Pombe mtamwaga na makufuli mtavunja lakini mmejiandaaje kwa hili.......................?

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Ni ktk mwendelezo ule ule wa malalamiko na kuondokana na neno tumeibiwa kura zetu.

CCM wametangaza na kuapa kuwa mwaka huu hata kwa "goli la maradona" lazima washinde kwa kishindo.

Je? CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wamejiandaaje kulinda kura ktk ngazi zote za uchaguzi wa madiwani, wabunge na urais?

Je UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na matumizi ya pesa ktk uchaguzi?

Ni kweli tunaenda ktk uchaguzi huku kama mwanaharakati wa kuukataa ukoloni mweusi nikiwa na shaka na wasiwasi mwingi sana kama kweli tutamaliza kwa umoja na ushindi.

Pombe tunaweza kuimwaga, makufuli tutabanduana, je tunaweza kulinda kura zetu? Hasa zile za urais?

Shukrani A. Ngonyani

Agosti 8, 2015

Dar Es Salaam,

00255784379799[/color]
 
Hata mkilinda mwaka mzima CCM tuna kula zetu safi na harari za kututosha
 
Tuko Tayali Kwa Heli Ama Kwa Kwashali Wakimwaga Mboga Sie Tutamwaga Ugali, Wameagiza Magali 700 Ya Polic Mbunge Wangu Wa Mbeya Mjini Aliomba Kwenye Hayo 700 500 Wayalete Mbeya Nami Namuunga Mkono Cc Tutajua Nini Cha Kuyafanya Na Hawa Polic Hawaishi Mbinguni Tuko Nao Majumbani Mwetu Wao Na Familia Zao, Tutacheza Nao Mziki Hawatakaa Wasahau Katika Maisha Yao
 
Kuiondoa ccm madarakani sio jambo dogo, watanzania kwa ujumla wetu bila kujali nafasi zetu kwenye utendaji serikalini na nje ya serikali tunapaswa kuungana kumtokomeza Nduli huyu.
 
Pamoja tunaweza pamoja tutapata mabadiliko aliyoyatabiri baba wa taifa miaka zaidi ya 15 iliyopita
 
kura zitalindwa hata ikibidi kwa ngumi na mateke, yn mwaka huu ama wao ama sisi
 
Tuko Tayali Kwa Heli Ama Kwa Kwashali Wakimwaga Mboga Sie Tutamwaga Ugali, Wameagiza Magali 700 Ya Polic Mbunge Wangu Wa Mbeya Mjini Aliomba Kwenye Hayo 700 500 Wayalete Mbeya Nami Namuunga Mkono Cc Tutajua Nini Cha Kuyafanya Na Hawa Polic Hawaishi Mbinguni Tuko Nao Majumbani Mwetu Wao Na Familia Zao, Tutacheza Nao Mziki Hawatakaa Wasahau Katika Maisha Yao

Yani wewe urudi shule upya.. Ndo uandishi gani huu?
 
Hapo kubanduana mkuu parekebishe, ni kweli pombe tutaimwaga, makufuli tutavunja na si kubanduana
 
Back
Top Bottom