Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
851
1,887
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
---

Taarifa ya tukio hilo imeelezwa na moja ya abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo, ambaye ni Naibu Meya wa Kinondoni, Joseph Rwegasira Samson, ambapo ameeleza kuwa wanashukuru Mungu, wamefanikiwa kutua salama kwenye uwanja ndege wa Dar es Salaam, ikiwa inatumia injini moja.

PIA SOMA
- Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

Credit: ITV
 
Hizo ngoma shida nini watu AME inapaswa wajitathimini kwasababu hatukatai chombo kuwa na mechanical au electrical malfunction hasa katika mifumo ya engines au hydraulic maana inaanza kuwa kila mara.
 
#HABARI: Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
Inakuwaje ishindwe kutua Dodoma lakini ikaja kutua Dar? Logic ni nini kurudi dar na kutua? why isitue huko huko dom?
 
Back
Top Bottom