Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,480
- 78,732
...Jana Usiku niliangalia kipindi cha Tv katika TBC 1 kinachoitwa PPR
kipindi kilikua kinazungumzia maonesho ya SABA SABA...na walikua wanahoji kazi za VETA na PRIDE
..Muongozaji /Mtangazaji alikua ni Pascal Mayala
...wahojiwa walikua wabunge.... wengi wakiwa wa Dar es Salaam
..na pia niliona mahojiano ya Bwana @J.W.Malecela
Nianze kipindi ni kizuri na huwa nikiwa na Muda nakiangaliaga...
hapa leo naongelea muonekano wa kipindi...sitagusia MADA ..zaidi nitagusia eneo la Production na Post production
..Production ( camera working)..kwa Cameraman wenu
..ilikuwa haina WB(..White Balance)..hivyo sehemu nyingine picha mbaya hazina ubora
..pili...Mwanga ( Lighting) na kwakua Production ilikua Outdoor (nje)..basi mwanga wa jua ulikua unasumbua
na hivyo kufanya picha ilikua imeungua...na alikua akihama kuingia ndani ( indoor)..Mwanga ama uongezeke au upungue...na kupoteza WB
..Post Production..(Editing and Graphics.)
..hapa sasa kuna vitu niliviona..kwanza kulikua hakuna Title Bar ilikuandika Jina la mbunge na Jimbo lake
..pili alishindwa kuficha makosa ya Camera kama vile kufanya Color correction...kupungza mwanga....ambapo camera man alishakosea toka location kuna ugumu kdg but inawezekana
..Graphics..and Drops
..sikuona graphics wala Drops yeyote kutenganisha kutoka Banda la VETA kwenda Banda la PRIDE
.
Ni hayo tu Machache niliyoyaona ...
..Naamuaminia sana Mtayarishaji wa kipindi sikutegemea kama angeruhusu kipindi kilicho kosa hivyo vitu
..Nategemea kipindi kijacho kitakuwa na muonekano mzuri yaani Graphics kali,Drops na Title Bar kali
...Ni hayo tu..