Poor Gadner

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?
 
hypo tu ni mkware kuliko unavyofikiri
 
Kwa wenye busara ukiangalia tu huo mchezo unajua nani mtafutaji:coffee:
 
acheni hizo, mitanzania ndivyo tulivyo, mtu akimpa kipaumbele mkewe/mumewe mnadhani yupo after something, ni mapenzi tu hayo, jamaa amechoka na vicheche na anaogopa kufa na ngoma.
i like this guy,anampa support sana mke wake and ofcourse jide deserve a true love, she is hard working, down to earth and faithful to her husband
 
Tujifunze kujali maisha yetu binafsi na sio ya watu wengine,kila mtu anaishi anavyotaka.

What then is the use of the celebrity forum, hebu tujifunze kuwa kama wazungu, kama huna cha kuchangia unachungulia na kusepa. Hii ni forum sio majungu, wewe ni premium member lakini mshamba.
 
acheni hizo, mitanzania ndivyo tulivyo, mtu akimpa kipaumbele mkewe/mumewe mnadhani yupo after something, ni mapenzi tu hayo, jamaa amechoka na vicheche na anaogopa kufa na ngoma.
i like this guy,anampa support sana mke wake and ofcourse jide deserve a true love, she is hard working, down to earth and faithful to her husband

Yaani kuna tofauti kubwa sana kati ya forum za bongo na forum za majuu. TMZ kila siku inajadili maisha ya mastaa wa ulaya lakini hutakuta comment za kishamba kama hii yako, sorry mzuanda lakini katika dunia ya leo heshimu mawazo ya watu hata kama hukubaliani nayo. Ndio maana hatuendelei kwa kujifanya wanafiki.
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

Wewe inakukera nini?
 
What then is the use of the celebrity forum, hebu tujifunze kuwa kama wazungu, kama huna cha kuchangia unachungulia na kusepa. Hii ni forum sio majungu, wewe ni premium member lakini mshamba.

Hapo kwenye red: Kwani kila wanachofanya wazungu ni sahihi? Waafrika hatuwezi kuna na mitazamo na namna yetu ya kufikiri? Kwa hiyo wazungu wakianza kujisaidia barabarani wewe utaiga?
 
Achana na ya kujisaidia barabarani, unajiabisha unapokuwa kijibwa cha Gadner na ukiona kasemwa unakuja juu, nini maana ya JF kuwa na page ya celebrities. Tuige mifano bora kwa wenzetu......BADILIKA, KUBALI UMECHEMSHA.
 
Huyo Gadner mwenyewe simjui, nimeondoka bongo siku nyingi, ukiniuliza celebrities ninaowakumbuka mimi ni akina TX Moshi William (marehemu), Remmy Ongala (marehemu) Suleiman Mbwembwe (Marehemu) Asosa etc. Hao ma-celebrity wa siku hizi siwajui na hivyo sina sababu ya kutemtetea au kuwa "kijibwa" cha huyo Gadner unayemsema. Ndio maana sikusema chochote kuhusu Gadner ila nikakurekebisha kauli yako ya kuwa "TUIGE WENZETU WAZUNGU".

Nafurahi umejirekebisha (hapo kwenye blue).......na hapo kwenye kijani nafikiri huo ujumbe ulikuwa unajiambia mwenyewe na ni vema umebadilisha/umeboresha kauli yako. Ukisematuige mifano bora hapo nakuunga mkono.
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

eubu tupe fb yako na wewe
 
What then is the use of the celebrity forum, hebu tujifunze kuwa kama wazungu, kama huna cha kuchangia unachungulia na kusepa. Hii ni forum sio majungu, wewe ni premium member lakini mshamba.

Kumbe unadhni celebrity forum ndio hakuna kutokubaliana.
Umeshasema private life alafu bado uunajiuliza na kutaka kuifutalia private life ya Gadner. mhhhhhhh tukueleweje sasa. kwamba unataka private life yake iwe public kwako????????

Great thinkers wengine bana
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

Kwani tatizo ni nini.............Jide si mkewe?????
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?
Ndo shida ya mwanaume kukubali kuolewa hiyo...
 
kwenye facebook page ya gadner habash, picha zake zote yuko na mwanadada jide. Ina maana gadner hana private life zaidi ya kuwa na jaydee? Ukiingia page ya jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

mlitaka awele za fattybaby??
 
Deodat umesema tuwe kama wazungu "yeah your right" huku wanapitisha sheria ya wanawake kwa wanakwe kuoana na wanaume kwa wanaume kuoana. Kwa hiyo itabidi tuombe Bunge letu lipitishe sheria na sisi tufanye si ndiyo ndugu yangu?? maana ndiyo kuwa kama wazungu.
 
Kumbe ndio maana wakenya wanatuacha kimaendeleo sie tupo busy sana kwenye mambo ya udaku wao wanakuna vichwa kinu cha nyukilia kinaanza kazi lini? Fly over zinatosha? Sisi huku tunamfatilia Habash na Jide.
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?
mkuu hii ni crap!

maisha ya watu binafsi waachie wenyewe
 
Back
Top Bottom