Polls: King of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF King of MMU 2011"?

  • Mbu

    Votes: 28 43.1%
  • The Boss

    Votes: 37 56.9%

  • Total voters
    65
  • Poll closed .
nimekuelewa babu

ila huwezi kupiga kura 50% 50% , sidhani kama poll itakuruhusu.

Na kura za chit chat hizi hazihesabiwi
kama active memba wa MMU utakuwa hujatumia haki yako ya msingi ya kuburudika.

Si unaona hata 2010, tuliojitokeza tulikuwa wachache ndo maana wakatuchakachua kirahisi.

Basi fanya 'ana ana do'
kumbuka babu DC

The Boss for responsuble people.

Hebu kuwa msikivu basi na wewe kaka Kongosho (leo utakuwa HE)!!!

Soma maoni ya BJ na Chauro hapo juu,.....ndo maanda utaona kwa nini hata mie naamini kuwa huu uchaguzi haufai!!

Usijekuanza kulalamika kuwa Babu ni mbishi....kumbe wewe una lako jambo!!

Babu DC!!
 
hata wewe huamini unalosema

huwezi ukawa sawa kiushabiki katika timu 2
iwe mpira, karata, hata bao

hata kama timu zote huzijui, ukifika hapo baada ya dk 5 ushapata interest na timu moja.

Ngoja nisubiri waliom-nominate Mbu waje tuanzishe ligi ya kombe la mbuzi hapa

wote nawapigia debe ..hujambo lakini ?
 
Usijali TB ni mtu wetu tumetoka nae mbali sana, huyo mbu lazima tumpige kwa pif paf ili ajifie mbele.

Ebu check hii mutu.......kwani kutoka nae mbali ndio kigezo?? Tumia haki yako kwa usahihi jombaa, nyie ndo hamjui nini mnataka.....we mwanaume utaingizwa choo cha kike hivi hivi! Chagua mbu kwa mapwenti yenye akili wewe!!!
 
Ebu check hii mutu.......kwani kutoka nae mbali ndio kigezo?? Tumia haki yako kwa usahihi jombaa, nyie ndo hamjui nini mnataka.....we mwanaume utaingizwa choo cha kike hivi hivi! Chagua mbu kwa mapwenti yenye akili wewe!!!
Tena raha kweli nikutane na wewe kwenye chao cha kike, hata nikisimama wima ntamaliza haja yangu.

Afu huyo mbu alikutafuna sana nini, naona malaria imepanda.

Hebu we mwenyewe kipipi jiulize, mtu ajiiite MBU na mtu ajiite The Boss nani ataheshimika hapo.

Wewe huoni mimi kila mmoja ananita fazaa, hata kama sio baba yake :poa
 
Back
Top Bottom