Ponda hali mbaya

Status
Not open for further replies.
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
'Mfumo kristo' ni neno lililotungwa kwa madhumuni ya kupotosha watu kuhusu mfumo wa kisecular usioegemea dini yoyote. Mfumo wa '..haki usawa na bila kujali dini za watu..' unaotaka wewe ni upi?
 
Hizo sehemu za bega ni hatari sana kwani kuna mishipa ya fahamu pia hukatiza... kupona kwake kunahitaji miujiza na jinsi huyo jamaa asivyotakiwa na Bakwata pamoja na Serikali na Wakristo pia lazima kuna kitu kifanyike asipone fresh....
 
Nasikia kuna vijana wao kiislamu wametumia vzr nafasi hii ya uhuni wao ponda kummega mke wake na bado nataka akitoka akute watoto mapacha........ bahati mbaya serikali ni sikivu sn kwa waislamu hawa wahuni pamoja na kujiita ina mkono mrefu. Niliposhangaa zaidi ni kitendo kilichotokea mwaka jana pale mbagala ambapo pamoja na uharamia wote ule tena mbele ya polisi lkn polisi walishindwa kuua hata waislamu 100 wkt ktk mikutano ya amani ya vyama va siasa polisi wanaua kwa makusudi watu wanaoshiriki kwenye mikutano
 
Unajuwa kuna watu wengine kichwani mwao muna mavi nasi ubongo,utamwombeaji mpigania haki za wanyonge afe wakati hao cdm wapigwa munalaani polis ila akipigwa ponda munafurahi kama si ujinga ni nini? Kafiri kweli hana akili
 
Nasikia kuna vijana wao kiislamu wametumia vzr nafasi hii ya uhuni wao ponda kummega mke wake na bado nataka akitoka akute watoto mapacha........ bahati mbaya serikali ni sikivu sn kwa waislamu hawa wahuni pamoja na kujiita ina mkono mrefu. Niliposhangaa zaidi ni kitendo kilichotokea mwaka jana pale mbagala ambapo pamoja na uharamia wote ule tena mbele ya polisi lkn polisi walishindwa kuua hata waislamu 100 wkt ktk mikutano ya amani ya vyama va siasa polisi wanaua kwa makusudi watu wanaoshiriki kwenye mikutano
Naam? Umekaa ukafkiri ndo ukaandika hii post au umekurupuka tu? Isije ikawa uko chooni unakunya ndo ukafkiria uandike huu uharo wako hapa!!! Wewe kheri ya paka ana faida kuliko kafir wewe
 
[QUOuTE=MOSSAD II;7147905]Hao wanyonge anaowaongelea hapa Tanzania ni akina nani?[/QUOTE]

Watz wote kiujumla hata wewe
 
Human conceptualization ni Mbaya sana......hatupaswi kuhukumu.....Mola ndio anajua lini atamchukua mja wake....tofautisha Ubaya na Mtu..........Mungu na ampe afya njema...apone, ajibu tuhuma za kisheria zinamkabili...
 
Naamini hata ndugu zake wangependa bora afe amekuwa kero sn huyu bana.....nashangaa polisi wanashabaha kwenye kikutano ya siasa tu...

Hivi ww ni binadamu mwenyeakili timamu kwel.. mbona sisi vichaa hatufikirii kama wewe?? Ulaaniwe unaemuombea mwingine kifo
 
Ndio ujinga wenu huu. Kusoma watu hawakubahatika, WALIDHAMIRIA. Unachojaribu kusema hapa ni kwamba, nyie muwe mnafundishana ujinga na chuki, huku wengine mnawapa jukumu la kubeba mizigo ya kudhorota kwenu.

Uliochotakiwa kusema hapa ni kuwa: Waislam waliosoma wawaeleweshe Waislam wenzao waliwezaje kusoma na kufika walipofika. Kama unafikiria kuna hotuba inaweza kubadilisha maisha ya mtu anayejazwa imani potofu na viongozi wa dini yake basi unajidanganya.

Fursa za kusoma zipo kwa wote, lkn hayo mawazo yenu kuwa labda mpewe upendeleo wa kuendelea mbele hata mkifeli ni utoto. Leo hii mnaandamana Dr. Ndalichako amewaonea hapa na pale, lkn cha ajabu, asilimia kubwa ya waandamani ni wale ambao watoto wao wameishia darasa la 3,4,5 na kuzamia kwenye kupiga debe. Sasa mtoto aliyekacha shule darasa la 5, NECTA imemuonea wapi?

Msipende hadithi tamu na ngonjera za manung'uniko. Kujitazama ni ada ya muungwana na mwenye hekima huzichunguza njia zake. Unapooa wake wa3 na kuzaa watoto 11 ukataraji wanaenda shule na kurudi bila wewe mzazi kujali kama wanaandika, wanafanya home-work na hata kama shuleni kwenyewe wanaingia darasani au lah halafu utegemee watafaulu eti kwa kuwa tu na wao wameenda shule miaka 7 kama mtoto wa baba John huo ni ujinga.

Kusoma ni kuamua. Nimesoma na Waislam pia na wote waliokuwa wamekusudia kusoma walisoma na wengine wakaniacha nyuma.

Hawa jamaa ni wa ajabu sana! Unakuta wanakubali kudanganywa na watu waliosoma kama akina FaizaFoxy, kahtaan, Osama bin Laden (civil engineer) na wengine kulalamikia mfumo imaginary wa kikristo na wao hawawaulizi ilikuwaje wao wakapenya kwenye huo mfumo. Kama Osama bin Laden angetumia elimu yake yake uhandisi na utajiri wake alioupata kwenye kandarasi za ujenzi kuwaendeleza kielimu vijana wa kiislam dunia nzima nadhani wasingekuwa na haya malalamiko yao yasiyo na kichwa wala miguu!!

Cha ajabu Osama akafadhili vijana kujifunza ugaidi ili wakajitoe mhanga na watu wenye akili finyu kama akina kikwjuni one wanahubiri upuuzi kwa wenzao!!
 
Hivi ww ni binadamu mwenyeakili timamu kwel.. mbona sisi vichaa hatufikirii kama wewe?? Ulaaniwe unaemuombea mwingine kifo


Ponda alikuwa anaona raha kutuma wenzie wakapige shaba makafir,,,sasa na yeye aonje utamu wa shaba,,alisema alivyowashwa iyo shaba alichanganyikiwa akasahau ata kusema tekibilu aliita mamaaaaaaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom