President Kikwete stop this madness please or resign!

I'm sorry (actually i'm not) to say this; what is going on right now is pure madness of sort. Hivi hakuna mtu mwenye hekima ndani ya serikali na chama tawala? Yaani, kila mtu anajitokea na kusema lake, na wenyewe wanapingana na kwa kufanya hivyo wanaonesha how weak President Kikwete actually is. It seems to me that he has lost comman of respect or even loyalty within the party and the government.

It as if he has become a ceremonial president - the one who likes ceremonies! Yaani, sijui nani atamuambia ukweli lakini whatever is going on is not good for the country and for his own legacy. There are a number of things that he personally need to take care of:

a. The Arusha Killings of Chadema supporters; he need to show that he actually care and is willing to do everything not to that such an incident doesn't occur again. The first step, meet Chadema leaders for a candid discussion of the political situation in the country. Hali iliyopo sasa haiondoki kwa mikwara na kudharau!

b. He need to stop the payment to Dowans. He is one of the very few people who knows for a fact why Dowans was formed and how he would benefit (kwa binafsi au familia) when the payments are made. He need to show that he in fact care about this. So far yupo yupo tu.

c. Stop the madness ya majibizano ya kisasa kati ya viongozi wa chama chake, viongozi wa dini, na watendaji wa serikali. Something is definitely very wrong.

Kikwete toka uchaguzi amewashawishi wananchi kuwa he is the president na akatangaza waziwazi Bungeni kuwa "waenda lakini watarudi" kwani yeye ndiyo Rais. Well, Kuwa Rais siyo jina au tunu ya sifa bali ni kazi ya kikatiba. Sasa basi awe Rais na aoneshe kwanini alizinguka mikoa yote hiyo kuomba nafasi ya pili ya kutawala taifa (sijui kama alitaka kuongoza au kutawala).
Kama ni vigumu for him to give the country courageous leadership at this time basi alitendee taifa hisani ili angalau tuanze na Bilal tuone naye atafanyaje. Act or resign. Kwa sababu mengine hata hayaingii kichwani.

Mzee Mwanakijiji, unajua mimi naamini kwamba hili ombwe la uongozi alilo-create Kikwete lina maana sana kwa mustakabali wa nchi. Hili ndilo litakalolazimisha na kuharakisha mabadiliko makubwa nchini. Hapa ni historia tu inajirudia. If you know anything about ancient history you remember how great world empires fell. One reason, yes and major reason indeed, was that the leadership got so much corrupted and power intoxicated that they abdicated their fiduciary responsibilities and engaged themselves in stupid, immoral practices until they were assassinated and their empires fell into some more sober leaders.

Kikwete is just unbelievably weak and incompetent that he does not even know what to do now. He seems to be in a serious dilemma about whether to act in accordance with is natural personality bent and grab what he wants for himself, as this is his time to gather all he can, or to show some leadership in these matters. One thing is clear, he is confused and does not know what to do. He is also not confident in any move he wants to take. He has made so many mistakes now and he is facing internal and external opposition too strong for him, that he is afraid of his own shadow now.

And do not forget that he is also left alone with no one to advice him on heavy matters. So what follows, nothin but the fall. Not only for himself, but also for his party. The damage, I mean moral damage that he has suffered is just too big for him to recover from. What is needed now is for his political rivals to pull up the socks and prepare to take over. Nothin more, nothis less. MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.
 
Sijui watasemaje wale waliokuwa wanatuambia subirini 2nd term ya JK atahaakikisha walarushwa kubwa kubwa woote wanawajibishwa. Sasa huu ni mwanzo tu wa mechi tayari ni shaghala baghala. Can we really wait up until 2015?
 
I'm sorry (actually i'm not) to say this; what is going on right now is pure madness of sort. Hivi hakuna mtu mwenye hekima ndani ya serikali na chama tawala? Yaani, kila mtu anajitokea na kusema lake, na wenyewe wanapingana na kwa kufanya hivyo wanaonesha how weak President Kikwete actually is. It seems to me that he has lost comman of respect or even loyalty within the party and the government.

It as if he has become a ceremonial president - the one who likes ceremonies! Yaani, sijui nani atamuambia ukweli lakini whatever is going on is not good for the country and for his own legacy. There are a number of things that he personally need to take care of:

a. The Arusha Killings of Chadema supporters; he need to show that he actually care and is willing to do everything not to that such an incident doesn't occur again. The first step, meet Chadema leaders for a candid discussion of the political situation in the country. Hali iliyopo sasa haiondoki kwa mikwara na kudharau!

b. He need to stop the payment to Dowans. He is one of the very few people who knows for a fact why Dowans was formed and how he would benefit (kwa binafsi au familia) when the payments are made. He need to show that he in fact care about this. So far yupo yupo tu.

c. Stop the madness ya majibizano ya kisasa kati ya viongozi wa chama chake, viongozi wa dini, na watendaji wa serikali. Something is definitely very wrong.

