Posta Tanzania mnafanya kazi kienyeji sana. Huu ni upuuzi

Dah hawa jamaa wamenikera mno.

Mwezi wa 8 niliagiza mzigo China, Ulifika Tangu siku 10 zilizopita. Nikaenda Posta HQ wakaomba Tracking namba nikawapa, wakaangalia wakakuta kweli umefika. Nikaandikiwa namba ya mzigo na nikaelekezwa ofisi ya kwenda kuchukua mzigo wangu palepale HQ.

Sasa kwenda kuchukua mzigo nikaambiwa Mizigo imefungiwa kwa sababu kuna upande wanafanya ukarabati. Kutoka siku hiyo kila nikienda ni lugha ni "bado hawajamaliza ukarabati" na kibaya zaidi hawasemi kwamba huo ukarabati unaisha lini.

Aiseee hawa jamaa wanazingua kishenzi.
Bila kuibinafsisha posta itakuwa hovyo zaidi.
 
Mkuu utakuwa na sura ya kirembo sana maana ungekuwa na sura za akina waitara na henche wasingekupa jibu la kidada Dada kiasi hicho
 
+6011-39893128 - ofisi yao China
+255692981588 - ofisi yao Tanzania

GHM SHIPPING CLINIC.. - whatsapp group yao.

Wanaitwa GHM SHIPPING CLINIC.

Kama upo tembelea ofisi zao zilizopo SHEKILANGO opposite na ROMBO GREENVIEW HOTEL.

Sent from my PH1803 using JamiiForums mobile app
Nashukuru Mkuu hawa jamaa wa shekilango niliwahi wasikia sema nilikua sijui kama wana huduma nzuri ngoja niwaone....
 
Nashukuru Mkuu hawa jamaa wa shekilango niliwahi wasikia sema nilikua sijui kama wana huduma nzuri ngoja niwaone....
--------------------------------------------------
--------------------------------------------------
(PLEASE IGNORE HAWA JAMAA, KWA SASA NI KAMA WAMEINGIA KWENYE MAMBO ZA UTAPELI. PLEASE ACHENI KUFANYA NAO BIASHARA. KAMA UNA SWALI PLEASE NIPM au NIPIGIE 0788904003)
---++++++++++++++++----------------
 
--------------------------------------------------
--------------------------------------------------
(PLEASE IGNORE HAWA JAMAA, KWA SASA NI KAMA WAMEINGIA KWENYE MAMBO ZA UTAPELI. PLEASE ACHENI KUFANYA NAO BIASHARA. KAMA UNA SWALI PLEASE NIPM au NIPIGIE 0788904003)
---++++++++++++++++-------------
Ok niliwasiliana nao sikuona mazingira rafiki ya pesa kuwa salama nikawapotezea...
 
Ok niliwasiliana nao sikuona mazingira rafiki ya pesa kuwa salama nikawapotezea...
Achana nao bro.

Mimi waliniletea mizigo yangu kwa uaminifu na kwa wakati ila sijui wamepata tamaa gani wamebadilika

Jamaa kwa sasa ni wapigaji ndio nimegundua.

Ndio mana nimeedit post zote ili watu wasijepigwa kupitia mimi aisee.
IMG_20201219_095132.jpg
 
Siku hizi wameshindwa hata kushindana na mabasi, hawana ubunifu ni full ubabaishaji tu. Wanasubiri wabebwe na Serikali kila mara
 
Back
Top Bottom