Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
hongera sana zanzibar
Hongera Wa Zanzibari kwa hatua muhimu kwa ustawi na kulinda maadili sasa umefika wakati na sisi huku bara kuiga hatua hiyo kwani itapunguza sana ukimwi na kulinda heshima na maadili yetu!!!
chanzo:
Pombe, Sigara na Ukahaba ni Marufuku Zanzibar | Mzalendo.net
Umesema vyema.Nikiwa kule nimeshuhudia jinsi wanawake walivyo macho juu ndani ya mahema yao (nayaita mahema kwa vile wanaweza kuwa tupu na wakatembea, wanaweza tazama mwanamume na kumkonyezabila watu wa pembeni kuona,wanaweza tazama kw amatamanio bika watu wengi kushuhudia).zanzibar nimeshuhudia sana watu wakiwadka wake za wenzao wakienda vua, nimeshuhudia wanawake wakinikonyeza,huku wakiwa na waume zao barabarani.Wanawake hawajajifunza kataa as long as hakuna wa kuwaona.Watu wazima wanaona fahari kuongea kwa ufasaha mambo ya kishoga.miaka fulani ya nyuma niliwai soma na mtoto mmoja wa mzee Basha, aliwahi kuwa muwakilishi ndani ya baraza la wawakilishi na pia nimeishi kidogo na familia ya mzee basha na kina muhamed na kaka zake wa port pale, kwahiyo naelewa zanzibari vizuri
uchafu ambao sijauona zanzibar mtaani ni kula kitimoto hadharani tu. lakini pombe sigara malaya na mashoga siwezi kuviesabu kwani vimezidi na kupindukia zanzibari
.na ndio maana nauislamu wangu wote hijabu huwa linanitia kichefuchefu sababu wanaharamu wale hawavai zaidi ya bikini na wako wasio vaa hata iyo bikini wakuta hijabu likiguswa na upepo kidogo kwa nyuma waona tak o kama lilivyo, nalikiguswa kwa mbele basi sehemu ya uke inajichora kamailivyo na wakifika fukweni mbali na mji vichaka minazi na maji vyote hivi vingelikuwa vinaongea vingesema ni jinsi gani wazanzibari wanachafuana humo bila aibu. nimehudhuria sana ngoma za ufukweni wenyewe wanakuita shamba wanatoka nje kidogo ya mji. kwa hiyo mtu yeyote asije isifia zanzibari UGINGA
by muislam safi
kweli nyinyi wadanganyika ni kichwa kitupu ndio mana mnashindwa kudai uwepo ya nchi yenu hivi sheria imepitishwa z'bar nyinyi inakuumeni nini si fanyeni yenu kama hamna nendeni kajengeni makanisa yalio bomolewa huko mbagala
mwongo nchi inayotumia tumbaku zaidi ni chinahichi kimtandao ndio equivalent ya JF kwa wajinga wa zanzibar.Mbona sasa hamjakumbusha madawa ya kulevya?Uzinzi wa kuibiana wake?ushoga na ngoma zao zichezwazo kule visiwani?
Kwa taarifa yenu Iran ,afghanistai, pakistani ,lebanon, syria, Turkey ,azerbaijan ,somalia na kwingineko ktk dunia ya kiislam Tumbaku hutumiwa sana kuliko nchi nyingine duniani.Wao hutumia tumbaku kama sigara, cigar, ugoro au hata gozi la kusokota kwa makaratasi wasiojua hata yana chemical gani ili mradi linafaa sokotea.Wanawake wa kiislam ni wengi sana wanavuta sigara kuliko hata makafiri wa nchi nyingi sana zenye michanganyiko ya waislam na wengine.
mbona hawajasemea ndoa za muttah,zinazoruhusu waislam kupeta na mademu kadhaa kwa makta hata wa nusu saa.Huo si umalaya biashara ya umalaya.Muslims na ngono ni ulimi na mdomo.Watabakiw akisingizia kuwa jamaa wanaitumia vibaya hiyo sheria ila wmisho wa siku watu watachukua mayalaya kwa kufunga ndoa ya fasta na kwenda kuchapana kwa malipo madogo halafu wanaachana kwa kitalaka cha fasta.Kweli hii dini ya allaha ni chocho la shetani.
mwongo nchi inayotumia tumbaku zaidi ni china
lazima mpinge wengine pombe si mnanywea makanisani
Umesema vyema.Nikiwa kule nimeshuhudia jinsi wanawake walivyo macho juu ndani ya mahema yao (nayaita mahema kwa vile wanaweza kuwa tupu na wakatembea, wanaweza tazama mwanamume na kumkonyezabila watu wa pembeni kuona,wanaweza tazama kw amatamanio bika watu wengi kushuhudia).zanzibar nimeshuhudia sana watu wakiwadka wake za wenzao wakienda vua, nimeshuhudia wanawake wakinikonyeza,huku wakiwa na waume zao barabarani.Wanawake hawajajifunza kataa as long as hakuna wa kuwaona.Watu wazima wanaona fahari kuongea kwa ufasaha mambo ya kishoga.
Wanongoza kwa kula supu ya pweza na mazao ya nazi ili kuongeza nguvu za ngono na kuhamasishana ngono kwa sana.Kwa ujumla wapo obsessed sana na ngono.Si haba kumkuta mzazibar kalaa mchana kwa kuchoka baada ya kushupalia sana ngono.
acheni kukataa kila kitu wenzetu wanastahili pongezi..pombe ,sigara ndio chanzo cha vyote
upi uthibitisho wako?au kwa vile Chin ina watu wengi?Hembu pitia nchi kumi bora duniani kwa tumbaku.Indonesia hadi watoto wanapewa na mama zao,Na hizo nchi nilizokuambia katazame vizuri.Tembea uswahilini kote tanzania na ukanda wa pwani hadi mombasa uone vibibi vimalaya vya zamani vingi ni vya kiislam,vinakohoa mfululizo kwa sigara na mirungi.
mwongo nchi inayotumia tumbaku zaidi ni china
lazima mpinge wengine pombe si mnanywea makanisani
kipimo kizuri njoo na list ya mikoa inayoongoza kwa ukimwi au unywaji pombe then uongee unachotaka.
Wewe ndio unati appetite?mijitu mingine inatia kichef chefu. Sasa sheria imebitishwa znz, nyie inawauma nini?
Chuki zenu zitawaua, mlitaka waboronge mfurahi.
Kweli kuna watu vilaza humu duniani.
Sijaona jipya hapa.SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku biashara ya ukahaba, matangazo yote ya pombe na uvutaji wa sigara katika mikusanyiko ya watu katika visiwa vya Unguja.
[h=1]Drug Abuse[/h]Nadhan ni wiki iliopita kituo cha television cha Aljezeera walionyesha kiasi gani zanzibar wanautumiaji NA uingizwaji mkubwa sana wa madawa ya kulevya.
Hilo hawajaliona?
Nafikiri issue hapa ni kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa vijana.big up znz, ni mwanzo mzuri. sasa wanatakiwa waongeze nguvu kwenye kupambana na madawa ya kulevya na vitendo vya ushoga.
Ukimchekea nyani utavuna mabua, wahakikishe wanalinda jamii na uchafu wa aina yoyote.