Kikwete toka uchaguzi amewashawishi wananchi kuwa he is the president na akatangaza waziwazi Bungeni kuwa "waenda lakini watarudi" kwani yeye ndiyo Rais. Well, Kuwa Rais siyo jina au tunu ya sifa bali ni kazi ya kikatiba. Sasa basi awe Rais na aoneshe kwanini alizinguka mikoa yote hiyo kuomba nafasi ya pili ya kutawala taifa (sijui kama alitaka kuongoza au kutawala).
Kama ni vigumu for him to give the country courageous leadership at this time basi alitendee taifa hisani ili angalau tuanze na Bilal tuone naye atafanyaje. Act or resign. Kwa sababu mengine hata hayaingii kichwani.

mkwere wala hata hajali. Yuko bagamoyo anacheza kiduku, mtasema mtachoka yeye ndio Rais ebo!
 
Mkuu kikwete hawezi kuongea mpaka waliomshikia remoti control wamruhusu kuongea (Rostam, Lowasa, Chenge n.k)
Mi najiuliza miaka ya nyuma ccm ilikua wanachama na wananchi wake wakiishi kwa amani na upendo kabisa lakini tangu utawala wa kikwete !!
CCM imekua ikiitwa majina haya!!

  • Chama cha waislamu
  • chama cha watu wa pwani
  • chama cha familia
  • chama cha mafisadi
Wapinzani wasipewe kura kwa sababu wao ni wakristo.....jamani!!!
Mbona zamani walikua wakishindwa au kushinda kulikua huu ubaguzi hamna?
Kikwete tumwombee mungu amalize muda wake maana kama mambo yakiendelea hivi atatuweka kwenye historia ya ajabu sana!!
UJINGA, UBINAFSI NA RUSHWA ZA VIONGOZI WETU NDO CHANZO CHA UMASKINI WA WATANZANIA.
 
He has lost legitimacy to lead this nation. He is weak, he is a captive of the corrupt syndicate which brought him in the office. He must go.
 
Rais Mwizi anasubiri amri kutoka kwa mizuka yake ili afanye nini? Kama unakumbuka alikuwa na wimbo unasema kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala .... .... .... I hope hizo kelele bado hazimzuii kujiuzulu. Kazi imekushinda JK unaweza kazi ya kuiba kura tu, sio kuongoza nchi.

Keynes

Umesahau hapo juu: Chama Cha Majambazi.
 
0111c76x4h.jpg


Huu muda anaupata wapi? Kama sio Wizi


0111m7h3ta.jpg



Rais Mwizi amepata muda wa kwenda kuweka mbolea wakati nchi iko kwenye matatizo
makubwa ya kufikiria kuwalipa Dowans na utata wa umeme ambao uko
kwenye mgawo na mtoto wa mkulima anafanya shughuli za mikasi kweli
hawa viongozi wanawezaje kufuatilia kwa ukaribu matatizo ya wananchi.
 
Ladies and gentlemen,
Kikwete amefikishwa hapo alipo na vyombo vya habari. Ukitaka uamini hilo, tafakari kwa kina sababu iliyowafanya watanzania wamchague kwa kura nyingi kiasi hicho kwenye uchaguzui wa 2005? Ni jambo gani specific alilowafanyia watanzania wakati akiwa waziri lililowashawishi watanzania wengi kiasi hicho kumpigia kura, kama siyo ushabiki wa kijinga tu??

Ninachokiona mimi ni kuwa kikwete hana sifa yoyote ya uongozi na hilo limedhihirika ndani ya miaka 5 ya utawala wake. Yeye yupo pale kwa nguvu ya mafisadi ambao walifanya jitihada zote kuhakikisha mtu wao anakalia hicho kiti cha enzi ili waitafune nchi hii wapendavyo. Walitumia vyombo vya habari hata kufikia kiwango cha kununua milki yake, wakachonga mabango ya kila aina na kusanifu slogan za kulainisha watu ('maisha bora kwa kila mtanzania', 'wanawake watawezeshwa', n.k) ili kibaraka wao achukue madaraka. Walicheza na maneno tu hatimaye kibaraka wao akashika madaraka. Leo hii, tunashuhudia katika historia ya nchi hii jinsi uongozi wa nchi ulivyoyumba. Nchi imekosa sauti ya kiuongozi. Kila kiongozi wa serikali akiongea, anaongea yake kana kwamba siyo viongozi wa serikali moja. Jamani tuwe wakweli, TANZANIA HATUNA UONGOZI.
 
