Gele vaheke
Senior Member
- Mar 22, 2012
- 138
- 6
Habarini wana kijiji Kwa anae jua wanapo uza hizi dvd prayer anijuze iwe used au mpya na bei na nchi
Kiingereza kigumu.
Ngoja niwahi inglishi kozi
OTIS
hivi DVD prayer ni kifaa gani .... au mimi nipo nyuma na technology?
Mi nahisi kuna mkono wa mtu kwenye post hii hai wezekani ni kakosea mara nyingine haya na rudia portable dvd player
Teh teh tehhhhhhhhhh,tena zipo za uamusho kutoka pale marikiti unshafahamu yakhe?DVD prayer ziko msikitini na kanisani
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums