FuturePresident
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 321
- 54
kwani mbeki aliwezaje kujiuzulu? Inakuwaje hapa ngumu? Tutoe wapi shinikizo wana wa nchi ili hili lliweze kutekelezeka?
Kama Tunisia!!!!!
kwani mbeki aliwezaje kujiuzulu? Inakuwaje hapa ngumu? Tutoe wapi shinikizo wana wa nchi ili hili lliweze kutekelezeka?
Yanayoendelea leo hayahitaji mganga wa kienyeji kujua kwamba inawezekana serikali hii sio timu moja. Kila mtu anakufa kivyake. Namuonea huruma sana maana JK kama Lueteni kanali mstaafu wa jeshi, anajua madhara ya kuongoza timu isiyo na nidhamu kwenye mission inayotaka integrity ya hali ya juu.