It is like Kikwete is in a trance and his ability to function voluntarily appears lost or could it be we are missing something here ? My God, the word voluntarily suddenly starts me thinking, is Kikwete really in control ? Are there some external forces pulling the strings ? Every evidence points to the fact that there is very little chance of him completing his second term in office, so what prompted him to seek a second term in the first place ? If I remember well he collapsed at the podium on the very first day of the campaign and this I think should have been a signal for him to step back, but no way he kept going or was he ? Something was propelling him to the extent of involving his whole family and vowing to win the presidency by hook or crook. It was as if winning meant everything for him, his family (and whoever) and that losing couldnt have been tolerated, question is by whom ? Kikwete, stop putting our beloved country at ransom, resign and save our country from humiliation at the hands criminals and gold diggers.
All pointers suggest someone else other than Kikwete has taken control of this country. This is probably due to President Kikwete himself allowing his Presidency to be shrouded by several unprofessional and corrupt advisers like his family, Sheikh Yahya Hussein, Makamba and the likes.
He seems to be overridden by a bunch of boot lickers and court jesters who flock to the State House to facilitate their corrupt motives. He has rendered himself morally helpless, hopeless and hapless. It is increasingly becoming more difficult to help him because such people around him make him believe nothing has gone wrong. This is a national disaster. The worst is that he can not resign as this is against the culture of almost African leaders who likes to call themselves 'Presidents' but act as Sultans or Emperors. To wrap this up CCM has proved to be Mwalimu Nyerere's bad students as they have failed to learn any wisdom from that great son of Africa who continues to be respected worldwide even after his demise. No wonder CHADEMA has succeeded in attracting many Tanzanians and will surely continue to attract many more due to the simple fact that, to ordinary patriotic Tanzanian; CHADEMA sounds more Nyerereist than the corruption infested CCM that has practically distanced itself from the Tanzanian proletariat.
 
what make support this thread ni kuwa HATA DOWANS kakaa kimyaaaaaaaaaaaaaa, kama hajui, i am sick of this President, UDOM wamempa
U Dr. kasepa huyoooooooooo, hata fedha za field hawana, kakaa kimyaaaaaaaaaaaa, this is not prudence is rudeness & disrespect to citizens, anajua anamaliza muda wake so hajali lolote
 
swali kubwa ni kuwa nani atamwambia ukweli kama wote wanaottakiwa kumwambia ukweli wananufaika na hali ilivyo?
 
kwa ufupi hawezi kukutana nao
.

hata mimi niliwahi olewa na ccm ila nimeachika sababu ya kikwete. Sasa wewe jipendekeze tu, maana jk kutoonana na cdm leaders haimaanishi kuwa ni ushujaa, bali ni mwendelezo wa umbumbumbu kama kwa suala la richmond, epa, kagoda etc. Wewe umelishwa unga wa ndele na ccm. Pole hata mimi ilinichukua muda lakini ndo nimejua. Yaani ndoa hii ni ngume sana. Hata ukiwekewa mti husikii mpaka uone damu. Loh pole
 
MpendaTz, Mawaziri hawawajibiki kwa Waziri Mkuu, they work at the pleasure of the President. Waziri Mkuu ni kiongozi wao tu lakini mengi anayoweza kuyafanya dhidi ya mawaziri wenzake ni lazime yapitie Ikulu kwanza. That is the sad part.

This is too much power vested in one person in our Government! Hivi Mkuu Mwanakijiji ungeweza kweli kuwa Waziri Mkuu katika serikali ya muundo huu? Hukutaka kuongeza mengi zaidi kuwa hata Wakuu wa Mikoa, wakuu wa mashirika, Wakuu wa Wilaya wote wanaweza kuwa pia they work at the pleasure of the President. Hii ni balaa!! Ninachoona hapa ni kuwa hii set-up ya uongozi wa nchi yetu ilikuwa anaiweza Nyerere tu peke yake. Kwa sababu ya style yake ya kutawala huku akihamasisha na kutetea wanyonge sana. Sasa inawafanya viongozi wengine waingie pale wakidhani ukishaingia Ikulu mambo yanakwenda automatically! KATIBA MPYA!!!
 
I never thought I would say this, but I actually think Kikwete has been great for Tanzania. Whether by accident or calculated, we should all be thankful. Think about it!!

In a way I agree with you. I still thinking about it as you rightly advised.
 
Mwanakijiji you dont expect the Head of Madness to go in public and condemn the madness that will definitely be the madness of all so am not expecting anything from him.
 
Jamani Tunahitaji kumuombea JK inawezekana kisukari chake ni kikali hata hajui kuwa yeye ni rais na na wajibu na kuhire na kufire na kufanya maamuzi makubwa.

Au inawezekana kwa afya yake madaktari wamemwambia asifikirie sana matatizo ya watanzania yatahatarisha afya yake .

