Precision Air Kama Dala Dala

Usiwake tu........hiyo ni sababu ya kauli FREE SEATING..........Sasa hapo kila mtu anawahi siti ya dirishani

WAKATI FULANI MARA KADHAA NDUGU ZANGU WALIRUDISHWA / WALIAHIRISHIWA SAFARI mlangoni KWAKUWA NDEGE HII IMEJAA. Swali je ndege inajaa wakati wa kupanda au wakati wa booking?
Ni kweli kuwa TCIA and other concerned authorities hawafanyi kazi yao sawia.
 
Tatizo ni uzito. Captain ana optimal weight ya kurukia na wakati mwingine ndege hujaza mizigo mingi na kusababisha hilo tatizo
 
Ukitaka kujua kwamba Precision bado sio km dala dala nenda Congo uone uapandaji wa abiria kwenye ndege ukoje, hio cha mtoto.
 
Mbona hueleweki? unakataa nini na unakubali nini? kabla sijakujibu hebu fuatilia michango yangu toka mwanzo. Jamani someni mada na michango ya wengine ili muelewe yupi anaunga mkono hoja na yupi anapinga.

Mkuu hujanielewa wapi au hutaki tu kuelewa, ni wewe uliyesema maneno haya

Precision Air hakuna free seating wewe kila mtu anakaa seat yake.

sasa maelezo niliyotoa ni kuhusu hiyo "Free seating", au hujaelewa nini?!!!
 
Mkuu hujanielewa wapi au hutaki tu kuelewa, ni wewe uliyesema maneno haya

sasa maelezo niliyotoa ni kuhusu hiyo "Free seating", au hujaelewa nini?!!!
Hebu fuatilia malumbano yangu na mheshimiwa Safani ni Safari ndiyo utaelewa. Ndiyo maana nimekuuliza aliyekuwa anaunga mkono kuwa free seating ipo ni nani kati yetu wawili, usikurupuke tu elewa kwanza mahojiano unaweza kujikuta unampinga mwenzio wa kambi moja.
 
Je na hii utaiitaje maana ni zaidi ya daladala za Mbagala... SAA.JPG
 
umetumwa na shirika gani? Usidanganye umma, ninaitumia sana precision air, kinachotokea hapo ni kwamba abiria wanachukuliwa na mabasi maalumu ya kampuni toka sehemu ya kupumzikia kwenda pale ndege ilipopaki, sasa kwa mfumo huo ni lazima mtafika wengi kwa wakati mmoja kwenye ngazi hivyo kulazimika kuingia kwa foleni. Sasa hapo kuna ubaya gani?
Bila shaka umetumwa na wale waliopasukiwa kioo cha mbele kule kigoma.

fly540
 
Tatizo ni uzito. Captain ana optimal weight ya kurukia na wakati mwingine ndege hujaza mizigo mingi na kusababisha hilo tatizo

Walitakiwa wajue kabisa kuwa ndege yetu ya tarehe fulani saa fulani itakuwa na mizigo kiasi kadhaa ili wawaachie watu wachache wa-book safari, kwa sababu kutokufanya hivyo ni kuvuruga mipango ya abiria ambalo kimsingi halikubaliki.

Nakubaliana na wewe kuwa free seating inaweza kuwa ndio sababu inayopelekea msongamano wa watu wakati wa kupanda ndege kwa sababu kupelekwa kwenye ndege kwa mabasi inafanyika kwa mashirika ya ndege mbali mbali duniani, wala hautokei msongamano kama huo kwa vile kila mmoja anajua seat yake ni ipi, na uhakika wa nafasi ya carry-on bag yake.

Kuruhusu free seating ni usumbufu kwa abiria ambao ni watu wazima, wagonjwa, wenye watoto wadogo, ambao hawawezi kupigania nafasi ya kukaa waipendayo wakati kimsingi walikwisha chagua nafasi/siti bora kwao wakati wa ku-book.
 
Dah kusema kweli free sitting ipo kwenye precision, binafsi nimeshakutana nayo two times dar mwanza na kuna siku watu walikuwa wengi na bado ikawa free sitting full vurugu ndani... Sikatai utaratibu wa mabasi unatumika sana dunian but huwez kuta vurugu hizo doha, dubai, amsterdam as ustaaarab upo wa hali ya juuu baaada ya kushushwa kwenye bus kila mtu anapanda kistaarabu.. Tena waarabu ndo wazuri sana kwenye hilo wanahakikisha mnakaa kwenye bus hadi ndege inaandaliwa kila kitu mkitoka tu ni kupanda but precision mnashushwa kwenye bus wakati ndege inasafishwa bado yaan mnasimama nje hadi mnachoka kama kituo cha basi.. I am talking through experience...
 
Hicho kidaladala unataka kulinganisha na Marcopolo! Sio kosa lako niuzoefu wa unafuu wa bei na kukimbizana kuwahi seat wa huko ulipo ndio unakufanya ufikiri hata huku watu wakipanga foleni wanakimbizana kama huko.
 
Unapolinganisha mashirika yetu ya ndege na Global Airlines utakuwa hutendi haki, kwa level yao tuwatendee haki wanajitahidi mno. Nilifikiri labda utalinganisha na ATCL, KENYA AIRWAYS etc. Ukifanya hivyo na kwenye miundo mbinu ya barabara utahoji mbona Tz hakuna Flyovers kama Los angels.

