Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 304
- 1,096
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kinijalia afya njema...napenda kuwapa moyo vijana wenzangu ya kwamba wasikate tamaa..kikubwa tuendelee kupamba, kumuomba mungu..
Niko kitambaa cheupe mda huu nimepaki boda yangu kiukweli uvumilivu wangu na nidhamu kwa wateja na barabarani vimenifanya nimepata 40000 tokea asubuhi sa tatu nilivoanza kazi hadi mda huu..
Siri ya mafaniko yangu
1..Starehe nimeamua isiwe sehemu yangu kabisa ya maisha hasa kipindi hiki ambacho sijajipata.
2..Sijaoa najitafuta kwanza japo natamani na umri umefika.
3.Nidhamu kwa wateja.,,kauli nzuri,,usafi wa chombo na uvumilivu...Hpa kwenye uvumilivu nitatolea mfano Mimi abiria wangu wengi ni wadada.
Wadada Sio watu wa kwenda na muda inatakiwa akikwambia naingia humu ndani Mara moja uwe tayari kumvumilia na Sio kupishana nae kauli sajabu anamizunguko mingi hii huwa ni faida.
Mwisho kabisa Kama upo karibu usinisahau ...niungeni ndugu yangu katika harakati za kujikwamua...pongezi ziende kwa wamiliki wa magari...aisee jamaa wamagari ni watu wema Sana barabarani...
Naombeni mtusamehe Sana msituchoke utakuta tunachomeka Ila kwa huruma Huwa mnafunga breki kutunusuru..pongezi pia kwa bro equation x..alinishauri niachane na yule demu.