Inasikitisha sana hata wale waandamiazi wake wanaotakiwa kumsaidia kufukia mashimo na udhaifu wake ndio type ya kina makamba........Wanashindwa hata kufanya maigizo kituamabcho CCM imekuwa ni best.


Sasa leo sita anasema hvi kesho werem,a Vile kesho kutwa shimbo anasema hivi . midomo ya serikali inapingana.

Japo simkubali but ni rais
 
I never thought I would say this, but I actually think Kikwete has been great for Tanzania. Whether by accident or calculated, we should all be thankful. Think about it!!
Kweli nakuunga mkono 100% kwa sababu zifuatazo
1. Kikwete anatusaidia sana waTZ kuamka na kuchangamka kisiasa!. Kipindi kirefu kilichopita watanzania wamekuwa overprotected na kuwa mfano wa kuku wa kufugwa bandani.
2. Kikwete anatusaidia kuamka na kujua kulinda mali zetu against abuse and outright theft by our leaders and fellow citizens
3. Anatuonyesha kwa mifano halisi jinsi katiba tuliyonayo ilivyo BOMU
4. Anatuonyesha kwa mifano halisi jinsi tunavyoweza kuwa na Rais BOMU anayechagua wasaidizi BOMU
5. Anasaidia sana kuporomosha CCM na kukibadilisha kutoka kuwa chama cha Jembe na Nyundo na kuwa cha Kisu na Uma (ulaji mtupu hakuna kuzalisha)
Kwa kweli kwa haya JK namfagilia
 
JK ameshindwa Litimus taste tangu siku alipo apishwa mpaka siku alipohutubia Bunge kwa mara ya kwanza and it's obvious mpaka sasa nchi iko kwenye cruise control model.

Tanzania ya leo imegawanyika katika makundi, wapinzani kwao, CCM kwao, Waislamu kwao, Walutheri Kwao na n.k. Hii yote ni sababu ya poor leadership ya Mkwere. The guy become a hoax job, he failed to unite Tanzania. JK is busy to meet with mabalozi and CEO from donors nation instead of unite the country which fix to become another African Dismantle Society.

Serikali kila mtu amekuwa muongeaji mkuu, Dowans ni ponzi scheme lakini sababu imeanzishwa na swaiba wake basi hawezi kutia neno.
Membe anaropoka tuu kama kanywa chai ya kichina, Malecela anasema Lake, Bakwata wana lao, Maaskofu nao wana lao, Polisi wanatetea kuuwa na kutuma upuuzi kujustify kuuwa kwao, Sitta is all over the place, Lowassa anajaribu kurecover kwenye public. When are we going to focus on building the economy? When will he be able to start the plan for fly over in Dar? When will he be able to start plan for education kwa wote as he campaign? When will this president become a president and take a responsibility.

I am not a big fun of quiting, but free ushauri kwa Mh. JK please quit if you fill so. Tanzanian are hungry of leader who will unite them instead of divide them, the leader who will engage in debate instead of stay kimya, the leader who will lead instead of follow, the leader who will care for them....

One more thing, Barabara zako unazosema umezijenga in 2005-2010 zinauwa Watanzania sawa na Malaria. On avarage 4 Tanzanian wanakufa kwa ajali daily, na ajali zote ni avoidable... But since you're the president only on the picture frame, i guess you do not care because it's another statistics. I have news for you Mr. President, that is someone son, someone doughter or someone dad or mom... Communities are losing their members and you're moving around like insane.
 
3D acha mambo yako ya komputa komputa,pentium I miaka hii si kalikulaeita? Mr president is rais bwn,mheshimu. Jk amedanganywa na washauri wabaya aonekane mpuuzi. Jk hakuwa mtu wa kushauriwa na mwema,adengenye na salva! Ni sawa na kulibeba taifa kwenye koleo ya plastiki. Kwa tukio la arusha wala sitaki rais atoe tamko. Narudia sitaki,kwa tukio la polisi kuua alitaki tamko,labda kama kujiuzulu. Tunisia umeiona?au Tz ni ya kidikteta?! Arusha waliotekwa kijasusi ni wabunge,watunga sheria,sasa inakuwaje kwa mtu wa kawaida?! Grace Kiwelu kapigwa ndani ya gari,wakapasua vioo na kuwajeruhi waliokuwamo,wee unadhani polisi waliamua,walikuwa wamebwia unga,walilewa,walirukwa akili,au walitumwa?!? Hamna wa kupiga mbunge bila kuagizwa,walitumwa wajeruhi,waue ila baadae watalindwa na ndo picha ilivokuwa! Wabunge kupigwa ni next to uhaini,quote mi wrong ili binafsi nimeuchukia utawala wa Tanzania,nimechukia siasa,nimemchukia rais wangu,kwa chuki ya dhati!
 
Back
Top Bottom