Polls: King of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF King of MMU 2011"?

  • Mbu

    Votes: 28 43.1%
  • The Boss

    Votes: 37 56.9%

  • Total voters
    65
  • Poll closed .

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Wana Jamii

Baada ya Mchakato wa Kura za maoni Kumalizika na Kusikiliza Rufaa zote, Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) imepitisha Majina ya Wagombea Watakaoingia Fainali na Kupigiwa Polls.

Ili kuuelewa mchakato ulikoanzia, tafadhali pitia uzi huu:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Washindi waliopatikana sasa Watashindanishwa kwa Polls/Kura ili kupata Mshindi wa kila Category.

Majina yaliyopitishwa baada ya Wagombea wengi sana kuchujwa Katika Category ya:

King of MMU 2011 ni:
1. Mbu
2. The Boss

Tafadhali piga kura yako kwa yule unayedhani anafaa kuwa
King of MMU 2011 kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Ili kuleta raha na changamoto ya Ushindani - kampeni za kuwapamba wagombea na kuwapigia debe kwenye PM kwa members mbalimbali au katika uzi huu inaruhusiwa.

NB: ID zitakazopiga kura na kuhisiwa kuwa zinachakachua kwa maana ya ID Mpya kabisa au ID mfu ambazo si active kwa kipindi kirefu hadi kipindi hiki cha kura zote zitaondolewa.

Uamuzi wa Tume Utakuwa Wa Mwisho.
Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images
 
The Boss for amplified MMU fans!
Hapa slogan yetu iwe
'the Boss for responsible people'

hii inatokana na ule uzi wa nyumba ndogo.
Japo its wrong kuwa na nyumba ndogo
lakini hatuwezi kataa kwamba hili tatizo lipo

kama huwezi jizuia, do it the right way.
Ni kama kutumia kondom unaposhindwa ku-abstain.
Kwa hiyo, naona slogan hii itafaa fans wake kuitumia.

Eti wapinzani mnaniruhusu niwatengenezee slogani?

Zii for malaria, rungu kiboko yao:
 
Naomba nisipige kura...Labda kama nitapewa nafasi ya kutangaza kwamba hakuna mshindi kati ya wagombea waliopendekezwa. kama alivyoshauri BJ hapo juu .....post #3!!

Babu DC!!
 
Babu DC huwezi kuwa vuguvugu kwenye kura

unachagua mmoja
sio vita, ni burudani tu

Unawe kutupa vigezo kwa nini TB yuko juu ya mbu??

Au utatuambia ni handsome kama mkuu wenu?

As kwa upande wangu....Laiti wangetuongezea kibonde mmoja kama Kongosho ili achakachue kura....Walau tuwe na 51%, 48.8% na 0.2%!!

Kwa sasa mie nitaweka kura yangu mfukoni na kusubiri 2012!!

Babu DC!!
 
kwani MMu ni nini?
Si burudani na kuelimishana?

Usichukulie kama vile uchaguzi wa rais wa nchi.

Kigezo cha kwanza ni sredi ya nyumba ndogo.
It was a hit.
Ilisambaa sehemu nyingi, na kwa ujumbe ule anastahili kura yangu.

Bado uzi wa wavulana na wanamme, niliupenda sana pia sababu ulikuwa na maana kwangu.

Huyu Superman sijui vipi,

Kama haweki category ya "BOTH" basi mie nakata rufaa ili uchaguzi usimamishwe!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
basi nahisi halitakuwa na ladha
kama kila mtu akiamua kuwa kati kati

just chose, si kwamba humfurahii mtu
ila ni kwamba this time, am voting for this person.

Na ili ilete ladha lazima kuwe a timu pinzani 2.
Ndo maana hata majumbani tunaacha TV tunaenda angalia mpira bar.

kwangu wote ni washindi nikipiga kura itaharibika
 
kwani MMu ni nini?
Si burudani na kuelimishana?

Usichukulie kama vile uchaguzi wa rais wa nchi.

Kigezo cha kwanza ni sredi ya nyumba ndogo.
It was a hit.
Ilisambaa sehemu nyingi, na kwa ujumbe ule anastahili kura yangu.

Bado uzi wa wavulana na wanamme, niliupenda sana pia sababu ulikuwa na maana kwangu.

Hebu kuwa msikivu basi na wewe kaka Kongosho (leo utakuwa HE)!!!

Soma maoni ya BJ na Chauro hapo juu,.....ndo maanda utaona kwa nini hata mie naamini kuwa huu uchaguzi haufai!!

Usijekuanza kulalamika kuwa Babu ni mbishi....kumbe wewe una lako jambo!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom