Pope Benedict aliomba Rais Joe Biden asihudhurie mazishi

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,439
Wakuu,

Hii inashtua na kuzua gumzo na imedhibitishwa na secretary wa Rais Biden kuwa atawakilishwa na Balozi wa Marekani huko Vatican sababu marehemu Pope Benedict aliomba asihudhurie mazishi yake.

Mitandao mingi ya kijamii imehusisha hii taarifa na Rais Biden ambaye ni Mkatoliki kuunga mkono vitendo vilivyo kinyume na mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo utoaji mimba.

Hapa chini ni taarifa ya ikulu ya Marekani!
===
VATICAN, BENEDICT XVI TELL BIDEN TO STAY AWAY

With his pro war and pro abortion policies, US President Joe Biden has long been a figure of controversy.

This controversy deepens when one assesses his status as a Catholic.

In an interview of sorts in 2021, Pope Benedict XVI himself apparently remarked on the matter:

It is true, he is Catholic and observant. And personally it's against abortion. But as president, he tends to present himself in continuity with the democratic party line... And on gender politics, we still haven't quite understood his position.

Now, after much speculation, Biden’s Press Secretary confirmed today that the Vatican and the Pope Emereetus (sic) had requested that US Ambassador rather than the US President himself attend.
 
Matokeo ya sera za Narekani zinazopingana na misingi ya kidini.
Socially wanavuna walichopanda.
Lakini pia toka awali Pope Benedict aliomba azikwe kawaida hakutaka fahari, labda sio Biden tu! Ila wengi wametafsiri kama hasira za Pope Benedict ambaye ni mtu mwenye msimamo mkali dhidi ya Biden ambaye anajiita "Devout Catholic" huku akiunga mkono sera zilizo kinyume na Kanisa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Pope Benedict naye bana. Kama ni hivyo si angemkataza hata Papa Francis asihudhurie mazishi yake? Si naye anaunga mkono ndoa za jinsia moja na masuala karibu yote ya upinde wa mvua?

Na hii ishu ya kupiga mikwara baadhi ya watu eti wasihudhurie mazishi yako ukikata moto huwa inasaidia nini?
 
Kanisa katoliki linaunga mkono Madhambi Mengi sana limefanya.

Kuanzisha Islamic.
Kuanzisha ndoa za Jinsia Moja.
Kutoa kwa Padri.
Kutokuelewa kwa masister.

Benidect hakubaliani na Mambo ya Ajabu ajabu kama Ushoga na usagaji.
Ndio maana hata aliamua kujiuziru.

VATCAN ni hatari.
 
Matokeo ya sera za Narekani zinazopingana na misingi ya kidini.
Socially wanavuna walichopanda.

Wagalatia 6:7-9

"Alichopanda mtu, ndhicho atakachovuna"
Safii Sana,hii imekaa vizuri Sana, Hakuna unafki, yeye anaunga mkono ushoga, kutoa mimba, njia za uzazi wa mpango huku Ni kinyume na Imani, ukatoliki

Huku Africa ingefikia hatua ya kuwafukuza ukatoliki viongozi wote wanatawala kibabe, kimabavu, wanaua, wanaiba Mali za umma halfa jumapili wapo mbele kabisa kanisani
 
Pope Benedict naye bana. Kama ni hivyo si angemkataza hata Papa Francis asihudhurie mazishi yake? Si naye anaunga mkono ndoa za jinsia moja na masuala karibu yote ya upinde wa mvua?

Na hii ishu ya kupiga mikwara baadhi ya watu eti wasihudhurie mazishi yako ukikata moto huwa inasaidia nini?
Pope Francis haungi mkono hayo Mambo, ilimwelewa tofauti,

Alisema hatuwezi kuwatenga,
Hoja yake Ni kwanini tuwatenge.? Ikiwa wadhambi wengine tupo nao? Wao Ni wadhambi km wadhambi wengine sawa na wauaji, wasema uongo, wazinzi, n.k
Kanisa linastili kuwapikea na kuwafundisha kuhusu dhambi na matendo yao
 
Wakuu,

Hii inashtua na kuzua gumzo na imedhibitishwa na secretary wa Rais Biden kuwa atawakilishwa na Balozi wa Marekani huko Vatican sababu marehemu Pope Benedict aliomba asihudhurie mazishi yake.

Mitandao mingi ya kijamii imehusisha hii taarifa na Rais Biden ambaye ni Mkatoliki kuunga mkono vitendo vilivyo kinyume na mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo utoaji mimba.

Hapa chini ni taarifa ya ikulu ya Marekani!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

Ushoga je mbona hajausema?
 
Pope ana historia ya kuwa NAZI na mshabiki mkubwa wa Hitler alipokuwa kijana, sikuwahi kumkubali Pope Benedict alikuwa very conservative, ni maisha tuu misimamo tofauti itakuwepo tuu
 
Pope Francis haungi mkono hayo Mambo, ilimwelewa tofauti,

Alisema hatuwezi kuwatenga,
Hoja yake Ni kwanini tuwatenge.? Ikiwa wadhambi wengine tupo nao? Wao Ni wadhambi km wadhambi wengine sawa na wauaji, wasema uongo, wazinzi, n.k
Kanisa linastili kuwapikea na kuwafundisha kuhusu dhambi na matendo yao
Ni kweli. Wengi hatukumwelewa
Screenshot_20230104-054029_Chrome.jpg
 
Ni kweli. Wengi hatukumwelewa
View attachment 2468470
Haungi mkono, maana ni kinyume na mafundisho ya Kanisa. Yapo mengi ameibua mijadala na wengine kama mimi na wanaojua mafundisho ya Kanisa tunapenda viongozi walio straight forward na mafundisho ya Kanisa na mambo ya kiraia kuwaachia raia.

Hii taarifa uliyoweka ilipata hype sababu alisema ndoa za jinsia moja hairuhusiwi na hakuna wa kubadili hilo maana limewekwa na Yesu mwenyewe lakini haki za kiraia zinaweza kuweka taratibu zao wenyewe kuwalinda. Maaskofu wengi waliponda hii kauli na kusema alipaswa kuishia kwenye mambo ya Kanisa na mambo ya kiraia asichangie kabisa.

Soma hapa taarifa yenyewe iliyozua kelele kwa wana Kanisa....

SOUNDBITE (Italian) Pope Francis: (answering a question about whether he approves of legislation in Europe support married homosexuals)

“I have spoken clearly about this, no? Marriage is a sacrament. Marriage is a sacrament. The church doesn’t have the power to change sacraments. It’s as our Lord established.

These are laws that try to help the situation for many people of different sexual orientation. It is important that this helps people but without imposing things that by nature do not function in the church.

But if they want to spend their lives together, a homosexual couple, nations have the possibility civilly to support them, to give them safety with regards to inheritance and health.”

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kanisa katoliki linaunga mkono Madhambi Mengi sana limefanya.

Kuanzisha Islamic.
Kuanzisha ndoa za Jinsia Moja.
Kutoa kwa Padri.
Kutokuelewa kwa masister.

Benidect hakubaliani na Mambo ya Ajabu ajabu kama Ushoga na usagaji.
Ndio maana hata aliamua kujiuziru.

VATCAN ni hatari.
Kuanzisha uislamu? We kweli kitimoto wanakutoa akili Sana.

Haya, watakuja wenyewe uwajibu
 
Pope Benedict naye bana. Kama ni hivyo si angemkataza hata Papa Francis asihudhurie mazishi yake? Si naye anaunga mkono ndoa za jinsia moja na masuala karibu yote ya upinde wa mvua?

Na hii ishu ya kupiga mikwara baadhi ya watu eti wasihudhurie mazishi yako ukikata moto huwa inasaidia nini?
Pope haungi mkono USHOGA, hakuwahi kusema hivyo.......Alichosema mashoga pia na wao ni watu, msiwanyime haki ambazo wanapata binadamu wengine, NA SIO HAKI ZAO ZA MASHOGA.....

kuwa shoga sio HAKI ya binadamu..

Sema kwangu mimi Nilipenda AKEMEE,,, USHOGA kwamba ASEME acheni kuwa mashoga....
 
Hii ishu ya kupiga mikwara baadhi ya watu eti wasihudhurie mazishi yako ukikata moto huwa inasaidia nini?
Haina msaada wala faida yoyote isipokuwa watekelezaji (walio hai) ndiyo wanaosimamia kucha kuangalia kama umetii au upo ktkt ya umati wakuchomoe hadharani upate aibu!.
 
Kanisa katoliki linaunga mkono Madhambi Mengi sana limefanya.

Kuanzisha Islamic.
Kuanzisha ndoa za Jinsia Moja.
Kutoa kwa Padri.
Kutokuelewa kwa masister.

Benidect hakubaliani na Mambo ya Ajabu ajabu kama Ushoga na usagaji.
Ndio maana hata aliamua kujiuziru.

VATCAN ni hatari.
Hapa navuta popcorn kabisa, nasubiri waislamu waje
... mnasema huyu ndiye Papa wa kwanza kuzikwa na Papa?
 
Kanisa katoliki linaunga mkono Madhambi Mengi sana limefanya.

Kuanzisha Islamic.
Kuanzisha ndoa za Jinsia Moja.
Kutoa kwa Padri.
Kutokuelewa kwa masister.

Benidect hakubaliani na Mambo ya Ajabu ajabu kama Ushoga na usagaji.
Ndio maana hata aliamua kujiuziru.

VATCAN ni hatari.
Edit andiko lako maana hueleweki
 
Wakuu,

Hii inashtua na kuzua gumzo na imedhibitishwa na secretary wa Rais Biden kuwa atawakilishwa na Balozi wa Marekani huko Vatican sababu marehemu Pope Benedict aliomba asihudhurie mazishi yake.

Mitandao mingi ya kijamii imehusisha hii taarifa na Rais Biden ambaye ni Mkatoliki kuunga mkono vitendo vilivyo kinyume na mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo utoaji mimba.

Hapa chini ni taarifa ya ikulu ya Marekani!
===
VATICAN, BENEDICT XVI TELL BIDEN TO STAY AWAY

With his pro war and pro abortion policies, US President Joe Biden has long been a figure of controversy.

This controversy deepens when one assesses his status as a Catholic.

In an interview of sorts in 2021, Pope Benedict XVI himself apparently remarked on the matter:

It is true, he is Catholic and observant. And personally it's against abortion. But as president, he tends to present himself in continuity with the democratic party line... And on gender politics, we still haven't quite understood his position.

Now, after much speculation, Biden’s Press Secretary confirmed today that the Vatican and the Pope Emereetus (sic) had requested that US Ambassador rather than the US President himself attend.
Chanzo cha taarifa hii ni chombo gani cha habari?
 
Back
Top Bottom