Pombe,sigara na ukahaba ni marufuku Zanzibar!!!!

...........naona Wagalatia mmetoneswa ! maana kama kidonda kimedonolewa na kuku !
mwaya anawadanganya.........endeleeni kulewa na msisahau....DUME !!!!!!!

kwa hiyo sheria,nategemea idadi ya wapemba kuongezeka bara maana tunagongana nao bar,..meeda na ambience,yani wananpenda sanan hizo mambo
 
Wapige marufuku na ushoga uliokubuhu,sijui yule shoga maarufu mwimbaji taarabu na yule kijana mwingine anayeshinda pale kwenye ukumbi wa Chuo cha zamani cha CCM Maisara wataenda kwa Cameron
 
Hata mchezo wa pwani wameupiga marufuku?. Maana wajamaa hawa kwa ubasha ni wenyewe.
 
Hongera Wa Zanzibari kwa hatua muhimu kwa ustawi na kulinda maadili sasa umefika wakati na sisi huku bara kuiga hatua hiyo kwani itapunguza sana ukimwi na kulinda heshima na maadili yetu!!!

chanzo:
Pombe, Sigara na Ukahaba ni Marufuku Zanzibar | Mzalendo.net

Pombe na sigara ni chanzo kikoja kikubwa sana cha mapato ya serikali Tanzania, na ndiyo hela hiyo hiyo inayolipa mishahara ya Zanzibar kutoka serikali ya Muungano.

Kwa hiyo wanakataza pombe na sigara lakini wanafaidi fedha za pombe na sigara!

Na vipi misaada kutoka nchi zinazoruhusu mashoga, ruksa?
 
Drug Abuse


Zanzibar faces challenging drug abuse statistics, mostly among young men who injecting themselves with a cocktail of heroin and cocaine. Drugs are more available now as Zanzibar is on the international drug routes.
Increase drug abuse rates also correspond to increase in crime. Illicit drugs are a flourishing business in Zanzibar, readily available at some well known corners on the outskirts of the town. There has been a significant increase in the use of hard drugs over the past few decades, and a corresponding increase in HIV prevalence among intravenous drug users (IDUs).
Unemployment and poverty, especially among youth are key factors that contribute to the drug problem in Zanzibar. Stone Town and the northern region, where most tourist resorts are located, are the most affected. Easy access to drugs and the presence of many visitors to the island have fueled drug availability.

Drug Abuse | ZANGOC: Zanzibar NGO Cluster for HIV/AIDS Prevention and Control


Isije kuwa wafuasi wa uamsho wengi wao ni hawa watumiaji na ndio wanafanya vurugu na kuchinja watu hovyo
 
Kitu ambacho si kielewi ni hiki, watu wengi wanalalamika Zanzibar imeshamiri kwa pombe, umalaya na sigara, tufanye ni kweli. Serikali imeamua kuchukua hatua na kuja na sheria watu bado wanalalamika tena.


Nnachojiuliza, wachangiaji wanatetea hivyo vitu vilivyopigwa marufuku au wanaibeza serikali kwa kuamua kuchukua hatua kupambana na haya majanga?


Nadhani tungeunga mkono juhudi za serikali za kuonyesha nia ya kukerwa na haya mambo kisha tupendekeze njia bora zaidi zinazostahili kuchukuliwa kama tunaona hii ya sasa haitaleta mafanikio.

Kwa uwajibikaji na kuchukua hatua, serikali ya mapinduzi wako vizuriganisha na bara, mfano:-

Tume zilizoundwa kuchunguza ajali za meli na boti zote zilishamaliza kazi, zikatoa mapendekezo yake na hatua zimeshachukuliwa. Tofauti na bara ambako hadi leo uwajibikaji wa tume mbalimbali bado unalalamikiwa na wengi.


Pili, wameweza kudhibiti matumizi na uingizwaji wa mifuko ya nailon, vita hii hata bara iko, lakini hijafanikiwa kabisa.
 
Nawashangaa sana wana JF mnakurupuka kuchangia hoja iliyo na vague statement,source nini,hiyo marufuku imetolewa na nani n.k.
 
Kama ni tamko la SMZ ni shurti litekelezwe,ila tahadhari lazima ichukuliwe maana Huko kwenye Makazi ya watu ndio yatafanyika yaliyokatazwa kwa kujificha.Vile vile sijui itakuwaje kwenye hoteli za kitalii,Huko ndio yatafanyika hayo
 
......kumbe mambo ya ushoga hayamo katika yale yaliyopigwa marufuku? Zanzibar inaongoza kwa kuwa na mashoga wengi naona wameamua waache mabazazi waendelee kula raha>!
 
Ngumu kumesa, wacha wakataze. najua mwezi wa ramadhani watazifuata tandika, kariakoo na buguruni, kasha watapitia na kwa kimboka na sewa, harafu wakirudi kwao Pemba meli itazama. need say more?.........:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:piga makofi tafadhari
 
Hawa jamaa sijui wanafikiri vipi?Wa zenj wanaokwenda oman na nchi za kiarabu wengi, ni waganga, mashoga, wauza ungawacheza ngoma na watumwa wengine. Sijui kam haya yote yanakwenda na public version ya islam?
 
Asema pia waarabu wasipewe visa za kuja kufanya uzinzi wao pale Kibo Palace Arusha.

kama imehalalishwa ktk giza, au ku export malaya na waganga bado ni wazanzibar wanahusika.Siku itakuja watarudisha kwa fujo.Kwa vile kiu ya watu ktk maisha hayo ni kubwa kuliko.
 
Kwani ile sheria ya kwamba kila mnywa pombe zenji lazima awe na leseni ilisha futwa? Maana me nikiwa zenji nagonga MMA kwa kwenda mbele na wala siulizwi leseni
 
Back
Top Bottom