Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
what was the mission? kuua au kujeruhi?
kuua..na ilikuwa apigi kwenye moyo lakini shabaha haikuwa nzuri..
what was the mission? kuua au kujeruhi?
Watu hamna utu kabisa! Hv mnawaza kwa kutumia nini?
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
Unakufa wewe kwanza
Ni bora afe tu ili mambo ya udini tusiyasikie tena!!

Maalim Mzizi, tumekusikia na nategema ndugu zako woote wamekusikia vile vile. Inshaalah, siku moja watakuelewa kuwa Chuki za akina Ustaadh Ilunga na Ponda kamwe sisi WAKRISTO hatujawai kuzifanya.
Yesu Mungu awarehemu.
Nachukia sana udini. Yeyote anayeeneza udini ni adui yangu mkuu. Hii inatokana na kutambua kuwa udini ni vita mbaya mno.
Watanzania kataeni na mchukieni yeyote yule anayeeneza udini!
Maswala ya udini kwa sasa yanataka mjadala wa kitaifa bila hivyo shida itazidi kuongezeka hata kama Sheikh Ponda akifa.... Mwenyezi Mungu aepushe hilo na amponye haraka.
Tayari kuana akina Ponda kwa mamia nchini ambao wako tayari kuchukua nafasi.
Bila mjadala wa kitaifa, uwazi, ukweli na haki kutendeka hatma hapana iko njema!!!!
Hakuna mjadala na magaidi. Period!
Dawa ni wakasome, tena kwa bidii na kisha wapambane na changamoto za maisha. Fursa zipo sawa kwa wote, Muslims & non Muslims.
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
[/QU
ma------ type utawajua tu!
Sawa mi napita tu waungwana
We unajua maana ya gaidi?? Au unaskia raha tu kutamka!
Hebu tusaidie maana ya gaidi hapa! Manake hata mwizi wa kuku wengine tunadhani ni gaidi!
Tunasubiri jibu!
Pondaaaaa, ukishapona karibu SHULE. Soma kidogo tu walau mpaka Form 4 upate akili na umaana wa kile unachokipigania. Ni kama bado upo gizani vile!