any kind of a crisis in this country.kikwete has failed to manage his own government start from his own party ccm, the parliament,the police force,the army,the judiciary system,eduation,health services,etc!
If someone can visit the two countries today i.e.rwanda and tanzania can note the big difference between the 2 countries both politically and economically! Rwanda economy is so strong as compared to tanzania. I remember one mp in parliament raised a question on this. But to the suprise of many,when the minister was responding to this he said that rwanda economy is stable because the country is too small when compared to tanzania which is very big!!!
The same utter nonsense and silly questions and answers in tanzania's parliament!!!
To me kagame is correct. Bravo to kagame and shame on kikwete!
ukitaka kutoa ushauri kwa mtu mwenye mamlaka yake ni bora ukatafuta nafasi uongee naye mkiwa wawili kwenda kusema kwenye majukwaa ni kufanya uchochezi tu. Kwanini asingemtafuta wakapeana ushauri kwanza.