PPF Makao makuu Customer Care zero

Status
Not open for further replies.

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
sitaki kuamini mtu unakaa 5 hours kusubiri service..hawa akina dada hapa customer care hawana wanalolifanya wanajizungusha tu na kuongea na simu. yaaaani i wish hili shirika libinafsishwe....hovyo kabisa
 
inakasirisha zaidi sababu ni hela ya kwako mwenyewe wala si mkopo af wanakuzingua yaani
aghrrrrrrrr
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom