Precision Air Boeing 737 is grounded by TCAA

lee shaka

Member
Feb 10, 2008
12
0
I heard this bird is being grounded by the Tanzania Civil Aviation Authority.

Any more news, is it for safety ?
 
Ni kweli,
washenzi sana Precision wanahonga wahariri ili habari zao zisitolewe ktk media.
Its so bad, ndege yao mpya pia mbovu iko grounded lakini ktk media haiwi reported.
 
Nilipanda ndege yao toka Dar kwenda Mtwara (mwaka huu mwishoni), wakati tunaenda ingia kwa ndege tairi moja lilikuwa kama limebonyea, sasa kukawa na mjadala ni bovu ama vipi?, nadhani katika kujipa tumaini (ambayo ni hatari) mmoja wetu akasema ni kwa kuwa ina mzigo mzito. Tukapaa salama, tulipofika Mtwara, tukatua, lakini wakati ndege inageuza, ili iende kusimama, tukaona Moshi mzito, sasa pale kila mtu alikuwa kimya, manake hatukujua linaloendelea nje, labda ndege imeanza waka?, ama kuna nini?. Tuliposhuka tukakuta lile Tairi limepasuka na kutoa moshi vibaya mno, lilikaribia kuwaka. Nilichukua Picha, ila hiyo habari sikuioana kama ilitoka kwa vyombo vya habari. Huduma za ndege Tanzania kama hawatakuwa waangalifu, tunaelekea kuwa kama Congo (DRC).
 
jamani,
muitendee haki hii kampuni,inatufuta machozi wa tanzania,tairi kupasuka ni ajali kama ajali ingine,na sio ajabu kwa precision kupasuka tairi,hata hivyo ni marangapi imetokea?kuhusiana nakua grounded kwa boeng ya precision air,ni kweli kwamba tcaa walikua wanaihitaji kwa ajili inspection zao za kawaida,na kwa muda huu iko pale airport ikisubiri kwenda nirobi kama flight 718 leo,abiria wa precision tafadhali,kueni na amani,kwa sababu kwanza inajali maisha yenu,inajali usalama wenu,inajali fedha zenu,na mwisho your are why they fly,pia mkumbuke ndio kampuni bora afrika mashariki kwa mwaka 2008/9. wapeni wanachostahili na sio kutoa lawama zisizo na msingi
 
it seem leone you are being paid enough money to correct any bad news for Precision Air. good PR. keep it up
 
it seem leone you are being paid enough money to correct any bad news for Precision Air. good PR. keep it up

He's one them, why watching people pounding your "food cans" without acting? , where will you eat. By the way Leone sounds like MM
 
Kwa Hiyo Ingekuwa Vipi kama Kusingekuwa na Precision Air??

Tujilaumu wenyewe kwa kuachia walafi wakatafuna ATCL.

Precision Air haina ugomvi na sisi. Tuna ugomvi na hao ATCL management.
 
Jamani kuwa grounded ni kitu cha kawaida labda kwa hali halisi natumaini tcaa ukiacha uswahiba wake na atcl; haikak akuna ndnege ya atcl ambayo ingeweza kuruka..........

1))))atcl wamekuwa wakifanya maintenence za ndege ndogo illegal bila kuwa na kibali toka mwaka 2003 kama tumena kwenye magazeti na hakuna ngadu wa tcaa aliepiga kelele yoyote mpaka wanakuwa grounded.......

2)))shule zinazofundishwa marubani wa atcl hazina sifa hata bkidogo za kuruhusiwa kufundisha marubani wetu..ila kwa kuwa kuna mkurugenzi mmoja ana urafiki na kile chuo cha s.africa amekuwa akila 10per kwa kushirikiana na watu wa tcaa...na hili mama munyagi anajua fika......

3)))baada ya kuwa groounded habari zilizotufikia huku unjaibuni ni kwamba kile chuo walichopelekwa hata wafanyakazi wa ndege wa ndani hakina sifa ya kuwafundisha ndege husika....hivyo majuzi ndio tcaa wameamua kwenda kuangalia hivyo vyuo kama vina sifa....

Waacheni precossion'e kama si wao kwenda mara nne mwanza nani angewapeleka jamani
 
Du! ile boing ya Precision ilinifanyia mambo siku moja naenda Nairobi jioni, ikaambiwa imeharibika kifaa, ikatengenezwa tuka-board alafu baada ya dakika tano tukaambiwa kicho kilichotengenezwa kimeharibika tena, ikabidi tuteremke chini, tukaondoka tukaenda kulala ikabidi tufuate siku ya pili...

Tulimshukuru Mungu maana kidogo tungeenda na ndege mbovu...
 
Hakuna reliable airline Tanzania zote ni wizi mtupu na bado tukifanya mchanganuo mzuri wa kifisadi ndio tutajua nini ni nini na kipi ni kipi. Watu hawa wameiba fedha za umma na kuwekeza eti kwenye airlines. Wizi mtupu. Hakuna mTanzania anayeweza kumiliki maboeing ni wizi mtupu na ole wao tutapowabaini!!! Wanajidai ooo Shirima ooo Community Air. Wapi??? Nasema hiviiii! Wizi mtupu. Tutawabaini tu. No stone shall remain untouched! Waka mkao wa kubainika.
 
Back
Top Bottom