MKUU HAPO UNAKOSEA UNAVYOSEMA HIVYO TENA UNAKOSEA SANA MKUU KWANI KATIKA AIRCRAFT BUSINESS KUNA KITU KINAITWA ​AIRCRAFT GROUND HANDLING NINAVYOSENA AIRCRAFT GROUND HANDLING NAMAANISHA HUDUMA KAMA Cabin service, Catering, Ramp service,Passenger service, Field operation service

MAKAMPUNI YANAYOTOA HIZO AIRCRAFT GROUND HANDLING NI KAMA Olympic Handling, Aviator Airport, AlliancServisair, Handlex Goldair Handling Dnata NA HAPA NYUMBANI TUNA SwissportKWA UELEWA WANGU MDOGO NI KWAMBA MAKAMPUNI YA NDEGE YANALIPA KWENYE MAKAMPUNI HAYO HIZO SERVICE
HAPO UMESHAJUA TATIZO NI NINI??

maybe

PRECISION AIR HAWAJALIPIA SERVICES HIZO KWANI KAMA TATIZO LINGEKUWA KWA SWISSPORT HIYO ADHA UNGEIONA KWA EMIRATES, QATAR PIA

maybe

AU UNIAMBIE KUWA HIYO PICHA IMEPIGWA MIKOANI SEHEMU AMBAPO SWISSPORT HAWAJAFIKA MAYBE... ILA KAMA NI DIA NO WAY PRECISION WAMEFANYA BONGE LA UZEMBE

MY TAKE FANYENI UCHUNGUZI KAMA NI MIKOANI
WAJASILIAMALI WACHANGAMKIE TENDA WANUNUE VIFAA VYA AIRCRAFT HANDLING SERVICES WA CHARGE KWA BEI NAFUU

INAWEZEKANA SANA
SIO KILA SIKU MNALALAMIKA KUWA MAISHA MAGUMU
 
Tatizo lako wewe ni kutoka katika familia za kajamba nani..! Unawaponda precision Air huku baba ako vumbi tupu. Give them some credits thereafter come up with areas of improvement..!
 
Hao Precision Air wanatoa boarding pass? kama wanatoa inaonyesha seat number? kama ni hivyo kunahaja gani ya kugombania hivo? SUMATRA wanahusika hapo au wanangoja yatokee majanga kama yale ya kule Congo DRC yanayosababishwa na ndege kuzidisha abiria yaani wanasimamisha abiria na mizigo kibao.

Hakuna cha ajabu hapa mkishuka kwenye shuttle kuingia kwenye ndege ndo hivyo tu hata Ulaya. Cha kujiuliza ni kwamba walikuwa wanawahi nini hadi kucrowd kwenye ngazi kiasi hicho
 
Hakuna cha ajabu hapa mkishuka kwenye shuttle kuingia kwenye ndege ndo hivyo tu hata Ulaya. Cha kujiuliza ni kwamba walikuwa wanawahi nini hadi kucrowd kwenye ngazi kiasi hicho

Kwani Ulaya ndio nini?? Ulaya ndio aliko Cameroun!!!!!!!!!
 
MKUU HAPO UNAKOSEA UNAVYOSEMA HIVYO TENA UNAKOSEA SANA MKUU KWANI KATIKA AIRCRAFT BUSINESS KUNA KITU KINAITWA ​AIRCRAFT GROUND HANDLING NINAVYOSENA AIRCRAFT GROUND HANDLING NAMAANISHA HUDUMA KAMA Cabin service, Catering, Ramp service,Passenger service, Field operation service

MAKAMPUNI YANAYOTOA HIZO AIRCRAFT GROUND HANDLING NI KAMA Olympic Handling, Aviator Airport, AlliancServisair, Handlex Goldair Handling Dnata NA HAPA NYUMBANI TUNA SwissportKWA UELEWA WANGU MDOGO NI KWAMBA MAKAMPUNI YA NDEGE YANALIPA KWENYE MAKAMPUNI HAYO HIZO SERVICE
HAPO UMESHAJUA TATIZO NI NINI??

maybe

PRECISION AIR HAWAJALIPIA SERVICES HIZO KWANI KAMA TATIZO LINGEKUWA KWA SWISSPORT HIYO ADHA UNGEIONA KWA EMIRATES, QATAR PIA

maybe

AU UNIAMBIE KUWA HIYO PICHA IMEPIGWA MIKOANI SEHEMU AMBAPO SWISSPORT HAWAJAFIKA MAYBE... ILA KAMA NI DIA NO WAY PRECISION WAMEFANYA BONGE LA UZEMBE

MY TAKE FANYENI UCHUNGUZI KAMA NI MIKOANI
WAJASILIAMALI WACHANGAMKIE TENDA WANUNUE VIFAA VYA AIRCRAFT HANDLING SERVICES WA CHARGE KWA BEI NAFUU

INAWEZEKANA SANA
SIO KILA SIKU MNALALAMIKA KUWA MAISHA MAGUMU
Mkuu R. Chapelle rafiki yangu sana wewe nimekupata vizuri, yaani ingekuwa vizuri kama kila mwana jamvi angekuwa anaelimisha kama ulivyofanya. Wahusika wenye macho ya kusoma hoja nzito kama hizi wamesoma na watazifanyia kazi.
 
Kwani Ulaya ndio nini?? Ulaya ndio aliko Cameroun!!!!!!!!!
Huelewi Ulaya kuna nini? Huko ndiko ndege zilianza kuruka na ndiko ziliko BBA, Air France, KLM, N.K. Ndiko waliko wanaokuwezesha kutoa comment zako JF, Kumbe hujui eenh!
 
Lipo moja linavuja maji mvua ikiwa inanyesha ila hili shirika linasaidia!tuache mbwembwe!
 
Back
Top Bottom