Precision Air (Dsm Dodoma)

Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55
Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda ghafla katikati ya safari. Nini uzoefu wako kuhusu ndege hii.

Sent from my PEUM00 using JamiiForums mobile app
Shirika limeanza kufilisika na Lina madeni kibao.

Muda wa kutengeneza ndege hawana.

Hilo shirika Sasa linaelekea kupoteza uelekeo
 
Usiombe ukatize hapo India to far East kipindi cha monsoon utachafua nguo!

True that...

Nilishawahi kukatiza mara moja toka Delhi kuitafuta Peking mwaka 2005 ile, aisee kuna turbulance ya kufa mtu usawa wa Himalayans...
 
Hiyo ni turbulence mzee; ni very normal hususan kwa videge panzi kama ATR, Bombardier, au vile vingine vya abiria 10 sijui charted nini sijui.

Ingekuwa jet wala usingehisi chochote; anga la Tanzania ni kati ya anga tulivu mno! Usiombe ukatize hapo India to far East kipindi cha monsoon utachafua nguo!
Logical somehow
 
Back
Top Bottom